kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

    https://www.youtube.com/live/ie3dUDq4evE Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza. Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka...
  2. D

    KIKUU mnachofanya sio sawa, bahasha tupu halafu mmesepa na 28,000 yangu

    Nimeagiza mzigo mdogo tu ili nipate experience ya Kikuu na niwe naagiza mara kwa mara. Matokeo yake nimeletewa bahasha yenye kibahasha kidogo ndani na haina kitu. Aliyeleta anasema yeye anafikisha vifurushi tu na hausiki kwenye kupakia au kufunga mizigo hivyo n iwasiliane na hao Kikuu...
  3. T

    Chalamila: Natamani katiba mpya iseme ukimaliza chuo kikuu huna ajira ulipwe nusu mshahara mkopo wa elimu ya juu usiombwe upewe lazima.

    Amesema mtazamo wake kuhusu katiba ni kuleta nafuu kwenye maisha ya kila siku mf. Wanawake wasio na ajira wapewe mikopo bila riba mtu akifa maiti isidaiwe chochote na kijana akihitimu masomo na serikali haijampa ajira baada ya miaka mitano ianze kumlipa nusu mshahara mpaka atakapo pata ajira.
  4. B

    Rais Samia afanikisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tawi la Kagera kuanza kujengwa RC Mwassa asisitiza uharaka

    Na Bwanku M Bwanku 🔨Kukamilika mwaka mmoja na nusu ujao, kwenda kufuta adha ya Mkoa wa Kagera kutokuwa na Chuo Kikuu. Wiki iliyopita ilikua ya furaha na ndelemo baada ya Mkoa wa Kagera kuanza rasmi ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Tawi la Kagera na kufuta changamoto ya mkoa wa...
  5. Hali ya Uripoti wa Habari Tanzania 2022 (Utafiti wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam)

    Utangulizi 1.0 Utangulizi Tangu kuzinduliwa kwa ripoti kamili ya Mradi wa Ubora wa Vyombo vya Habari Tanzania “Yearbook on Media Quality in Tanzania” mwaka 2018, tayari ripoti tatu zimeshachapishwa. Ripoti zote tatu, zimeelezea kwa kina ubora wa uripoti wa habari nchini na kwa hiyo ripoti hizo...
  6. HESLB: Fedha za kujikimu (Chakula na Malazi), Wanafunzi kuanza kupokea kuanzia Jumatatu, Mei 20, 2024

    UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA FEDHA ZA KUJIKIMU KWA ROBO YA NNE Ijumaa, Mei 17, 2024 Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu na umma kuwa tunakamilisha malipo ya fedha za kujikimu (Chakula na Malazi) kwa robo ya nne (Quarter IV) na wanafunzi watarajie kupokea fedha...
  7. Yanga Ifungue Chuo Kikuu cha Soka

    Najua maboss wa Yanga mko humu, tafadhali fungueni chuo kikuu cha soka ili kuzisaidia club mbalimbali za soka duniani kama vile Arsenal na Simba. Asante
  8. Wizara ya Afya: Vifo vinavyotokana na UKIMWI na Kifua Kikuu vimepungua nchini

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema idadi ya Vifo vya Wajawazito vimepungua kutoka Vifo 556 vilivyotokea mwaka 2016 hadi kufikia Vifo 104 kwa kila Vizazi Hai 100,000 Akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2024/25 Bungeni, pia, Waziri Ummy amesema Vifo vya Watoto wenye chini ya Miaka...
  9. Polisi Marekani wawapiga maafisa, Profesa katika Chuo Kikuu cha Washington St. Louis, wamewavunja mbavu

    Wanaukumbi. Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St. Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na kuvunjika mkono. Daktari mmoja alimwambia kuwa ana bahati ya kuwa hai. Ikiwa haya yangekuwa matukio ya...
  10. Waandamanaji wanaoiunga mkono Hamas wateka jengo chuo kikuu cha Columbia

    Katika hali inayoonekana kuongezeka kwa maandamano ya kuiunga mkono Hamas na kuilaani Israel huko chuo kikuu cha Columbia nchini Marekani,waandamanaji hao wameteka moja ya jengo la chuo kikuu hicho. Utekaji huo ulifanyika muda mfupi kabla ya onyo lililotolewa na kuondoka kwenye mahema...
  11. U

    Mkuu wa tawi la chuo Kikuu cha Al Mustapha , Ali Taghavi awataka waislam kuipenda quraan kwani imetoka kwa Mungu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Al Mustapha ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Taghavi Tawi la Tanzania amewaomba Waislamu wote duniani kukipenda kitabu kitakatifu cha Quraan akisistiza ni kitabu pekee ambacho waumini wote wamekubaliana kukitumia na kimetoka kwa Mungu...
  12. A

    KERO Ubovu wa miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma Ndaki ya Sayansi ya Kompyuta na Elimu Angavu

    Mimi ni mwanafunzi wa UDOM college of informatics and virtual education(CIVE). Hali ya miundombinu ya college hii ni mibovu sana na hatarishi kwa afya hususani vyoo. College ya CIVE ina jumla ya blocks 6, tatu katika hizo sita ni mbovu kupindukia. Block moja zima unaweza kukuta vyoo(matundu)...
  13. A

    KERO Tabia ya baadhi ya wakufunzi (lecturers) wa chuo kikuu kupekua Simu za wanafunzi Inakera

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ma lecturer wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza kuwa wanapekua simu za wanafunzi upende wa messages. Hii mara nyingi inatokea pale mwanafunzi anapoingia darasani kwa kuchelewa kidogo na hapo lecturer anamuomba mwanafunzi simu na kuanza kupekua sms, na ikitokea...
  14. Utovu wa nidhamu alioulea mwenyewe umemgeukia Lema. Hii ni aibu kwa chama kikuu cha upinzani

    Hakika hii ni wiki mbaya sana kwa chama cha Mbowe. Kitendo cha makada kutukanana mitandaoni ni kukivua nguo chama. Kilichonishtua sana leo ni kuona bingwa wa kulea vijana wasio na nidhamu ndugu Lema akijibiwa kwa dharau ya hali ya juu mtandaoni na mmoja wa vijana wa chama chake. Hakika hili ni...
  15. K

    Kwako Makonda, RC Mpya wa Arusha: Kipaupembele chako kikuu kama RC kiwe ni kuboresha mazingira ya utalii bora

    Kwako Mkuu wa Mkoa Arusha mteuliwa Ndg. Paul Makonda, ninakupongeza Kwa uteuzi wako ambao kimsingi umenipa furaha hususani Kwa kupelekwa mkoa ambao ni kitovu Kwa shughuli za utalii ndani ya nchi yetu. Utalii ni Moja ya sekta tegemeo katika upatikanaji wa fedha za kigeni na upatikanaji wa ajira...
  16. Yule mwanamke mzuri aliyeumbika, nyumba, gari, mashamba na biashara unayo kama ulivyopanga?

    Maisha mengi tuliyonayo yalianza kama picha inayojengeka akilini. Hakuna mwanadamu asiyependa vitu vizuri. Ushindani na matamanio ya mwanadamu yanazua mambo mengi. Pale unajaribu hili na lile ili kupata vizuri halafu ukavikosa ndipo akili inapoanza kuchanganyikiwa. Zipo nyuzi nyingi za...
  17. M

    Cheti cha Emmanuel Kayumpu kutoka chuo cha Mzumbe kimeokotwa

    Habari za muda wakuu; Kuna Cheti cha huyu mtu kamaliza mzumbe 2018 kimeokotwa ...nashare hapa Kwa anayemfah amfahamishe.
  18. Baraza la Madiwani ladai Kifo cha Hayati Magufuli kimekwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Chato

    BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita, limembebesha mzigo mzito Mkuu mpya wa Wilaya hiyo wakimtaka kufuatilia sababu za kukwama kwa ujenzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania tawi la Chato, tangu kutokea kifo cha Hayati Rais Dk. John Magufuli. Kauli hiyo imetolewa na...
  19. P

    Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Hivi unakiri vipi kwenye kweye TV inayotazamwa na watu wengi hivyo jambo linaloweza kukuingiza matatani? Haya sasa mambo yameharibika! Chuo Kikuu Ardhi kimepata taarifa kupitia Wasafi FM, chaneli ya YouTube ya mahojiano kati ya waandishi wa habari na mapacha wawili wanaofanana. Mahojiano hayo...
  20. Vyuo Vikuu 2 vya Tanzania ndani ya Top 10 kwa Ubora wa Elimu Kusini mwa Jangwa la Sahara. UDSM haimo

    Ni Vyuo Vikuu maarufu zaidi barani Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara? Vigezo vifuatavyo vya uteuzi: Kukodishwa, kupewa Leseni au Kuidhinishwa na Shirika linalotambulika linalohusiana na Elimu ya Juu katika kila nchi. Kutoa angalau Digrii za miaka mitatu au Digrii za Uzamili au za Udaktari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…