kilo

Kilo is a decimal unit prefix in the metric system denoting multiplication by one thousand (103). It is used in the International System of Units, where it has the symbol k, in lower case.
The prefix kilo is derived from the Greek word χίλιοι (chilioi), meaning "thousand". It was originally adopted by Antoine Lavoisier's research group in 1795, and introduced into the metric system in France with its establishment in 1799.
In 19th century English it was sometimes spelled chilio, in line with a puristic opinion by Thomas Young.

View More On Wikipedia.org
  1. Postal wamenikatalia kusafirisha nusu kilo ya kahawa mpaka kibali bila kuniambia kibali Cha nini

    Habari wakuu? Kuna rafiki yangu aliniomba nimkaangie buni ya kahawa ya Kilimanjaro nimtumie ujerumani,sasa nimeenda pale postal EMS wamesema hawatumi kahawa mpaka kibali na wenyewe hawajui kinapatikana wapi. Msaada wakuu kama kuna mtu anakijua hicho kibali Cha Nini na kinapatikana wapi...
  2. Kilo moja ya Ruby inauzwa TZS billion 657

    Kilo moja ya rubby inauzwa TZS billion 657 CONVERSION OF CARAT TO GRAMS 1 carat = 0.20 grams Therefore 8400 carats -=420 grams= 0.42 kg Hii rubby haifiki hata nusu kilo, lakini bei yake ni billion 276. Kwa hiyo kilo moja ya rubby inauzwa billion 657 Source: Ruby yenye thamani ya bil 276...
  3. Nimenunua kilo ya mbegu za maboga 12000 Moshi

    Wadau, Nikiwa nahangaika kupata materials ya lishe kwa ajili ya shangazi yangu mwenye kisukari. Nilizunguka soko la mbuyuni Moshi kila kona kutafuta mbegu za maboga sehemu moja nilienda bei Kg 1 ni kuanzia 15000, nikajua hataki kuniuzia kwa sababu mwaka jana nilinunua 8000 kwa kilo. Nikaenda...
  4. Naomba kujuzwa bei halisi ya Vanilla kwa kilo

    Nataka nitafute masoko ya Vanilla nje ya mipaka ila kabla ya yote ningependa kujua bei ya Vanilla ni TZS ngapi kwa sasa hasa maeno inapotoka iwe Kilimanjaro, Bukoba ama Iringa. Naomba anayejua anishirikishe niweze kujua bei ya kwenye source mashambani huko au kwenye zile AMCOs
  5. INAUZWA Jipatie samaki wabichi aina ya kumba/sato/tilapia/perege kutoka rufiji - tsh 10,000/- kwa kilo

    Habari za Leo wanafamilia? Tunauza Samaki wabichi aina ya Kumba/Sato/Tilapia kutoka Rufiji kwa bei Tsh 10,000/ kwa kilo. Samaki hawa ni wakubwa wa size ya juu na kati ambapo uzito wao huwa gram 200 - 400 kwa samaki mmoja. Tunapokea oda za watu wa majumbani na wa biashara. Tunapatikana Mnazi...
  6. Kumbe wale wanaotaka order ya kiti moto kilo 1.5 na ugali huwa wanapanua utumbo tu

    Huyu Mzee mwaka 1550 alijiona anachoka sana, Aliangalia chakula anachokula na kukipunguza kufikia 350g na 414 mls za wine kwa siku. Kwa hesabu za haraka haraka alikula yai moja asubuhi kama kifungua kinywa. Kipande cha nyama, kuku au samaki saa kumi jioni kikiwa na kiazi na mboga. Ukubwa wa...
  7. Biashara ya Vanilla, Tshs 850,000 kwa kilo; Kuna nini nyuma ya tangazo hili?

    Nisiwachoshe bure nitaandika kifupi sana. Kuna tangazo limepata airtime kubwa kwenye ITV kuhusu Vanilla International inayo promote kilimo cha vanilla wilayani Njombe. Bottom line ni bei ya soko ya kilo moja kuwa ni Tsh 850,000. Wasiwasi wangu: 1. Kama faida ni kubwa hivyo kwa nini wasilime...
  8. Nimeanza kupata mashaka na vitu ambavyo vimefungashwa tayari kwenye utimilifu aidha kilo au lita

    Wadau naanza kuwaza ukienda kununua vitu vilivyokuwa tayari ndani vifungashio tupimiwe tena nimenunua sukari kg 25 yaani nyepesi ata mjukuu wangu anaibeba mafuta lita 20 aisee unainua na kidole gesi hizi za kuletewa nyumbani na pikipiki nazo wiki imeisha yaaani tambi pakti moja njiti mia...
  9. Kilo 1.2 ya heroin yawafikisha mahakamani

    Watu watatu wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mkoani Dar es salaam, wakikabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin kilo 1 na gramu 200. Washtakiwa hao ni Andrew Paul, Said Mugoha na Geroge Mwang’ata wote wakazi wa Temeke mkoani Dar es salaam...
  10. Kiongozi wa Mwenge agoma kuteketeza zaidi ya kilo 3000 za bangi

    Kiongozi wa mbio za mwenge josephine Mwambashi amegoma kuteketeza kilo zaidi ya 3000 za madawa ya kulevya aina ya bangi na misokoto zaidi ya mia nane baada ya kutolidhishwa na eneo lililotengwa kufanyia shughuli hiyo kwakua ni sehemu ya makazi ya watu. Kiongozi huyo amegoma kuteketeza madawa...
  11. S

    Napendekeza tukatwe kodi ya Tsh 50/= kwa kila kilo ya mchele na unga wa mahindi/ngano badala ya laini za simu

    Tukifanya hivi tutakuwa tumepanua wigo wa makusanyo ya Kodi kwa maana ya idadi ya walipa kodi wangeongezeka. Tutapata hela nyingi, na karibia kila mtanzania atashiriki ktk ulipaji wa Kodi na ujenzi wa taifa kwa ujumla. Tutachangia hela kidogo sana (Tsh 50/= per kilo) lkn fedha itakuwa nyingi...
  12. Nitapata wapi kamba za Katani kwa kilo?

    Habari Wakuu, naomba nisaidiwe wapi nitapata kamba za Katani kwa uwingi na bei ya jumla.. Najua zinapatikana kwenye hardwares lakini mimi mahitaji yangu ni makubwa hivyo ningependa kuzinunua either kiwandani au kwa wholesalers.. Asanteni!!
  13. Biashara ya dawa za kulevya kurejea kwa kasi? Watanzania 2 wakamatwa na Cocaine kilo 2 tumboni Uwanja wa ndege wa Mumbai

    Kwa masikitiko makubwa naangalia jinsi wasafirishaji wa Madawa ya kulevya wameona kuwa huu ni muda muafaka kuanza biashara yao haramu. Baada ya lile tukio la kukamatwa kwa kiwango kikubwa zaidi ya tano moja kule lindi ambapo ukisoma muendelezo wake kwenye magazeti utaona hati ya mashtaka...
  14. Naomba kujuzwa bei ya ufuta

    Mambo vipi wakuu. Naomba kujua bei ya ufuta kutoka shamba inanunuliwa kwa shilingi ngapi kwa kilo nina kama gunia tano 5 Nipo Moshi Kilimanjaro, mawasiliano 0657291795
  15. U

    Ninahitaji Choroko, kilo kwa Tshs 1400 Dar

    Hello wapendwa peleni na majukumu, kwa sasa nipo Dar nina shida na mzigo wa choroko kilo ninanunua 1400. Ninahitaji mzigo mwingi hata Tani 500 kama kuna MTU ana mzigo tuwasiliane.
  16. J

    Kamanda Mambosasa: Polisi hawakugawana nyama za wafanyabiashara bali ziliteketezwa na nyingine ilifukiwa ardhini, zilikuwa kilo 130 siyo 800!

    Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema tume iliyoundwa kuchunguza sakata la nyama ya wafanyabiashara imegundua nyama yote iliteketezwa. Mambosasa amesema tume ilionyeshwa shimo kubwa ambamo minofu na mautumbo ilifukiwa na sehemu nyingine ambayo miguu na makongoro...
  17. J

    KASHFA: Polisi wa Buguruni Dar, wadaiwa kudhulumu kilo 800 za nyama na kugawana

    Wafanyabiashara wa nyama za mafungu huko Vingunguti wamelalamikia kitendo cha Bodi ya nyama kukamata nyama zao na kuzipeleka kituo cha polisi Buguruni ambako badala ya kuiteketeza waligawana na kubakiza makongoro. Akiongea katika eneo la tukio Meya wa Jiji la Dar es Salaam mh. Kumbilamoto...
  18. Nahitaji freezer la kilo 400

    Wakuu Habari Nahitaji Freezer kwa ajili ya kuweka samaki but nataka ambalo ni kubwa linaloweza kubeba hata kilo 400 Naitaji jipya sio mtumba, Mwenye nalo tafadhali ni_PM niko Dar es Salaam
  19. D

    Nina uzito wa kilo 79, Nimekula nyama kilo moja na robo na ugali kisha nikapima uzito bado ni uleule kilo 79: Kwanini?

    Hii imekaaje wataalam! Jana nilitengeneza kitoweo cha ugali na nyama kilo moja na robo! Kabla ya kuanza kula nilipima uzito wangu ikasomeka Nina Kilo 79! Nikaandaa nyama fresh na ka-ugali kadogodogo, kabla ya kula, nikasimama na sinia langu la chakula kwenye mzani kilo zikasoma 81, ( maanake...
  20. Naomba kujua Bei ya Choroko kwa kilo

    Naomba mwenye ufahamu wa bei ya choroko kwa kilo sehemu mbali mbali hapa nchini kwa kipindi hiki anijuze. Natanguliza shukrani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…