Kikosi Maalum (meaning "Special Force" in Swahili), also known as the Special Battalion or the grand coalition, was a militia of Ugandan exiles formed in Tanzania to fight against the regime of Idi Amin. The unit was founded by and loyal to former Ugandan President Milton Obote, and served as his de facto private army. It was commanded by former army officers David Oyite-Ojok and Tito Okello. Kikosi Maalum took part in the Uganda–Tanzania War, fighting alongside the Tanzanian military against Amin's forces. In course of this conflict, the militia was nominally unified with other Ugandan rebel groups, forming the Uganda National Liberation Army (UNLA) in 1979. After the fall of Amin's regime and Obote's return to power, Kikosi Maalum became the core of Uganda's new national army.
Kipa Aishi Manula amerejea rasmi katika kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars, kitakachoingia kambini Machi 22, 2026 kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya FIFA Series 2026.
Orodha hiyo iliyotangazwa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi inajumuisha mchanganyiko wa wachezaji wa ndani na wanaocheza nje...
Tujuzane je INAFAIDA ipi au ni maonesho au kujitofautisha TU na kada zingine? Lete maneno.
Afande tujifunze.
https://www.facebook.com/share/r/1GW4mzUt29/
Hakuna matamko wala maandamano ya kuunga mkono hotuba za rais wala kazi za rais. CCM wote wapo kimyaaaaa! Na wengine wameanzisha kampeni ya kuchoma kofia, baiskeli na t-shirts za ccm.
Hata ndani ya serikali haramu aliyoiunda, ni mkwewe, Kabudi, Kombo (yule wa mambo ya nje) na Mwigulu tu ndiyo...
Hivi wana Jamiiforums hamjashtuka au mpaka tuwape code.
Ni hivi labda mtanielewa, kwamba hawa watu wana magroup yao kama wanachama na viongozi wao.
wanajadiliana kisha kuna mmoja analeta wazo au mada inapigiwa chapuo kisha ina pelekwa mitandaoni ijalishi kama ana media,msanii, account zao feki...
Kikosi cha Walinda Amani cha Tanzania kinachohudumu chini ya mwamvuli wa FIB-MONUSCO kimehitimisha rasmi jukumu lake la ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupitia gwaride maalumu la makabidhiano kati ya TanzQRF ya 4 na TanzQRF ya 5. Hafla hiyo imefanyika katika makao...
Kagoma, kibu, chamue na kante sio wakuwekwa benchi na akina maema, budo, kamara, na wengine.
Kiukweli kama Dp world anataka timu mpeni tu.
Huyu budo tunae mwaka sasa hana chochote basi tu. Mnatukosea sana washabiki.
Kuna mtu maarufu Sana katika utekaji kumbe ni mfanyakazi mtiifu wa kagame
Wanamtandao wamemtumia bila kumfahamu vizuri kwa sababu ya kutanguliza maslahi ya matumbo yao mbele
Nawaambia Samia asipojiuzulu kabla ya tarehe 9/12 Tanzania inaenda kuungua.
Hii taarifa nimeipata kutoka ndani ya idara...
Kaimu kocha mkuu wa Taifa Stars Miguel Gamondi ametangaza kikosi kitakachoingia kambini Oktoba 10 kwaajili ya maandalizi ya mechi ya kirafiki ya kalenda ya fifa dhidi ya Kuwait.
Mchezo huo kati ya Tanzania na Kuwait utachezwa Oktoba 14 katika mji wa Cairo nchini Misri.
Imeisha
Wakuu wa Vikosi vya JWTZ Dodoma tunaomba mji organise mshike ikulu ya Chamwino
Kwa Wakuu wa Vikosi vya JWTZ Dar tunaomba mshike Ikulu ya Magogoni
Wengine washike Benki Kuu, wengine TBC. Airport tayari zipo chini ya Jeshi.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu wabariki JWTZ
Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju.
Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana wa Kitanzania wanaotishia kufanya fujo. Haamini jeshi lake kwamba watafuata maagizo yake
kwa hivyo...
dharau
genge
jeshi
jeshi la uganda
jwtz
kikosi
kitendo
kudhibiti
maandamano
maandamano oktoba 2025
maandamano tanzania
samia
uganda
updf
wanajeshi
wengi
I salute you kinsmen
Folz tayari kishamlamba na sasa tuangalie mbele zaidi na kaimu kocha Mabedi..
Ila nina imani kuwa Bala mussa conte sio mbaya kihivyo ila mfumo tu ule ulimkataa.
Kama jumamosi kikosi kikiwa hivi hakika tunaua mbu kwa rungu la kipepe.
1️⃣Diara
2️⃣hapa acheze assinki...
Wanakumbi.
Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi cha kwa mtindo wa NATO.
Nchi za Mashariki ya Kati zinaungana kupigana na Israel pindi atakaposhambulia nchi yeyote ya Mashariki ya Kati naona kumeanza kuchamgamka sasa Netayahu kamchokoza tajri alikuwa anadhani Qatar ni kama...
Kuna watu wamempigia chapuo huyu Pacome, mara sijui anastahili uMVP mara hivi, cha kushangaza huyu jamaa aliitwa timu ya taifa kwa mara ya kwanza katika mazingira ya kutatanisha akiwa majeruhi baada ya hapo kwishnehi, hatusikii tena hizo habari.
Ametoka katika msimu ambao mashabiki maandazi...
Kikosi hiki cha zamani cha Simba SC kimeacha kumbukumbu kubwa kwa mashabiki wa soka nchini. Wengi walitoa burudani uwanjani na kutengeneza historia ya klabu.
Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?
Kocha wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, ametangaza kikosi cha wachezaji watakaoshiriki Kombe la Dunia mwezi Septemba. Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji wenye nafasi mbalimbali:
Goalkeepers: Dean Henderson, Jordan Pickford, James Trafford
Defenders: Dan Burn, Marc Guehi, Reece James...
Tusidanganyane na tusiwe Wanafiki wachezaji wenye Kucheza hizi Mechi za AFCON kiushindani ni wa Yanga, Simba na Azam tu pekee na kwa hao wengine tunabahatisha tu. Mpira wa sasa unahitaji Exposure hivi Wachezaji wa KMC FC sijui Mashujaa sijui Coastal Union SC na timu nyinginezo wana hiyo...
Msimu wa 2025/26 unaelekea kuanza, nyota wa soka la Bongo Clatous Chotta Chama na Jonas Mkude waliokuwa Yanga kwa sasa wapo huru, mastaa hao waliowahi kuwa panga pangua kwenye kikosi cha Simba unadhani safari yao sasa itahamia wapi msimu ujao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.