Mpenzi wangu ana tabia ya kunilinganisha na ex wake karibu kila wakati. Nikifanya jambo fulani, ananiambia ex wake alikuwa akifanya vizuri zaidi. Nikikosea, hunikumbusha jinsi ex wake alivyokuwa tofauti. Mwanzoni nilipuuzia, lakini sasa maneno hayo yameanza kuniumiza.
Nimewahi kumuuliza kama...