kina

KINA (910 AM) is a radio station broadcasting a news/talk format. Licensed to Salina, Kansas, United States, the station serves Salina and communities to the northwest. The station is currently owned by Eagle Communications.KINA originally went on the air in April 1964 as KLSI. Missouri disk jockey Sam Bradley fought with Kansas broadcaster Sherwood Parks over the original construction permit (CP) for almost 6 years beginning around 1958 until the two agreed to put the station on the air jointly in 1964 with Grover Cobb and Cobb's mother Ruth as stockholders. The call letters would change to KINA in September 1970. Parks would buy out his partners in February 1979 and then sold KINA late the same year to a group of Topeka businessmen, dba Smoky Hill Broadcasting. In 1995 Hays-based Eagle Communications, the current owner, acquired KINA.
The broadcast studios were located at 108 E. Walnut in downtown Salina and programmed Top-40 music to a teen audience and the servicemen at Schilling Air Base, which was still operational in 1964. By the late 1970s KINA was broadcasting country music.
KINA's dial position at 910 kHz would prove troublesome, as it was exactly on the second harmonic of radios with a 455 kHz IF (intermediate frequency). This resulted in an annoying tone or whistle in the background of the station's programming on home radios. This problem has since been overcome with modern digital radios.
Under the current news and talk format, KINA currently airs such syndicated talk shows as The Laura Ingraham Show, The Savage Nation, The Alex Jones Show, The Mark Levin Show, as well as two local talk shows and Fox Sports Radio overnights and weekends. KINA is also a radio affiliate of the Kansas City Chiefs.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Kikatiba, Utawala wa Samia mwisho wake ni leo. JWTZ chukueni nchi na wakamateni kina Mafwele na wengine wote

    Kikatiba utawala wa Samia umefikia kikomo leo. Baada ya leo anapaswa kuachia kiti cha Urais maana si Rais tena. Kwa namna alivyoivuruga nchi na kuwavuruga Watanzania ikiwemo kuwaua huku akisigina Katiba tunaomba JWTZ mchukue nchi usiku huu wa leo au hadi kesho Pia tunawaomba muwakamate Mafwele...
  2. Kama Mlaji siwaelewi Wasanii wanaowabagua kina AI; waache tuchague wenyewe; Case in Point: Emily Blunt among Hollywood stars outraged over 'AI actor'

    Binafsi nadhani burudani mwisho wa siku ipo kuburudisha na sio kuhakikisha mburudishaji mmoja anapata kiasi gani au kukosa kutokana na ujio wa hiki au kile; Ofcourse pale AI inapojifanya mtu fulani bila kutoa Credit nitaelewa muhusika akilalamika ila sio Waburudishaji kuja juu eti hawa AI...
  3. Kina nani walitumwa Kwa Lissu kwenda gerezani kumshawishi atoke, je Lissu ni tishio Kwa Serikali?

    Kwenye hii nchi machawa walikuwa wanamchukulia poa Lissu, lakini muda ume prove kuwa the man has influence. Serikali sio wajinga kuumiza kichwa na kutafuta exit plan ya kumwachia Lissu. Tuliambiwa na Heche kuwa Kuna team ilitumwa gerezani na Samia ya kumshawishi Lissu akubali kuachiliwa lakini...
  4. Tufunge na kuomba kufukuza pepo la mikopo linalowatesa kina mama, dada, wake, shangazi na wanawake wangine wengi

    Kina mama mna tatizo gani aisee? Mikopo.. mikopo.. mikopo. Kuna case kadhaa za kina mama kujiua kwa sababu ya kuzidiwa mikopo. Kuna cases za ndoa kuvunjika pia. Wanawake wengi mnakopa sana bila kufikiria mara mbili. Hali ni mbaya sana. Mitandaoni nimeona watu wengi wakilalamika kuona mama zao...
  5. Umewahi kuuziwa kiwanja ambacho kina mgogoro?

    Ni mara chache hutokea ukanunua kiwanja kwa ajili ya ujenzi kisiwe na migogoro, aidha kwa aliyekuuzia au jirani yako akasogeza mpaka ili mradi mgogoro utokee, Wakati mwingine unaweza kuuziwa kiwanja kumbe ni cha mtu mwingine pasipo wewe kujua, Mimi binafsi jirani yangu alisogeza mpaka kisa...
  6. Tamaa ya binadamu hubeba hatari inapobebwa dhidi ya kina

    Mnamo Machi 2022, manowari ya Felicity Ace iliyokuwa imebeba magari ya kifahari tupu ilishika moto na kuzama karibu na Azores, na kupeleka maelfu ya magari hayo ya kifahari kuzama kwenye sakafu ya bahari. Miongoni mwa magarii hayo ni baadhi ya brand zinazopendwa zaidi ulimwenguni na matajiri au...
  7. I

    Tafakuri ya kina ya No Reforms, No Election

    Habari watanzania Bila kupoteza muda ningependa niende moja kwa moja kwenye mada ninayotaka kuongolea. Kila mmoja nadhani atakubaliana nami kwamba swala la NO REFORMS NO ELECTION limeibua hisia tofauti akilini mwa watu, Kiuhalisia mjadala wa NO REFORMS NO ELECTION si jambo dogo kwa kuwa ni...
  8. Mchezo wa kurushiana Risasi utahitaji Bullet Proof vest au kujificha huku unashambulia; Kwako Tundu Lisu baada ya kutoka usifanye kama Kina Mdude Chad

    Hamjambo Wote! Mwezi septemba unaoanza kesho utakuwa na hekaheka nyingi sana. Mambo mengi makubwa yanatarajiwa kutokea. Ni mwezi ambao Wagombea na mahasimu wao wanatakiwa kujihami zaidi na kujilinda huku wakifanya mashambulizi ya kushtukiza ya kimkakati. Wagombea Wapya katika nafasi mpya kama...
  9. K

    GE2025 Maridhiano yaliyoahidiwa yanahusu nini?

    Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikika kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya. Nataka sasa awaeleze waTanzania maana ya maridhiano hayo ni nini, ikiwa wakati ahadi hiyo ikitolewa hatua za maovu ya...
  10. Migodi na Rasilimali za Taifa Wanapewa kina Rostam na CCM, halafu wao wanajengewa Hospitali na Wajerumani

    Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana. Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya Tujitegemee ambapo wanaiba na kupiga wapendavyo. Haya yakifanyika na Wananchi tukizidi kuwa...
  11. Baada ya kutafakari kwa kina nimeona October nitiki

    Wakuu Mimi October ninatiki .
  12. Nyuma ya ukosoaji na ushauri unaotolewa na Wananchi kwa Serikali ndipo pa kuangaliwa kwa kina.

    Kumekuwa na wimbi kubwa la washauri na wakosoaji wa masuala mbalimbali yanayofanywa na Serikali jambo ambalo linaloteteresha utangamano wa Kitaifa. Tumeshuhudia Wazee ambao kwa kweli ushauri wao ni muhimu wakishauri kwa kukosoa au wakishauri vijana kukosoa pale wanapoona kuna ukakasi...
  13. M

    Msaada ninaomba kuambiwa ni chuo gani ? Kina toa shahada ya ufuatiliaji na utekelezaji wa miradi kwa Tanzania

    Msaada wa vyuo au chuo kinacho toa shahada ya ufuatiliaji na utekelezaji wa miradi Tanzania
  14. E

    Mpina anarudia makosa yale yale ya kina Mrema, Membe na Lowassa

    Aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina sasa amehamia CCM na anatajwa kuwa mgombea uraia s wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ilikuwa wazi kwamba Mpina asingepitishwa kwenye kura za maoni za CCM licha ya wananchi wa jimbo lake kumpenda. Hiyo ni kutokana na msigano wake na...
  15. Hiki kidoti kwenye paji la uso kina maana gani?

    Wajuvi wa dini tujuzane
  16. Ufafanuzi wa kina kuhusu Utatu Mtakatifu: Je, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu watatu?

    Kuna watu wanaojiuliza: “Kama Mungu ni mmoja, kwa nini Wakristo husema kwamba kuna Baba, Mwana na Roho Mtakatifu? Je, wanaabudu Mungu watatu?" Kabla ya kujibu swali hilo ngoja nieleze nafsi ya mwanadamu ni nini. Ukiielewa nafsi ya mwanadamu itakuwa rahisi kufahamu vizuri nafsi tatu za Mungu au...
  17. N

    GE2025 Afrika ukifanyika uchaguzi wa uhuru ni Marais wachache watabaki kwenye viti vyao kina Ibrahim Traoré wa Burkina Faso na Hichilema wa Zambia

    Hali ya demokrasia imekuwa ni mbaya kupitiliza kila kukicha Viongozi sio chaguo la wananchi na wanafanya kila namna kuhodhi madaraka kwa dola na yeyote anaekuwa tishio kwenye nafasi zao hushughulikiwa
  18. A

    Mama punguza upole, mboni zako zinachezewa

    Kuna kikundi cha watu hawataki kukuona ukiwa kwenye kiti ulichokalia. Wanaleta Kila aina ya chokochoko. Wanafanya hivyo kwasababu ya upole wako na roho ya huruma ya kimama uliyonayO hivyo wanakuchukulia poa. Nadhani sasa umefika wakati wa kuwa bandidu na kutocheka na "wowote" Manyang'au hawana...
  19. Tatizo la definition ya democracy ni kua haisemi hao “people” ni kina nani.

    May be the “people” in question are those in power or those with power. May be the “people” are those with a lot of money who can change the direction of the government or they can enjoy their freedom. Like nakuaje kwenye kundi la “people” kama kura yangu haina nguvu hata kwa kumchagua...
  20. Watu wenye maono na utafiti wa kina kama Polepole wanafaa kutuongoza katika nafasi ya Rais

    Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nilimsikiliza jana Polepole, ni wanaccm wachache sana wanaweza kuchambua mambo kama yeye, na nathubutu kusema kwa dhati kabisa, hata Rais Mama Samia hawezi na hatoweza kufanya hayo. Wala hawezi kuweka mdahalo na Polepole. Ningependa siku moja hawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…