Habari za wakati huu.Kama kawaida yangu huwa napenda kuleta mada na mijadala mbalimbali inayohusu biashara na ujasiriamali.Mijadala hii inalenga zaidi kupeana mbinu,ujuzi na uzoefu ambao utakuwezesha wewe mfanyabiashara mdogo uweze kufahamu kwamba kufanikiwa katika biashara sio swala la bahati...