Wadau, wakiwemo baadhi ya wazazi wa wanafunzi katika shule moja ya sekondari ya wasichana iliyopo Wilaya ya Kigamboni, Mkoa wa Dar es Salaam (jina linahifadhiwa), wametoa wito kwa mmiliki wa shule hiyo kumwondoa mara moja mwalimu mkuu aliyeteuliwa hivi karibuni, wakidai kuwa endapo hatua...
Majuzi katika pita pita zangu mtandaoni nikaona tangazo la viwanja manispaa ya kigamboni huko pemba mnazi kuwa Kuna viwanja wataanza kugawa na black blaa kibao. Basi bwana nikaona kama fursa lakin nikaona ngoja niende kwenye comments nilichokutana nacho nimeona mpaka aibu na comments zote ni...
Majuzi katika pita pita zangu mtandaoni nikaona tangazo la viwanja Manispaa ya Kigamboni huko Pemba Mnazi kuwa Kuna viwanja wataanza kugawa na blaa blaa kibao.
Basi bwana nikaona kama fursa lakini nikaona ngoja niende kwenye comments nilichokutana nacho nimeona mpaka aibu na comments zote ni...
Kigamboni ilikuwa na potential kubwa kuwa mji wa kisasa zaidi Tanzania kutokana na beach nzuri, usalama, nafasi kubwa ya ardhi na ukaribu na city centre. Watu walitegemea baada ya daraja kujengwa ingejaa hotels kubwa, malls, arenas na majengo marefu kama Dubai au Miami.
Lakini imebaki local...
Viwanja Viwili Vinauzwa.
Mahali: Kigamboni Tundwi Songani.
-Vipo km 20 kutoka Kibada, Mita 200 kutoka barabara kuu.
-Kiwanja namba 509,510 vyote kwa pamoja vinauzwa.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1378 na SQM 1449.
Bei: Tzs Milioni 35 (Vyote Viwili). Mazungumzo yanaruhusiwa.
Nyaraka: Hatimiliki.
Gharama...
Habari za wakati huu!
Mimi ni mtumishi wa umma , ambaye nimekuja kuwakilsha watumishi wa chini ya Tamisemi ambao ni Afya na Elimu ambao kwa sasa wapo chini ya Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni. Naleta kilio changu hapa jukwaani nikiwa na majonzi na masikitiko makubwa sana moyoni mwangu...
Plot Available For Sale.
Location: Kigamboni Gezaulole.
•It's on main street, 150m away from beach, opposite Islamic Club.
•The plot has fairly used house.
Size: SQM 580.
Price: Tsh 200 Million.
Document: Clean Title Deed.
For further details or to arrange a viewing, kindly contact us. A small...
Hii ni njia ya Vijibweni Kigamboni, kero hii kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi, mpaka sasa hatujapata utatuzi, mvua ikinyesha huwezi subiri chombo cha usafiri wa umma hapo, unasimama upande upi kusubiria na je, sisi waenda kwa miguu unatoka nyumbani smart tazama njia sasa.
House with Three Apartments in Kibada Kigamboni for Sale.
-Two units of three bedrooms.
-One unit of two bedrooms.
-Each unit has independent electricity meter.
-Mature garden, 60m freshwater borehole, fenced.
-1460 Sqm, Title available.
Selling Price: TZS 500m negotiable.
For more information...
Hii ni Kigamboni, barabara inaunganisha eneo la Kona ya Chuo na Mwasonga, hilo daraja haliishi maji, yakijaa hapo Watoto hawaendi shule wiki ya tatu sasa.
Yaani ukitaka kwenda Cheka boda anakushusha upande na mwingine anakupokea upande wa pili yaani kona ya Chuo cha City College, tunalipa nauli...
Plot For Sale.
Location: Kigamboni Gezaulole, near Gezaulole Dispensary.
2nd row from beach, 100m away from Indian ocean.
Size: SQM 911.
Price: Tsh 150 Million.
Document: Clean Title Deed.
For further details or to arrange a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will apply.
Contacts...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Magogoni Wilaya ya Kigamboni, mtaa wetu umekuwa na changamoto za kuwa na bandari kavu karibu na makazi ya watu katika njia zinazoingia mtaani kwetu.
Mojawapo imekuwa ikileta changamoto malori yanayosubiri kupakia na kushusha kontena yana-park barabarani na kutuachia...
Anonymous
Thread
bandari
bandari kavu
hatari
kero
kigamboni
magogoni
makazi
makazi ya watu
mtaa
wananchi
Naomba tupazie sauti hapa ni kigamboni barabara inaunganisha eneo la kona ya chuo na Mwasonga hilo daraja haliishi maji yakijaa hapo watoto hawaendi shule wiki ya 3 sasa, mnataka watoto wetu wasipate taaluma inayotakiwa kwa wakati?
Yani ukitaka kwenda cheka, boda anakushusha upande kisha...
Plot Available For Sale.
Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road.
Descriptions:
*12km from main road (Kibada rd), 2km inside from new Mwasonga road.
*It's near to box factory and Dar es Salaam zoo.
*It's 9.6 acre's which is equal to 39,507.11SQM.
*Suitable for industrial, commercial or...
Plot Available For Sale.
Location: Kigamboni Kimbiji, Bohari road, Majipoa area.
Descriptions:
*41km from Kigamboni Ferry, 3km inside from Kimbiji road.
*It's 18.3 acre's which is equal to 74,063.54 SQM (Ammended survey plan shows 74,322 SQM).
*Suitable for Light industry.
*All social services...
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, ndugu Michael Mwang'onda, ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa utekelezaji mzuri wa mradi wa usambazaji maji katika Wilaya ya Kigamboni ulionufaisha Wakazi takribani 25,000 katika kata nne za Kibada...
Plot Available For Sale.
Location: Kigamboni Gezaulole near ASAS house.
•It's on main street, 150m away from beach, opposite Islamic Club.
•The plot has fairly used house.
Size: SQM 580+.
Price: Tsh 150 Million.
Document: Clean Title Deed.
For further details or to arrange a viewing, kindly...
Plot For Sale.
Location: Kigamboni Gezaulole, near Gezaulole Dispensary.
2nd row from beach, 100m away from Indian ocean.
Size: SQM 911.
Price: Tsh 150 Million.
Document: Clean Title Deed.
For further details or to arrange a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will apply.
Contacts...
Kumekuwa na tabia ya wafanyakazi kutotendewa haki katika hiki chuo, mara nyingi wafanyakazi wa hapa hudhulumiwa mishahara yao na wakati mwengine kutolipwa kabisa baadhi ya miezi.
Mwaka jana baada ya likizo kulikuwa na malalamiko mengi kwa wafanyakazi wakidai kutolipwa mwezi wa saba, wanane na...
Anonymous
Thread
business
cheka
chuo
college
health
kigamboni
science
uovu
wafanyakazi