kikwete

  1. JamiiForums Tanzania Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

    Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ? Sasahivi kila...
  2. JamiiForums Tanzania Ni aibu na fedheha kwa mama Salma Kikwete kuendelea kugombea ubunge.

    Inamaana hakuna mtu mwingine mwenye uwezo wa kuongoza huko lindi?
  3. JamiiForums Tanzania Kauli ya kikwete "zakuambiwa changanya na zako" na ile kauli nyengine ya kusifia uchaguzi wa Kenya kuwa wa uwazi zaidi inatupa picha gani ?

    Kauli ya kikwete "zakuambiwa changanya na zako" na ile kauli nyengine ya kusifia uchaguzi wa Kenya kuwa wa uwazi zaidi inatupa picha gani ? Nilimsikia kikwete anasema ukienda kupiga kura "za kuambiwa chanyanya na zako" pia alisema uchaguzi wa Kenya ni wa uwazi sana kiasi kwamba mtu anaweza...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tazama namna Ridhiwani Kikwete alivyoingia kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri huku akisikilizwa kwa umakini na wenzake

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo namna Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Alivyoingia Kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo na kuongozwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Sana Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msikie Kikwete, Alisema Uchaguzi wa Kenya ni wa Uwazi, lakini Tanzania anataka Tuendelee na staili zetu za Uchaguzi

    Kabla Hatujaanza Kudiscus, msikilize Mzee kikwete akisifia uchaguzi wa kenya jinsi ulivyo na Uwazi, kiasi kwamba katika chumba cha kupigia simu wakala anaruhusiwa kuingia na simu na kupiga picha matokeo na kuyatuma makao makuu ya chama. Lakini pia kikwete alishawahi kusema haya (((((Ninaomb a...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Kikwete alikuwa dikteta? Kwanini umafia wake unafichwa?

    Kifo Cha Chacha wangwe Kifo Cha utata Cha Amina chifupa Kifo Cha utata Cha aliyekuwa waziri wa fedha kabla ya pesa za escrow kuchotwa Stanibic na mkombozi bank! Kifo Cha Sengondo Mvungi wa bunge la katiba Ulimboka aling'olewa kucha na kisa kutetea maslahi ya madactari. Kupigwa Kofi kwa Jaji...
  7. JamiiForums Tanzania Kikwete: Nani hao akina "na mimi mwenzenu"?

    Leo, June 21, 2025, JNICC katika kongamano la sheria kuelekea uchaguzi mkuu, lililoandaliwa na Chama cha mawakili wa serikali, Mh. Jakaya kikwete, amesimulia kisa cha kufikirisha sana. Kwakifupi sana; kisa hiki ni cha mlevi wa gongo, kuzamia kikao cha kahawa, na kujitambulisha "na mm mwenzenu"...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kikwete, kwa heshima na taadhima hujatimiza wajibu wako kama Mzee wa Taifa, Rais Mstaafu kumshauri Rais wetu

    Nadhani ni wajibu wako mkubwa , tena wa heshima kumhsauri Rais wetu unapoona kuwa kuna kitu hakiendi vizuri. Washauri wake wengine wanaangalia inclination yake na wao wanapitiliza humo humo. Hawawezi kumwambia ukweli kuwa hili achana nalo, halitaleta afya kwa Taifa. Wanaogpa kumkasirisha...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kikwete atetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?" Ameyasema hayo leo Juni 21 katika...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Itakapofika Oktoba (siku ya kupiga kura), akili za kuambiwa changanya na zako

    Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema, licha ya vyama mbalimbali vya siasa kuwa na kauli mbiu zake zikiwamo za "Piga kura linda kura (ACT Wazalendo, "Oktoba tunatiki ya CCM na No Reforms No Election ya Chadema, itakapofika siku ya kupiga kura, " akili za kuambiwa changanya na zako." Ameyasema...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete Atakuwa Rais wa Tanzania kuanzia Mwaka 2040 Baada ya Kumalizika Kwa Miaka Kumi Ya Urais wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi kuanzia 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeota ya kuwa Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Atakuwa Rais Wa Tanzania kuanzia Mwaka 2040. Ambapo Urais wake ataupokea Kutoka Kwa Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi .Ambaye ataanzia 2030 Mpaka hiyo 2040 na kumkabidhi kijiti Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete. Hii itakuwa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete CCM ina Wazee unawaita Wazee kwenye hili angalia hatua zako mbele kuna shimo kubwa

    Mh Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naomba kukung'ata sikio ila pia naomba pia sio lazima chukua wazo langu mimi ni mdogo sana ila natamani kuona ccm na Taifa lina kuwa tulivu na ccm ina tawala hata kama miaka mia ila zingatia haya. Wewe ni Rais mstaafu kama wastaafu wengine wa serikali epuka kuwa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kauli Tata za Gwajima dhidi ya Kikwete zarejea kwa Samia

    Askofu Josephat Gwajima ameendelea kudhihirisha chuki zake dhidi ya Uislamu, msimamo aliokuwa nao tangu enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ambao sasa ameuhamishia kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Si mara moja wala mara mbili ambapo Gwajima ametumia majukwaa ya dini na siasa kutoa kauli zenye...
  14. JamiiForums Tanzania Mstaafu Kikwete, hebu shauri jambo

    Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea...
  15. JamiiForums Tanzania Maneno ya Mzee Kikwete " Labda Mambo Yaharibike Saana " yametimia rasmi

    Wahenga walisema nyakati huzungumza. Kuna siku Mzee Kikwete alisema Mgombea wa CCM ni Samia ila haitakuwa hivyo labda mambo yaharibike saana. Sijui kwa nini yule mzee aliongea yale maneno, ila kwa haya yanayotokea hapa nchini Tanzania sasa ni dhahiri shahiri kuwa Maneno yale yametimia. MAMBO...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kikwete: Uchaguzi usiwe chanzo cha kuhatarisha amani ya nchi yetu

    Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa wito kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa vitendo na kuhakikisha kuwa amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa vinaendelea kudumishwa, hasa katika kipindi hiki kinachoelekea uchaguzi. Akizungumza Mei 25, 2025 katika...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia amechukua negative za Kikwete na Negative za Magufuli akaziweka pamoja na ndiyo mpango wake wa utekelezaji

    Negative za Kikwete ni kwenye kuruhusu ufisadi wa wazi wazi. Kwenye demokrasia alikuwa na uafadhali. Huyu mama Samia akaamua kubeba hilo la kuruhusu ufisadi wa wazi wazi akaamua kwenda nalo na kuacha hilo la demokrasia. Hilo ameona siyo kipaumbele chake. Hayati Magufuli yeye hakuruhusu ufisadi...
  18. JamiiForums Tanzania Not in my country: Wasituharibie kwetu! President Suluhu warns against foreign activists interference in Tanzania

    Now, 2025! Tanzania's President Samia Suluhu has defended the recent deportation of some high-profile Kenyan nationals, accusing unnamed foreign activists of attempting to destabilise the country's internal affairs asserting "Tanzania won't tolerate foreign interference. She pointed to a...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Nimeona leo Mzee Kikwete anamshangaa Rais Samia!

    Kikwete ni kama anamshangaa leo Samia hasa aliposema Tanzania sio shamba la bibi! Kikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani? Lissu kawashinda Mkapa, Kikwete na Magufuli huyu Mama na Polisi mchara machawa hawatamweza. Lakini...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Mkapa alisimamia uchumi, Kikwete demokrasia, Magufuli maliasili, Samia kama hivyo vimekushinda hata UTU?

    Watu wake wanatekwa mchana kweupe, she doesn't care. Wananchi wanauawa waziwazi, anasema, KIfo ni Kifo tu, hata vyenye utata? Katiba iliyomuwena madarakani anaita, KATIBA ni KIJITABU tu. Baada tu ya Magufuli kufariki March, Julai ukamshtaki Mbowe kwa Ugaidi, leo Lissu yupo ndani umemshtaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…