kinafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Baa na Club Kubwa za Buza: Viwanda vya Kuzalisha Mashoga - Ni Wakati wa Kufichua Uovu Uliofichwa Mbele ya Macho Yetu!

    Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Watanzania, tumelala usingizi wa pono, tukipuuza, huku moto ukiteketeza mtaa baada ya mtaa. Tumetulia, tukijiaminisha kuwa maafa bado yako mbali, bila kujua kwamba tayari yamevunja milango yetu na kuingia chumbani. Ukweli huu ni mzito na mchungu, na...
  2. JamiiForums Tanzania ‘No fear, No hate’ ni Slogan ya kinafiki inayowatesa sana waliyoianzisha

    Huenda hawakujua kwamba wanajiandalia mateso makali na mahangaiko yasiyo na faida wanayopitia hivi sasa kisiasa. Halafu mbaya zaidi, nonsense ya No reform No elections ndio inawaathiri na kuwamaliza vibaya zaidi kisaikolojia. Yaani moja haikai, mbili haikai kwao. Ni full mihemko na makasiriko...
  3. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kardinali Pengo afariki Dunia akiwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)

    Pumzika kwa amani mwadhama Kardinali Pengo. Tuonane mbinguni asubuhi iliyo njema. ===== YAH: TANGAZO LA KIFO Ninayo masikitiko makubwa kuwatangazieni kwamba leo tarehe 19/02/2026 saa 04:00 usiku huu mpendwa baba yetu Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es...
  4. JamiiForums Tanzania Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki

    Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki Ni nani asiyejua kuwa bara la Ulaya ndilo lililoitesa sana Afrika enzi za Ukoloni Waafrika waliuzwa kama njugu Fedha walizouzwa Waafrika...
  5. JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya Rostam ni sababu ya asili yake, Watanzania ni wabaguzi kiasili na kujificha kinafiki

    Usiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma! Utasikia Gabachori yule kisa unatokea India, Bangladesh na n.k Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu maana watanzania ukitajirika wanaangalia sababu za kijinga jinga tu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Yakitokea yale ya Magufuli tusije kusema alikuwa mtu wa haki kinafiki

    Yakitokea yale ya Magufuli tusije kusema alikuwa mtu wa haki kinafiki. Maana yatatokea mtakuja hapa na kusema alikuwa mtu wa haki sijui nini wakati Polisi wanavunja miguu watu wakienda mahakamani kutafuta haki! stay tuned Mungu achezewi anakupa nafasi ukiipata itumie kwa mazuri akija kuiondoa...
  7. JamiiForums Tanzania Hawa ndo wazee wa comment za kinafiki zisizokuwa na mawazo mbadala kwenye mada

    Numbisa huyu comment yake ukiiona ni ilimradi amechangia tu Smart911 huyu pia ndo wale wale Hawa sio watu ambao wanaweza kutoa mawazo mbadala Kwa mtu Comment zao hizi hapa Ebu tuone Binadamu wabishi Inafurahisha Inasikitisha Pole
  8. JamiiForums Tanzania Jamii ya kinafiki? Kuadhimisha Watu Wenye maadili Mabaya Katika Jamii Yetu.

    Katika dunia ya leo, tunashuhudia hali ya kushangaza sana ambapo watu wanaofanya maovu wanaheshimiwa na kutukuzwa, na wakati mwingine kuwa mfano wa kuigwa, watu ambao maisha na mienendo yao sio yenye staha katika maisha ya kawaida. Hali hii inanifanya nijiulize: Kuna jamii ina haki ipi katika...
  9. JamiiForums Tanzania Bora Kuwa Single Maisha Yangu Yote kuliko kuwa na Mwanamke Ambaye Yuko na Mimi Kinafiki na Hanipendi

    Leo mdau wenu Pang Fung Mi nasema kwa uchungu kabisa sababu ya kuwa mwanachama hai na wa kudumu wa muda wote wa Chama cha wakataa Kuoa na kataa kuishi kindoa na Mwanamke. Wanawake wamejaaliwa roho mbaya na roho chafu sana, roho ya kupewa, roho ya Chawa, roho ya kiroboto. Wanawake wengi...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna Mwanaume Mwenzangu yoyote hapa JamiiForums mwenye Ujasiri huu wa Kinafiki na Uwongo kama wa huyu?

    "Mimi na Jennifer sio na hatujawahi kuwa wapenzi, naweza kulala nae kitanda kimoja usiku mzima na tusifanye chochote tukaishia kupiga stori tu"- Othman Njaidi, "Patrick Kanumba", Mwigizaji wa filamu Tanzania. Chanzo: Mitandaoni Yaani kabisa Nadindisha vyema, halafu nilale na Mbunye iko pembeni...
  11. JamiiForums Tanzania Nimeamini urafiki wa kinafiki upo

    Hello how are you! Kama nilivowagusia kwenye uzi wangu ulopota. Baada ya kupata mishe mkoa wa Tanga nilifanikiwa kukutana na kufahamiana na watu wengi wafanya biashara hasa hasa. Miongoni mwa watu nilofahamiana nao kuna watu wa3 ambao nilikuwa nao na nipo nao closer kuliko wengine. Hawa jamaa...
  12. JamiiForums Tanzania Kauli ya Juma Nkamia Kuhusu Uchawa wake wa kinafiki kwa Magufuli Isibezwe

    Shalom, Mungu alituumba kipekee sana na kila mtu ana uhuru wake wa kufikiria aidha kupata, kupambana upate na kupambana usikose. Juma Nkamia kasema ukweli wake ambao hata katika utawala huu wa Bi Hassan tunayaona mengi sana, yeye mwenyewe alisema ana chawa wake. Wakati wa hatari kuna namna...
  13. JamiiForums Tanzania Mnafiki ishi naye Kinafiki: Ni wakati wa kumrudisha Kagere na Boko Simba

    Hawa ma forward walioletwa wameshindwa kuendana na kasi ya kikosi chetu. Tunawataka viongozi wetu msimu ujao wawarejeshe Kagere na Boko ili kuchukua makombe. Huu ni ushauri wa kitaalamu, Benchikha atanielewa vizuri kuliko popoma. Kihasibu ndugu Jobe na Fredi ni hasara sindio OKW BOBAN SUNZU
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Lowassa ni Waziri Mkuu Mstaafu au ni Waziri Mkuu aliyejiuzulu?

    Yaani mtu kajiuzuru mwenyewe kutokana na Ufisadi wake ambao Umeigharimu nchi pakubwa (hasa kwa kuitia hasara) halafu leo kafariki tunasema/tunamuita ni Waziri Mkuu Mstaafu! Lowassa alistaafu Uwaziri Mkuu wake kama wengine au alijiuzuru kutokana na Kashfa zake za Ufisadi alizojaribu kuzizima kwa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania ilipocheza na Zambia kinafiki Mayele wenu alijifanya kutupa moyo watanzania, haya mwambieni atutie moyo tena dhidi yao kesho

    Sasa kama anaipenda sana Tanzania kwanini asiende tu uhamiaji Tanzania na akaombe uraia kabisa na asiendelee kutuchosha kwa kujifanya anatupenda sana watanzania na Tanzania yetu?
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wanafiki wanashinda YouTube kutafuta matukio ya kupatia kiki za kisiasa. Huu ni unafiki

    Nachelea kusema kuwa Tanzania hakuna kiongozi mwenye uchungu na nchi hii. Kila mtumishi wa umma kaachwa afanye atakavyo. Akiharibu na taarifa ikifika kwenye media ndipo wanafiki (viongozi) hujitokeza kutoa kauli za kusimamisha kazi watumishi. Tangu Januari mpaka leo matukio ni mengi ambayo ni...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA yajitetea kinafiki. Yadai kuwa haikuwachongea akina Mwambukusi na wenzake mkutano ili Polisi wawazuie

  18. JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa Michezo wamegoma Kuwachambua Yanga SC waipendayo wakisubiria Kesho Simba SC ifungwe ndipo Wachambue Kinafiki

    Sasa nami GENTAMYCINE nawaambieni hapa hapa (tena leo hii) kuwa Simba SC Kesho hatufungwi na Prisons FC hivyo tutawaacha kwa Alama (Points) Tatu (3) na najua Jumamosi mtawahonga Geita Gold FC ili mshinde (tena Goli nyingi) ili Kuwatuliza Mashabiki wenu na Sisi Simba SC kwa makusudi tutatoka Sare...
  19. JamiiForums Tanzania Ushirikiano huu wa 'Kinafiki' kwa Timu za Tanzania zinazoshiriki Michuano ya Kimataifa GENTAMYCINE siuafiki na siutaki

    Yaani kabisa GENTAMYCINE niishangilie Yanga SC nisiyoipenda kuliko hata Shetani Lucifer na nizishangilie Yanga B Timu za Singida Fountain Gate FC na Azam FC? Waziri Damas Ndumbaro ( ambaye nakujua ni mwana Simba SC lia lia kama alivyo Naibu wako Khamis Mwinjuma ) acha Kukurupuka katika hili na...
  20. JamiiForums Tanzania Kusema Rais anashauriwa vibaya ni kujaribu kueleza kuwa Rais hana akili; naona ni ukosoaji wa kinafiki

    Kwema Wakuu! Hakuna Jambo ambalo linanikera kama kumsikia MTU akisema Rais anashauriwa vibaya na washauri wake. Watu wengi wanaosema hivyo ni Watu wasioweza kueleza mambo bayana. Ni Watu wakupindisha pindisha maneno. Wasioweza kutamka nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Rais kama kakosea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…