Rais William Ruto amewaongoza viongozi wa serikali, makamanda wa usalama, familia na wananchi katika sherehe ya 46 ya KDF Pass-Out Parade iliyofanyika katika Defence Forces Recruit Training School, Kamagut, Uasin Gishu.
Sherehe hiyo imeashiria kukamilika kwa mafunzo ya kijeshi kwa muda wa miezi...