Mafua yanasababishwa na simple virus, virus huyu ni simple kiasi cha kuweka kuuliwa na kinga ya mwili. Huambukiza kwa njia ya hewa, incubation period huchukua siku 3-7.
Hushambulia epithelial tissue zenye kuta za mucus goblets. Mucus husaidia kuchuja hewa inayoingia mwilini, ni sehemu ya immune...