kijana wa kitanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kwenye Maisha ya Anasa ya Serikali hadi Kwenye Uzalishaji: Kilimo, Elimu, na Afya Ndio Mkombozi wa Kijana wa Kitanzania

    Ndugu Wakuu, Katika uzi wangu uliopita, tulijadili jinsi mzunguko usio na tija wa kodi ya mvuja jasho unavyoishia kufadhili anasa za wachache huku mtaani vijana wakipambana na ukata wa mitaji. Leo naomba tushuke chini zaidi kwenye mifumo ya kibajeti ya nchi yetu. Tanzania ni nchi changa...
  2. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Wazo bunifu kwa kijana wa Kitanzania linahitajika

    Mambo Vijana Tanzania !. Oooooh sasa hii sio ya kukosa; kikubwa ni mwendo wa kutembea na fursa. Kwa wale vijana ambao wanajitafuta; hawajui wanaanzaje kutoboa sasa mzigo huu hapa nimeambatanisha kipepetushi toka Wizara ya Vijana. Oya Kijana karibu sana. Mshtue na mwenzio chap kwa haraka.
  3. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Kama na wewe ni kijana wa kitanzania na una hii tabia basi huu uzi unakuhusu

    Najua vijana wengi wa kitanzania hasa wa umri kuanzia miaka 17 na kuendelea, huwa tunapenda sana kujifunza fursa mpya zinazotokana na maendeleo ya sayansi ya teknolojia. Kwa sasa ukiangalia, vijana wengi sana wanatumia muda wao mwingi kujifunza njia mbali mbali za kujiingizia kipato kupitia...
  4. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Vidonge 12 vigumu kumeza kwa kijana wa kitanzania: Wosia wa Babu yangu kwa kizazi kipya

    Maisha si tamthilia ya kuvutia iliyoandaliwa ili ikufurahishe. Si mchezo wa kuigiza unaokupa nafasi ya kuangalia kwa mbali, ukijifariji kuwa mambo mazuri yatakujia kwa sababu tu upo. Maisha ni shamba la vita lenye giza na vurugu; si mahali pa huruma bali pa sheria—sheria zisizoandikwa ambazo...
  5. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kitanzania

    Kijana wa Kitanzania 1. Akioa/Kuolewa mnamchangia 2. Akifa/Akifiwa mnamchangia 3. HBD yake ikifika mnamchangia 4. BBY shower ya mtoto wake mnamchangia Lakini Akikosa Mtaji Hakuna wa kumchangia👀
  6. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Njia Kumi za Kumkwamua Kijana wa Kitanzania Kiuchumi/Biashara🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    Njia Kumi za Kumkwamua Kijana wa Kitanzania Kiuchumi/Biashara Ili kumkwamua kijana wa Kitanzania kiuchumi na kibiashara, kuna njia kadhaa ambazo zinaweza kuchukuliwa. Kila njia ina mifano yake maalum ambayo inadhihirisha umuhimu na ufanisi wake. Hapa chini ni njia kumi pamoja na mifano ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Habari yenu Mimi ni kijana wa kitanzania elimu yangu kidato Cha nne ni mwalimu wa primary ngazi ya cheti bado sijaajiriwa serikalini

    Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kenya wametufunika kwenye shughuli za kimaendeleo, Benjamin fernandez kijana wa kitanzania aliehamishia biashara zake Kenya na Kutajirika zaidi anena

    Tanzania ni nchi iliyobarikiwa utajiri mkubwa sana kwenye rasilimiali kuanzia ardhi nzuri ya kilimo, madini, vicutio vya asili, n.k. lakini bado tupo nyuma sana kimaendeleo, Kenya ni nchi ambayo ina rasilimali chache lakini wametufunika kwasababu wamewekeza zaidi kwenye watu (elimu, ujuzi) na...
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kitanzania afungua biashara ya mabilioni nchini China

    Huyu bwana(30years) alienda China mwaka 2018 kujifunza Kichina ambapo akaona Changamoto na kuigeuza fursa. -Anamiliki kampuni ya Logistics -Anamiliki Warehouses -Anaishi na kuajiri Wachina anawakoromea. My Take: Tunataka Vijana wengine wapambanaji kama Hawa
Back
Top Bottom