Wakuu natafuta eneo zuri la kufanya kikao na client, sio kikao official sana ila ni mtu ambae atujuani anakaa maeneo ya Goba.
Wanaofahamu maeneo hayo naomba suggestion za hotel au mgahawa tulivu tunaoweza pata lunch au soft drinks uku tukifanya maongezi. Iwe karibu na barabara sio pa kuelekeza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, tarehe 5 Machi, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Walikutana kujadili mrithi wa Ayatollah, jengo likashushiwa kitu kizito.....
The IDF targeted a building in which Tehran's 88-member Assembly of Experts was meeting to choose Iran's next supreme leader, Israeli sources told The Jerusalem Post on Tuesday...
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, leo alitaka mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kuzuia kile ambacho Iran inakitaja kama mashambulizi ya anga yanayoendelea ya Israeli na Marekani. Amesema " Huu utakuwa mwisho wa taasisi za kimataifa."
Vyanzo...
Mawaziri saba wa kisekta wakiwa na mwenyeji wao ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe ambaye ni Mbunge wa Lushoto wamekutana wilayani hapo kujadili utatuzi wa changamoto na migogoro inayowakabili wananchi mkoani Tanga ikiwemo ya ardhi, ikiwa ni hatua ya...
DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA AFCON 2027
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa ajili ya kupitia hatua mbalimbali zilizofikiwa katika maandalizi ya michuano hiyo mikubwa itakayofanyika...
Pombe kweli haina kalenda 😂
Nilisema “nakunywa mbili tu, kesho ninaamka mapema.”
Zile “mbili” zikawa 3, zikawa, 4, zikawa 6
asubuhi:
Alarm inalia → nainyamazisha kwa hasira
Kichwa kinapiga ngoma ya mdundiko
Mdomo una ladha kama niliweka betri 🌚
Nilifika kazini nikitembea kama Wi-Fi isiyo...
Baadhi ya wabunge wakiwasili bungeni jijini Dodoma leo Januari 30, 2026 kushiriki kikao cha nne cha mkutano wa pili wa Bunge la 13.
Katika shughuli za leo, kama ilivyo kawaida, kutakuwa na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge watauliza maswali na kujibiwa na serikali.
Aidha, Bunge...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 17, 2026 ameongoza kikao cha kazi kuhusu ujenzi wa miradi ya barabara za haraka (Express Ways) kwa ubia kupitia mfumo wa PPP.
Kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, kimehudhuriwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri...
Ni ajabu kuwa HabariLeo wameiweka hii taarifa Instagram wakaifuta haraka baada ya kupata comments nyingi toka kwa wananchi.
Mbona sio kitu cha siri?
Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, leo anakutana na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...
Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi.
Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au kikao mkakati
😄 Hivi mkuu wa kikosi kazi wa kujilimbikizia mali unataka kuwajibisha wanao jilimbikizia mali.
Wote mnafaidi sasa ulitaka nani kutofaidi hii keki.
Waziri mkuu hapa umechemka kama kuku wa kwenu kupikia mchemsho.
Kufuatia matukio ya kikatili yaliyofanywa na mamlaka ya Tanzania kwa maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi wa rais na wabunge wa tarehe 29 Oktoba 2025, mashirika ya kiraia yanaitaka jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua ili kuzuia unyanyasaji zaidi.
Katika barua iliyotolewa leo, mashirika 30...
Mtake msitake, walio andamana ni vijana na walikuwa na mahitaji Yao
Tunakubali umeunda tume kweli nchi hii hatuna wawakilishi wa vijana wangekuwa kwenye tume hiyo Ili wazungumze nasi?
Ebu muulize IGP Mwema enzi akiwa IGP aliwai kutana na vijana wangapi walio nje ya Jeshi la POLISI na...
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jina la Mbunge huyo wa Iramba Magharibi limewasilishwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Brigedia Jenerali Nyamburi Mashauri kwa ajili ya Bunge...
Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera .E. Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto Awamu ya Pili (MTAKUWWA II), kilichofanyika tarehe 11 Novemba, 2025 Jijini Dodoma.
kikao hicho kilihudhuriwa na wajumbe kutoka Wizara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.