Raia wa Ghana Frederick Kumi maarufu mtandoni ‘Abu Trica’ amekamatwa kwa tuhuma za utapeli wa kimapenzi na kuwaibia wazee na watu wazima ambao ni Wazungu nchini Marekani kiasi cha fedha Dola milioni 8 za Marekani.
Waendesha mashtaka wa Marekani wanasema kijana huyo mwenye miaka 31, alitumia...
Kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mwenye ulemavu wa sauti (bubu) kuna faida zake kipekee, hasa ukimpenda kwa dhati. Baadhi ya faida ni hizi:
Mawasiliano ya ndani ya moyo – mara nyingi watu wenye changamoto ya sauti hutumia zaidi hisia, ishara na macho kuwasiliana. Hii hujenga connection ya...
Habari za muda huu
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 27.
Miezi minne iliyopita nilikutana na Binti wa miaka 25 ambae tuliingia kwenye mahusiano kwa takribani miezi minne ila tuliachana kutokana na changamoto ya yeye kudai kua nimeshindwa kumuhudumia upande wa nahitaji yake ya kifedha
Baada...
Nimekuwa nikiona pattern fulani ya ajabu kwenye mahusiano. Wanawake wengi wakiwa kwenye 20s wanakuwa na nguvu nyingi za kimapenzi, kupenda kujaribu mambo mapya na kubadilisha wapenzi mara kwa mara. Lakini wakifika 30+ wengi huonekana “kutulia” wanapenda mtu mmoja, maisha ya utulivu na mara...
Its either wanaingilia harakati zako humu au basi wewe ni sadist.
Kuna wakati mwanaume alichohangaika na mwanamke ni kupata penzi lake pekee ila siku hizi vijana wa kiume nao wanaumia na maamuzi ya kimapenzi ya wadada 🤣🤣
Trash🚮🚮
👩❤️👨Achana na wake za watu. Hauwezi vumilia maumivu ya consquences zake.
🚗Ukinunua gari hakikisha una uhakika wa kurudisha hicho kiasi cha bei ya gari kirahisi.
🍑Kama demu ni mwenye matako makubwa hakikisha uwe na moyo mkubwa pia.
💵Kama ni bwana pesa nyingi hakikisha uwe na uvumilivu mwingi...
https://www.jamiiforums.com/threads/ushawahi-kujichanganya-kimapenzi-mpaka-ukawa-unawaza-hapo-nyuma-ulikosea-wapi.2291358/
Kwema wanafamilia....
Maisha haya hayana mapumziko, hasa hasa sisi wanaume, wanakuambia utapumzika ukifa.... Misukosuko nayo ni sehemu ya maisha hata ujitahidi vipi...
Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda ambaye alifariki Mei 10, 2025 kwa kushambuliwa na kitu chenye ncha kali.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa, Augustino Senga amesema wanamshikilia Lameck Mwamlima (29), Fundi...
Unaambiwa Mpenzi wako nae ana wapenzi wake😅😅
Mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Dodoma inaongoza kuwa na watu wenye wapenzi zaidi ya wawili.
Wastani wa kila mkazi wa Dar es Salaam ana mahusiano ya kimapenzi na watu tisa, Lindi watu nane na Dodoma watu watano.
Chanzo: Ripoti ya Afya, Malaria na...
Naamini hili jukwaa a JF litadumu sana!
Naamini miaka mia mbele, Bado Mapenzi yataendelea kuwasumbua watu kama ilivyo Sasa kama ni hivyo, hebu tuwashauri na kuwapa taarifa mbalimbali vitukuu vyetu hivyo vijavyo zilizotokea Hadi kufikia 2025 Ili wafanye rejea na kuwapa uwanja wa kujifunza na...
Athari za Uongo katika Mahusiano ya Kimapenzi
Je, umewahi kuhisi uchungu wa kudanganywa na mtu unayempenda? Uongo ni sumu inayochoma polepole, ikiharibu msingi wa mahusiano na kuacha majeraha ya kihisia yasiyopona kwa urahisi.
"Kama wengi wanavyogundua kwa masikitiko, mahusiano yasiyojengwa...
1. Mwanamke anatumia sex kama zawadi, adhabu au nyenzo ya ulaghai kwa mwanaume.
Umemfurahisha ? Atakupa sex. Umemkosea? Atakunyima sex. Umemfanyia wema? Atakulipa sex. Anataka kitu kutoka kwako? Ata-negotiate kwa sex.
Usitarajie kupata valuable return yoyote kutoka kwa mwanaumke. Anakuja...
Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana ukiwa na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda wako uliojipangia
Bara la Afrika ni la tofauti sana, katika jamii zetu utaanza kupitia matatizo ya masimango baada ya kubalehe endapo hutaonekana...
Naandika uzi huu wa historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja niliyempenda lakini wazazi wake wakaharibu na sasa wanajuta
Hii ni historia ya kweli na sio fiction. Katika maisha yangu nilimpenda binti mmoja na tuliendana sana kiasi kwamba tulipendana kwa dhati
Wachawi wa mahusiano...
CHUKUA HII:
Hii ni kwa pande zote, wewe mwanaume au mwanamke. Kama una rafiki yako wa jinsia tofauti ambaye si mpenzi wako lakini mna mashirikiano mazuri kwenye biashara, epuka kutongozana.
Iwe ni biashara ya pamoja (kuchangia mtaji), biashara ya kubadilishana au kuuziana bidhaa, biashara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.