kiislamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Iran imetekeleza hukumu ya kifo kwa watu watatu waliokamatwa kufuatia maandamano ya Januari akiwemo Mwanamieleka wa miaka 19

    Utawala wa Kiislamu nchini Iran leo umemnyonga Mwanamieleka (wrestler) wa miaka 19 aitwaye Saleh Mohammadi ambaye alikua mpingaji wa wazi wa utawala huo, pia alikua akihamasisha maandamano kupinga utawala huo. Iran imetekeleza hukumu ya kifo kwa wanaume watatu siku ya Alhamisi baada ya kutiwa...
  2. MK254

    Wanajihadi wa Jama'at Nusrat al-Islam wa al-Muslimeen waua madereva kwa kukata koo zao

    Shirikisho la Kimataifa la Wafanyakazi wa Uchukuzi (ITF) limeitaka serikali ya Mali kuchukua hatua baada ya wimbi la mashambulizi mabaya ya msafara kuwalenga madereva wa malori ya usafirishaji mafuta. 'Wafanyikazi wa usafiri ni muhimu ili jamii zihudumiwe - haistahili waachwe bila ulinzi', ITF...
  3. Sifi Leo

    Wengi hamjui protocol, Jana Rais hakutambulishwa,aliitwa mbele ahage mwili kwa taratibu za kiislamu na aondoke au azungumze,je mwanamke yupi uzungumza

    Kwanza tangu lini kwa uislamuni wakaaga maiti? Pili lini mwanamke wa kiislamu akazungumza kwenye msiba wowote? Hapo nipo utaamini yakuwa KATOLIKI sio dhehebu uchwara limejaa wered mnoooo! Yaani alichokitamka faza Kitima ilikuwa ni kumpa salamu yakuwa hawamtambui, Kwanza kusema atatambuliwa...
  4. Dalton elijah

    Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani

    Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani. Uhusiano kati ya Pakistan na Afghanistan umekuwa wa mashaka kwa miongo mingi, lakini hivi karibuni hali imechafuka zaidi kutokana na sababu kadhaa za kiusalama na...
  5. Echolima1

    Serikali ya kiislamu ya Iran iliua waandamanaji 32,000 na dunia iko kimya!!!

    Utawala wa Iran unaongozwa na serikali ya kiislamu ya Ayatollah Ali Khamenei uliza zaidi ya waandamanaji 32,000 huko Iran. Umoja wa Mataifa mashirika ya kutetea haki za Binadamu na assailant za Serikali wote wako kimya hapo ndipo utaiona UNAFIKIRI wa walimwengu...
  6. ERTUGRUL BEY

    Kwanini Valentine day haifai kwa mtazamo wa Kiislamu

    My people, Siku ya Valentine haifai katika mtazamo wa kiislamu kwa sababu kadhaa zinazotokana na mafundisho ya Qur’an na Sunna. Hebu tuangalie kwa undani: 1. Asili ya Siku ya Valentine Siku ya Valentine (14 Februari) ilianzishwa kwa maadhimisho ya mungu au watakatifu wa dini za Kikristo (St...
  7. Yoda

    Kuna mashiko wanawake wa kiislamu Waafrica kuvaa hijabu, niqab au burqa kama stara?

    Amrisho la dini la wanawake wote duniani kuvaa hijabu, niqab au burqa kwa minajili ya stara lina walakini mkubwa sana kwa sababu halizingatii muktadha wa maumbile na tamaduni za jamii tofauti za binadamu. Kwa Waafrika weusi kiasilia wanawake wengi wana miili mikubwa sana(mawowo) na wanaume...
  8. Chizi Maarifa

    Chanzo, Sababu na Athari za kuanguka kwa Dola la Kiislamu

    Swala hili lina jibu la kihistoria lenye vipindi viwili, si mtu mmoja tu. Nitakuwa wazi na sahihi. Jibu fupi Hakuna mtu mmoja aliyekuaja “kuangusha dola ya Kiislamu” yote. Dola ya Kiislamu ilianguka kwa awamu, na pigo kubwa la kwanza lilitoka kwa Wamongolia, kisha mwisho rasmi wa Ukhalifa...
  9. Chizi Maarifa

    UKWELI kuhusiana na DINI ya Kiislamu na Kikristo katika Theolojia na Misingi yao

    Naandika haya nikiwa na uzoefu wa hizi Dini zote mbili na uwezo wa kuzichambua bila bias. Kwa kutumia pia A. M. Nitaelezea kwa uwazi, bila kutetea, lakini pia bila kuchochea chuki. Tuende moja kwa moja kwenye mzizi wa tatizo na kama kuna njia ya kutoka. 1. Kwa nini ukatili wa kidini...
  10. Zee la madawa

    Mwanamke wa kiislamu alivyorudisha mamilioni aliyookota

    Kuna Taarifa kuhusu mwanamke Muislam kutoka Lapai, Jimbo la Niger, Nchini Nigeria anaeitwa Hajiya Aisha Isah Yelwa ambaye alirudisha Naira milioni 330 zilizo ingizwa kimakosa kwenye akaunti yake ya benki Kwa Ufupi ni kwamba Aligundua kiasi hicho kilichopokelewa bila sababu ya dhahiri kwenye...
  11. T

    Hadi Sasa utawala wa Kiislamu katika nchi ya Irani umeanguka kwa asilimia 75%. Tanzania tutafanya kama wairani

    Ndugu watanzania, najua mnafuatilia kwa karibu kinachoendelea Irani. Waandamanaji wameshakamata maeneo muhimu ya utawala wa kiislamu wa Irani mfano. Vituo vikuu(headquaters) vya polisi, airport na sehemu nyingine nyeti karibia miji yote ya Irani. Khomenei ameukimbia mji mkuu wa Irani(Tehran)...
  12. Royal Son

    Haya maandamano ya Iran ndio anguko la taifa la Kiislamu?

    Kuna Video nimeona inasambaa ikionesha maandamano Nchini Irani kwa siku nne mfululizo je ndio anguko la taifa la Kiislam la Irani Video hii hapa chini
  13. Mtu Asiyejulikana

    Akimbia nchi nzuri ya Kiislamu kwenda ishi nchi ya Kibeberu na kuamua kuolewa na kaka yake

    Hii huwa inanichanganya. Huyu dada ameondoka nchi yao nzuri ya kiislamu yenye kufuata miiko ya dini na taratibu na kwenda kuishi nchi ya kikafir. Alichofanya ndo kimeshangaza zaidi. Huko ambako hawajifuniki nywele na hawavai nguo za stara ameenda akaoana na kaka yake. Imagine kaolewa na kaka...
  14. M

    PostGE2025 Jinsi Viongozi wa Kiislamu Wanavyopaswa Kutatua Migogoro ya Jamii

    Uongozi wa Kiislamu umejengwa juu ya hekima, usawa, subira, na uchamungu. Migogoro ya kijamii iwe ya kifamilia, kijiji, kiuchumi, au kiimani—inatakiwa kutatuliwa kwa njia zinazolingana na Qur’an na Sunnah. Chini ni kanuni kuu na mifano halisi: 1. Kusikiliza Pande Zote Bila Upendeleo (العدل)...
  15. M

    Sheria ya Kiislamu kwenye ndoa ni kuwa na wake wanne na awatendee haki sawa na siyo Amani!

    Mimi si mwislamu ila nataka kuwauliza swali ndugu zangu Waislamu Kinachotakiwa kutendwa kwenye ndoa zao ili ndoa zibaki kuwa na Amani na kudumu ni nini? Kutenda haki kwa wake hao au kuwatendea Amani? Lalamiko ambalo huwa linasikika kwa nguvu kutoka kwa wake za Waislamu ni kutokutendewa haki...
  16. Superbug

    PostGE2025 Nchi za kikristo zikizuia misaada nchi za kiislamu zitatusaidia

    Mi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu.
  17. DuaZaMama

    PostGE2025 Umoja wa wanazuoni wa kiislamu watoa pole kwa Rais Samia kwa uharibifu wa mali uliojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu

    Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu nchini wamekemea vikali vurugu zilizojitokeza wakati wa mchakato wa uchaguzi na kusisitiza umuhimu wa wananchi kuendelea kudumisha amani, kujenga hoja zenye uzito, na kuepuka vitendo vyovyote vinavyoweza kuvuruga utulivu wa taifa. Hayo yamebainishwa leo jijini Dar...
  18. HAMISI HH

    Naomba kufahamishwa ni shule gani za primary za kiislam zilizopo maeneo ya kigamboni zinazofanya vizuri

    Habari wana Jamii. Naomba kufahamishwa ni shule gani za primary za kiislam zilizopo maeneo ya kigamboni zinazofanya vizuri. Asante
  19. Hance Mtanashati

    Viongozi wa kiislamu wanaturudisha nyuma sana kwenye No reform No election

    Nimewasikiliza viongozi wa kiislamu kadhaa kuanzia Nurdin Kishki, Mazinge, Sule na wengineo wengi ambao sio maarufu . Cha ajabu hakuna ninayemsikia akisapoti suala la No reform No election, hakuna anayepiga kelele suala zima la utekaji na muenendo wa serikali kiujumla badala yake wamekuwa ni...
  20. Ponjoro wa Kinondoni

    Kijana wa Kiislamu Amlipua Rais Samia na Mashehe Ubwaba

    Sikiliza mazungumzo ya dakika 18 makini za Muislamu wakweli https://youtu.be/-lGWIQBFbc0?si=L0igqkSoczC5wpR2
Back
Top Bottom