Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Bukimau iliyopo Kata ya Bumilayinga, Halmashauri ya Mji wa Mafinga, Wilaya ya Mufindi, Kojak Emily Ungele (19), amefariki dunia katika tukio lililotokea usiku wa kuamkia Jumatatu, Juni 1, 2026, baada ya kile kinachodaiwa kuwa kushambuliwa...