kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    SoC04 Namna Tanzania inavyoweza kuzalisha wataalamu bora katika vyuo vya sayansi na teknolojia nchini

    Tanzania tumekuwa na vyuo vikuu mbali mbali lakini bado hatufanyi vizuri kimataifa na kuzalisha wanasayansi ambao wanategemea kusubiri ajira na sio kugundua mambo. Hivyo serikali inatakiwa kuhakikisha inasimamia kikamilifu namna ambavyo elimu hiyo hutolewa. Mfano. Mwalimu anapotoa assigment kwa...
  2. L

    Kwa kijana mwenye uhitaji wa kazi isiyohitaji vyeti

    Mimi ninatafuta kijana wa kazi ya kuuza na kusambaza bidhaa Kwa wateja.kazi ni ya dukani,nafasi moja (1) eneo la kazi ni Arusha Tanzania Sifa zake 1. jinsia yoyote ilimradi awe tayari kukubali mazingira ya kazi. 2. Umri wake awe na angalau miaka 18+ na asizidi miaka 20.( Awe kijana). 3...
  3. SoC04 Ajira sio ndoto tena, ni haki: Kutetea haki ya kila kijana kupata ajira bora nchini Tanzania

    Utangulizi: Vijana ni injini ya maendeleo ya taifa lolote. Wakiwa na nguvu, ubunifu, na ari ya kujifunza, wana uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa chanya katika jamii. Hata hivyo, nchini Tanzania, vijana wanakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira. Takwimu zinaonyesha hali mbaya: zaidi...
  4. Mambo ya kuepuka kijana wa kiume

    Kijana wa KIUME kuna mambo, unapaswa kuyaepuka maisha yako Yote. 1. Kuishi kwa Mwanamke, au ukweni. 2.Usijenge katika kiwanja Cha ukweni au Cha mwanamke. 3.Usiishi kwa kumtegemea mwanamke kwa chochote. 4.Usioe Mwanamke ambae amekuzidi kwa kila kitu.( Elimu, pesa na Mali.) 5. Usimuoe...
  5. IRINGA: Mahakama Kuu Yafuta Hukumu ya Kijana Aliyeshitakiwa kwa Kumbaka Binti Bikra wa Kijerumani

    Wakati mwingine, lugha ngumu na utaratibu za kisheria zinaweza kufanya haki ionekane kama kitendawili. Kesi ya kijana Selemani inatupa somo muhimu: makosa madogo ya kisheria yanaweza kuleta madhara makubwa. Shortly, Selemani alishtakiwa kwa makosa ya unyang’anyi na ubakaji wa binti bikra kutoka...
  6. S

    Jamani kijana wenu nimeaibika nahitaji msaada wenu ili kuyaepuka haya yasijirudie

    Wakuu heshima yenu, Mimi ni kijana Aged 27 sijaoa ila nina mchumba tangu mwaka 2020 ila bado hatujatambulishana makwetu, sina mtoto na wala sijawahi kumpa ujauzto manzi yeyote. Kilichonileta hapa Jukwaani ni kutaka msaada wenu kwa wale wakali wa hizi kazi ( Mambo ya kitandani). Iko hv Juzi...
  7. M

    Nauza (Tshirt printing machine), inamfaa sana kijana aliyopo chuo. ni Biashara nzuri ya kufanywa na kijana chuoni.

    habari vijana. nauza brand new machine ya kuprint tshirts fasta fasta. bei ni laki nane tu ( 800,000/=) manufacture anaitwa ADKINS. ukihitaji piga namba 0616 577 289 mashine ipo kimanga Dar es salaam, ni brand new haijawai tumika. kwa kijana uliyopo mazingira ya chuo itakusaidia sana...
  8. M

    Mtu Mwenye miaka 35 ni Kijana?

    Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana. Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi tofauti au ni huwa tuna/wana jifariji tu kujiita vijana ilihali wakijua wazi kwamba umri tayari umesha...
  9. Kijana unayepambana kimaisha using'ang'anie kuishi uswahilini

    Kijana unaepambana kimaisha ukipata auheni kidogo hama huko uswahilini, hasa hasa jiji la Dar es Salaam, uswahilini ya Dar es salam ni milango ya kuzimu ..watu wamechoka, watu wamekata tamaa, Jana yao ni Bora sana kuliko Leo. Mwanyamala kwa kopa, Manzese, Tandika, Mbagala sehemu sehemu...
  10. H

    SoC04 Kilimo na ufugaji vinawezekana serikali ikiboresha mazingira

    Kumekuwa na dhana potofu hasa katika maswala ya kilimo na ufugaji kwamba vijana hawapendi kilimo na ufugaji vijana ni wavivu.mm niseme hata hao wanao sema vijana hawapendi kilimo na ufugaji nao ni wavivu Sana ajabu wao wenyewe wameajiliwa na mtu hyo wanae msimanga mvivu na hapendi kilimo na...
  11. Msisubiri mpaka huyu kijana afe ndio mumpe maua yake

    Anaitwa Beka flavor zao la yamoto band walimokuwemo Mboso, Aslay na wengineo. Kijana anauwezo mkubwa sana wa kuimba japo mafanikio aliyonayo kimziki hayalingani na kazi kubwa anayoifanya, nimepewa lift na Mwana naisikilza Ngoma yake ya NAKUPENDA hakika ni nzuri mno. Dogo mziki unaujua hongera...
  12. Utamshauri nini kijana aliyepata kazi leo kwenye wimbi hili la ufinyu wa ajira?

    Kwako mdau, Kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, kutokana na Wimbi kuongezeka la vijana wengi kukosa ajira/kazi. Ni ushauri gani utampa mtu aliye pata ajira leo. Ushauri uwe ume base kwenye eneo la kazi, kiuchumi na kijamii.
  13. E

    SoC04 Kijana na Ajira

    Kwa kuzingatia Tanzania Tuitakayo hatuna budi mawazo yetu, fikra na mitazamo yetu, imuakisi kijana wa sasa na badaeTukiwa taifa ambalo tumejaliwa kuwa na kila rasilimali, ambazo tunaweza kuzitumia kuipata Tanzania Tuitakayo kuanzia miaka 5 Hadi 25, basi hatuna budi kuwekeza katika Mambo...
  14. J

    Kifo cha kijana kwenye ujana

    Ugumu wa maisha unasababishwa na baadhi ya vijana ambao wameamua kuwa ronyaronya. Vijana wanakuwa machawa. Hawana uwezo wa kufikiri kufanya masuala ya msingi. Vijana aliyosema Mwl Nyerere wako wapi sasa hivi? Hili ni janga kubwa la taifa. Tutakosa watu wa kufanya maamuzi ndani ya nchi yetu.
  15. Kijana wangu ana mafindofindo (Tonsils). Tunashindwa kuelewa kama ni ugonjwa au ni maumbile yake.

    Kama kunamtu anauelewa au alishawahi kukutwa na hali hii naomba ushauri au experience yake. Tuligundua mtoto ana mafindofindo yamevimba alipokuwa na umri wa miaka miwili. Tulijaribu kumtibu traditionally. Kuna dawa flani tuu ya kienyeji ya kuyachua kwa siku mbili yanakwisha yenyewe. Tumekuwa...
  16. Jeuri ya nini na sote tupo chini ya jua, ubabe wa nini wakati na wewe pia umezaliwa kijana? Chunga sana

    Maisha ni safari, Heshima na upendo ni vitu muhimu katika safari hii ya maisha.
  17. Kuishi Dar ni ndoto ya Kila Mtanzania Kijana

    Dar ni Jiji la kwanza kwa maendeleo Tanzania na yamkini Afrika Mashariki. Dar imejaa Fursa mbalimbali za kujikwamua Kiuchumi kwa kijana mtafutaji na mpambanaji hasa ambae ana lengo la kutoboa maishani. Lakini kijana huyu awe tayari kufanya kazi ya namna yoyote Mradi mkono uende kinywani. Dar...
  18. Ewe Kijana Mchakalikaji, katika Kutafuta, usifanye kosa la kujiwekea Deadline!

    Et nikifikisha miaka 30 nitakua tayari na nyumba, Gari, Mke, Biashara kadhaa ,kazi nzuri n.k ?.... Hivi Kijana kama wewe uwazaye haya wee ni Mungu. Toka juzi Kuna nyuzi naziona ona humu.. Mara... Ulijisikiaje ulipokutana na jama mlosoma ,yeye kafanikiwa. Mara... unajisikiaje kufika miaka 30...
  19. Kijana jiepushe na kupiga mipira iliyokufa

    Haijalishi Una hela au hauna ila achana na tabia ya kupiga mipira iliyokufa . Tafuta Mwanamke anyejielewa ambaye yupo katika peak yake Usisubirie ameshazalishwa kachoka then wewe ndo ujitose. Usiogope competition (kushindanda) wewe shindana na hao wenye pesa Ukisema unasubiria kupiga mpira...
  20. Naomba Malumbano mbashara na kijana Lucas Mwashambwa juu ya mambo ya msingi kuhusu Maendeleo ya Taifa hili.

    Wasalam, Kwa kipindi kirefu tumeshuhudia wanabodi wengi wakisifia na kuimba mapambio ya kukisifu chama cha mapinduzi CCM kuwa Kimefanya mambo makubwa na yakupendezwa bila kusahau mapungufu yake. Naomba jamii forum tukubaliane muda na siku ili malumbano yetu yawe mubashara hapa kwa jukwaa kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…