Hapa Kijijini kumeibuka mtindo wa AJABU kila mwenyekiti wetu anapokosolewa utendaji wake na wa viongozi anaosaidiana nao,kunaibuka kundi la watu wa kitongoji chake na Dini yake kumtetea kwa matusi Na kejeli
Bila kujali yanayosemwa yanaukweli kiasi gani.?
NI WAKUMBUSHE KUWA MWENYEKITI WA KIJIJI...