Mjumbe wa Kamati Kuu (MCC) (kwa sasa jina linawekwa kapuni) anatajwa kuvuruga mchakato wa uteuzi wa wagombea Ubunge wa Jimbo la Ulanga, Morogoro.
Taarifa ndani ya CCM Mkoani Morogoro, zinaeleza kuwa Kigogo huyo ambaye ni mfanyabiashara maarufu nchini, aliteuliwa kusimamia vikao vya mchujo...