kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Tanzania Hayati Mwl. Julius K. Nyerere na utabiri wa kifo cha CCM - 2020 alioutoa mwaka 1995

    Mwaka 2015 CCM ilinisurika kufa kwa inchi kadhaa Tangu wakati huo wakaweka kiongozi (John Pombe Magufuli) ambaye systematically alianza kuichinja na kuandaa mazishi yake taratibu mwaka huu 2020, Oktoba 28. Msikilize mpaka mwisho hayati Mwl Nyerere ktk video hii 👇 👇👇👇
  2. J

    JamiiForums Tanzania CCM Taifa yalaani mauaji na kifo cha mwenyekiti wa UVCCM vyuo vikuu mkoani Iringa komredi Mlelwa. Rais Magufuli aagiza wauaji kusakwa

    Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa. Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria. Rip Mlelwa Maendeleo hayana vyama! Mkuu wa mkoa wa Njombe...
  3. JamiiForums Tanzania Songea, Ruvuma: Watu 71 wanusurika kifo kwa kunywa togwa kwenye sherehe

    Watu 71 wa kijiji cha Liula wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, wamenusurika kifo baada ya kunywa kinywaji aina togwa kinachodhaniwa kuwa na sumu wakiwa kwenye moja ya sherehe ya kidini maarufu kama sadaka. Mkuu wa wilaya ya Songea, Bw.Pololeti Kamando Mgema amepiga marufuku matumizi ya togwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, nakuomba usipende chomekea neno 'kifo' katika kusisitiza jambo

    Mheshimiwa pole kwa Kazi. Najuwa Ile furaha na bahati Kuwa kiongozi mkuu wa Taifa huwa inakufanya upende kusema umejitoa hata kufa Kwa Taifa hili ni kweli kabisa. Tunajua sio wewe tu ila kila Raia wa Taifa hili roho yake ameitoa Kwa Taifa hili tena huenda Sisi tuna sema Kwa maneno ila wapo ambao...
  5. JamiiForums Tanzania Wenzangu na mimi tulioaminishwa na kutabiri kifo cha CHADEMA na kuinuliwa kwa NCCR na ACT, mpo?

    Ndugu, Sio siri tulio wengi tumejawa mate mdomoni na hatuamini hiki kinachoendelea kwenye mikutano ya chama cha CHADEMA. Kutokana na Sekeseke kilichopata, Kazi kubwa ya kimaendeleo iliyofanywa na CCM ndani ya muda mfupi, hama hama ya madiwani na wabunge, kukosa wawakilishi wenyeviti wa vijiji...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Wenzangu na mimi tulioaminishwa na kutabiri kifo cha CHADEMA na kuinuliwa kwa NCCR na ACT, mpo?

    Sio siri tulio wengi tumejawa mate mdomoni na hatuamini hiki kinachoendelea kwenye mikutano ya chama cha CHADEMA. Kutokana na Sekeseke kilichopata, Kazi kubwa ya kimaendeleo iliyofanya na CCM ndani ya muda mfupi, hama hama ya madiwani na wabunge, kukosa wawakilishi wenyeviti wa vijiji na mitaa...
  7. JamiiForums Tanzania Nicolae Ceauşescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Firing Squad)

    Nicolae Ceausescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Execution by Firing Squad ) Nicolae Ceausescu akiwa pamoja na mzee Rashidi Mfaume Kawawa. Picha kadhaa zilizopigwa kwa kukosa utaalam mahususi zinaonyesha...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Ester Bulaya aiua CCM Bunda kifo cha kikatili mno. Uzinduzi wa kampeni wadhihirisha

    Huu ni umati wa Wananchi wa Bunda ambao pamoja na vitisho vya Mgombea mbaguzi wa urais wa ccm kwamba hawatapewa maendeleo kwa kuchagua upinzani , bado ukaamua kujitokeza kibabe na kukata ngebe zote.
  9. JamiiForums Tanzania Kifo cha Muammar Gaddafi ni kifo cha Uchumi wa Afrika. Tuna wakati mgumu kuanzisha nguvu za kujitegemea

    Wana JF, Ukisoma makala mengi kuhusu aliyokuwa ametuandalia Ghadafi utagundua kuwa Afrika haiwezi kuungana kujikomboabkutoka kwa mabeberu. Mabeberu wana njia nyingi ya kutufanya tuendelee kuwategemea Anaandika mtia nia mstaafu Pascal Mayalla Tanzania pekee, bara letu lote la Africa. Bara la...
  10. JamiiForums Tanzania Sherehe za ubatizo, ndoa, kifo, mahari,hitma nk sasa kutozwa kodi hata ukifanyia nyumbani kwako

    Sherehe za ubatizo, Ndoa, kifo, mahari,hitma nk Sasa zinatozwa kodi hata ukifanyia nyumbani kwako. Hii ni aibu Kubwa kwa Serikali hii. https://t.co/pDXnXxa4zD
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

    Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuitikisa jiji la Mwanza katika mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Furahisha. Tayari maandalizi yamekamilika na maandamano makubwa ya kumlaki yanasubiriwa kuanza wakati wowote kutoka sasa Tayari mgombea huyo ameshafanya mikutano...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kim Jon-Un aibuka tena akiwa fiti huku akiongoza mkutano baada ya kuzushiwa kifo na maadui wake

    Rais wa North Korea Kim Jong-Un hatimaye kaibuka kwenye media baada ya kuzuliswa habari za kifo na kwamba mamlaka yake ya kuiongoza NK yameshakabidhiwa kwa dada yake. Kim kaonekana akiwa fiti kiafya na zaidi ya hapo akiongoza mkutano wa maafisa wa NK wakijadili mwenendo wa vita ya Corona nchini...
  13. JamiiForums Tanzania Kifo chenye utata cha mfanyakazi wa TRA, Shaba Ndoja chastua wengi, Polisi chunguzeni

    Leo in siku ya tatu tukiwa tumegubikwa na sintomfahamu juu ya kifo hiki. Marehemu alikuwa bukheri wa afya na alionekana Mara mwisho saa tatu na nusu alipoamua kwenda kulala alipita dukani akanunua mahitaji, asubuhi tunaambiwa Shaba Ndoja hatuko naye, ujasiri wa mke wake kumbeba yeye na...
  14. JamiiForums Tanzania Huwezi kimbia kifo, alitoroka hukumu ya kifo akafa kwa kipigo bar

    Georgia, Marekani, hili ndilo tulio la kwanza kwa mtu aliyehukumiwa kifo kutoroka gerezani. Alitoroka siku moja kabla ya hukumu yake ya kifo. Bahati mbaya mtu huyo, alifariki kesho yake kwenye ugomvi uliotokea BAR Troy Leon Gregg alizaliwa April 22, mwaka 1948 na kufariki July 29 mwaka 1980...
  15. JamiiForums Tanzania Risala ya Dkt. Shein: Kifo cha Mkapa kimeacha pengo kubwa katika uongozi na maendeleo

    KIFO cha Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bejamin William Mkapa kimeacha pengo kubwa katika uongozi na maendeleo ya Tanzania, Afrika na duniani kote kwa mchango wake uliooendelea kuhitajika ndani na nje ya mipaka yaTanzania. Rais wa Zanzibar na...
  16. JamiiForums Tanzania Kifo cha Rais Mkapa: Burundi yatangaza siku 3 za maombolezo kuanzia leo. Waziri Mkuu wake afika kuhudhuria msiba

    Serikali ya Burundi imetangaza siku 3 za maombolezo kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa. Kwa siku zote tatu Bendera zitapepea nusu mlingoti ikiwa ni kuanzia leo, jumatatu.
  17. U

    JamiiForums Tanzania Lissu ni mhanga wa kifo anastahili mapokezi ya kitaifa. Tujitokeze kwa wingi

    Tukikumbuka kilichompata Mhe! Tundu lissu 2017, kwa mtanzania yeyote mwenye mwili na anamwabudu Mungu, mwenye huruma na upendo alimponya tundu Lissu ni Mungu tu, hili halina ubishi, mpango wa wabaya wake ulikuwa tundu lissu afe lakini mpango wa Mungu tundu lissu aishi alitumize kusudi! Tunaenda...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa katika jicho la tatu

    Kifo cha Rais Mstaafu wa Serikali ya awamu ya tatu ni moja ya vifo huenda kikazivutia idara nyingi za usalama ktk mataifa makini yanayopenda kulinda uhai wa viongozi wao wakuu wa kitaifa. Awali ya yote niwape pole nyingi familia ya marehem Benjamin William Mkapa. Nina imani hawakujuwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

    Wanabodi, Kumbe sababu ya kifo cha Mpendwa wetu, Benjamin William Mkapa ni Cardiac Arrest!. Asante sana Mwanafamilia wa familia ya Mkapa, William Erio, kuusema ukweli huu na kumaliza rasmi ile sintofahamu ya chanzo cha kifo, ambayo imezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF. Kama...
  20. JamiiForums Tanzania Mama Samia: Hakuna aliyetarajia msiba wa Rais Mkapa kwa sababu hatukusikia kuumwa kwake, tumesikia msiba wake. Ni msiba mzito na umekuja kwa mshtuko

    Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema kifo cha Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa ni msiba mzito kwa Taifa na umekuja kwa mshtuko mkubwa kwasababu umetokea hakuna aliyetarajia au kutegemea Amesema, "Hakuna aliyetarajia kwasababu kama tungesikia Mzee amelazwa anaumwa kwa wiki na tumekwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…