kifurushi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hiki kifurushi cha Voda kimeenda wapi?

    Roho inaniuma sana hapa. Nimenunua GB 3 kwa 5,000 saa tatu na nusu asubuhi, cha Wik. Nimeunga hotspot, mara nyingi nafanya hivi na kwa siku natumia GB 1 hadi 2. Sasa leo hata saa haijaisha wanasema nimetumia 75%, zimebaki 731mb. Nikasema labda kuna mtu anatumia Wifi yangu. nikachange...
  2. JamiiForums Tanzania NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

    siongei sana, wacha tunyoke moja kwa moja kwenye hizi points zaidi ya 20 Bei ya iphone ipo juu kwasababu haitaki ushindani Iphone ni kama unaposafiri safari ndefu kwa basi, huwa kuna ile migahawa ipo highway sehemu ambazo hakuna makazi, bei ya "robo sahani" ya chipsi na vimishkaki vidogo ni...
  3. JamiiForums Tanzania Hatimaye chanel za ndani zaanza kuonekana kwenye kisimbuzi cha DSTV bila kifurushi chochote

    Wapenda bure kilio chetu kimesikika na hatimaye chanel za ndani zimeanza kupatikana/kuonekana bila kujali una kifurushi au la. Mimi kwangu nabadili tu chanel mara clouds sijakaa sawa chanel ten kidogo eatv nk Nipeni mrejesho Wapenda bure wenzangu Uzi tayari
  4. JamiiForums Tanzania TCRA: Kasi ya internet inasababisha kifurushi kuisha haraka

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetaja vitu vitatu vinavyosababisha kuisha kwa bando haraka ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa kasi ya internet, uwezo wa simu janja na kuwa na application nyingi kwenye simu. Pia imesema gharama za kupiga simu kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine nchini...
  5. JamiiForums Tanzania nina kifurushi cha data (MBs) na dakika nyingi kwenye simu yangu, jinsi ya kuvitumia kuniingizia pesa

    wadau mimi ni hybrid customer wa mtandao fulani hapa nchini, kila mwezi napokea Gb 5 na 900 min. matumizi yangu mtandaoni na kupiga ni machache hivyo kila mwezi zinajikusanya, naomba mawazo namna gani ninaweza kuzitumia kuingiza pesa.
  6. JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Ndugu mteja, Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu? Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi. Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya: - Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
  7. JamiiForums Tanzania Unajiunga na kifurushi gani kwasasa?

    Tujuze bando gani unalojiunga kwasasa maana hali imekuwa mbaya? Itapendeza ukitaja na mtandao husika!!
  8. JamiiForums Tanzania Chuo cha Sokoine/Mzumbe mnaacha division 1&2 mnapokea division gani? Ama kuna kifurushi kinatakiwa?

    Yaani haya mambo yamebadilika sana jamani aisee yaani leo hii div 1&2 wanaachwa. Je, mnachukua 3&4? Kama kuna malipo watoto waingie semeni please. Watoto wanafaulu wana aaply yanatoka majibu mnawaambia wa apply upya aisee mnatupeleka wapi?
  9. JamiiForums Tanzania MABADILIKO YA VIFURUSHI: TTCL yakiondoa kifurushi chetu pendwa

    Wakuu, hawa TTCL mbona siwaelewi. Jamaa wameondoka kile kifurushi chetu pendwa cha mida ya wanga kike cha BANDIKA BANDUA. Hivi huyu Kindamba anatuonaje sisi wateja na wazalendo tunaotumia mtandao wa TTCL? Hii kampuni inaenda shimoni wallah Ngoja nianze kutafuta laini za mtandao mwingine...
  10. JamiiForums Tanzania Azam wapandisha bei kifurushi cha 28,000 mpaka 35,000

    Nimepata ujumbe huu kutoka Azam TV: Ndugu Mteja, kutakuwa na mabadiliko kidogo ya kifurushi cha Azam Play ambapo kutakuwa na nyongeza ya chaneli na sasa kitakuwa Tsh 35,000 kuanzia Sept 1,2021. Mwisho wa kunukuu. Jamani kazi iendelee [emoji134][emoji134][emoji134]
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…