kigamboni

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi ndivyo wakazi wa Vijibweni Kigamboni tunavyoteseka na barabara mvua ikinyesha

    Hii ni njia ya Vijibweni Kigamboni, kero hii kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi, mpaka sasa hatujapata utatuzi, mvua ikinyesha huwezi subiri chombo cha usafiri wa umma hapo, unasimama upande upi kusubiria na je, sisi waenda kwa miguu unatoka nyumbani smart tazama njia sasa.
  2. radhiya

    JamiiForums Tanzania House For Sale at Kigamboni Kibada

    House with Three Apartments in Kibada Kigamboni for Sale. -Two units of three bedrooms. -One unit of two bedrooms. -Each unit has independent electricity meter. -Mature garden, 60m freshwater borehole, fenced. -1460 Sqm, Title available. Selling Price: TZS 500m negotiable. For more information...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Daraja hili Kigamboni eneo la Kona ya Chuo cha Mwasonga haliishi, tunateseka na nauli

    Hii ni Kigamboni, barabara inaunganisha eneo la Kona ya Chuo na Mwasonga, hilo daraja haliishi maji, yakijaa hapo Watoto hawaendi shule wiki ya tatu sasa. Yaani ukitaka kwenda Cheka boda anakushusha upande na mwingine anakupokea upande wa pili yaani kona ya Chuo cha City College, tunalipa nauli...
  4. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot For Sale Kigamboni Gezaulole dispensary

    Plot For Sale. Location: Kigamboni Gezaulole, near Gezaulole Dispensary. 2nd row from beach, 100m away from Indian ocean. Size: SQM 911. Price: Tsh 150 Million. Document: Clean Title Deed. For further details or to arrange a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will apply. Contacts...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bandari kavu kwenye makazi ya watu Mtaa wa Magogoni – Kigamboni ni hatari na kero kwa Wananchi

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Magogoni Wilaya ya Kigamboni, mtaa wetu umekuwa na changamoto za kuwa na bandari kavu karibu na makazi ya watu katika njia zinazoingia mtaani kwetu. Mojawapo imekuwa ikileta changamoto malori yanayosubiri kupakia na kushusha kontena yana-park barabarani na kutuachia...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kigamboni: Barabara inayounganisha eneo la Kona ya Chuo na Mwasonga; hili daraja haliishi maji. Yakijaa, watoto hawaendi shule wiki ya 3 sasa

    Naomba tupazie sauti hapa ni kigamboni barabara inaunganisha eneo la kona ya chuo na Mwasonga hilo daraja haliishi maji yakijaa hapo watoto hawaendi shule wiki ya 3 sasa, mnataka watoto wetu wasipate taaluma inayotakiwa kwa wakati? Yani ukitaka kwenda cheka, boda anakushusha upande kisha...
  7. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot For Sale at Kigamboni Kisarawe 2

    Plot Available For Sale. Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road. Descriptions: *12km from main road (Kibada rd), 2km inside from new Mwasonga road. *It's near to box factory and Dar es Salaam zoo. *It's 9.6 acre's which is equal to 39,507.11SQM. *Suitable for industrial, commercial or...
  8. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot For Sale at Kigamboni Kimbiji

    Plot Available For Sale. Location: Kigamboni Kimbiji, Bohari road, Majipoa area. Descriptions: *41km from Kigamboni Ferry, 3km inside from Kimbiji road. *It's 18.3 acre's which is equal to 74,063.54 SQM (Ammended survey plan shows 74,322 SQM). *Suitable for Light industry. *All social services...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa uhuru wapongeza DAWASA uboreshaji huduma za maji Kigamboni

    Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, ndugu Michael Mwang'onda, ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa utekelezaji mzuri wa mradi wa usambazaji maji katika Wilaya ya Kigamboni ulionufaisha Wakazi takribani 25,000 katika kata nne za Kibada...
  10. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot For Sale at Kigamboni Gezaulole Islàmic club

    Plot Available For Sale. Location: Kigamboni Gezaulole near ASAS house. •It's on main street, 150m away from beach, opposite Islamic Club. •The plot has fairly used house. Size: SQM 580+. Price: Tsh 150 Million. Document: Clean Title Deed. For further details or to arrange a viewing, kindly...
  11. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kama mlango bahari wa Kigamboni ukifungwa mambo yatakuwaje Tanzania

    Hormz ya DSM pale Kigamboni imekaa kihasara hasara sana
  12. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot For Sale at Kigamboni Gezaulole near Gezaulole Dispensary

    Plot For Sale. Location: Kigamboni Gezaulole, near Gezaulole Dispensary. 2nd row from beach, 100m away from Indian ocean. Size: SQM 911. Price: Tsh 150 Million. Document: Clean Title Deed. For further details or to arrange a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will apply. Contacts...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uovu unaotendeka kwa wafanyakazi wa chuo cha West Evan College of Business, Health, and Allied Science. Kilichopo Kigamboni (Cheka)

    Kumekuwa na tabia ya wafanyakazi kutotendewa haki katika hiki chuo, mara nyingi wafanyakazi wa hapa hudhulumiwa mishahara yao na wakati mwengine kutolipwa kabisa baadhi ya miezi. Mwaka jana baada ya likizo kulikuwa na malalamiko mengi kwa wafanyakazi wakidai kutolipwa mwezi wa saba, wanane na...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya N-CARD kwa wakazi wa Kigamboni

    Wakazi wa kigamboni tuna changa moto juu ya card za N-CARD, card hizo tumekua tukiweka hela na kuisha tofauti na kiasi ulichoweka, pesa inaenda wapi ? Na kwanini ukiacha Card kwa muda ukija kutumia inasema haina salio hata kama uliacha salio,nani anayetumia hizo pesa? Kwani ni card hizo...
  15. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot For Sale at Kigamboni Kisarawe two

    Plot Available For Sale. Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road. Descriptions: *12km from main road (Kibada rd), 2km inside from new Mwasonga road. *It's near to box factory and Dar es Salaam zoo. *It's 9.6 acre's which is equal to 39,507.11SQM. *Suitable for industrial, commercial or...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Daraja lakatika Kigamboni wananchi wanahaha

    Wacha tuendelee kufuturisha :BBRUHH: ------- Daraja la Kibaoni Muongozo limekatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kukata mawasiliano Mamia ya wananchi waliokwama katika eneo hilo, wamelazimika kutumia ngazi huku wengine wakihatarisha maisha yao kwa kuruka kwenye daraja jipya...
  17. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot For Sale at Kigamboni Kimbiji

    Plot Available For Sale. Location: Kigamboni Kimbiji, Bohari road, Majipoa area. Descriptions: *41km from Kigamboni Ferry, 3km inside from Kimbiji road. *It's 18.3 acre's which is equal to 74,063.54 SQM (Ammended survey plan shows 74,322 SQM). *Suitable for Light industry. *All social services...
  18. radhiya

  19. V

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kibada Kigamboni

    Kiwanja kinauzwa kigamboni kibada kimepimwakina square meter 700 bei milioni 35 kiwanja kipo kibada karibu na tawi la crdb bank block 5 kwa mawasiano simu 0659962452
  20. V

    JamiiForums Tanzania Tunauza viwanja Kibugumo Kigamboni

    Tunauza viwanja ni viwanja vizuri sana vipo kigamboni kibugumo 15kwa20 bei milioni 18, mita 15kwa15 milioni 15na mita 14kwa13 milioni12. Kwa mawasiliano 0659962452;
Back
Top Bottom