kiburi

Kiburi-ji (来振寺) is a Buddhist temple in Ōno, Gifu Prefecture belonging to the Chisan sect of Shingon Buddhism. The temple claims to have been founded as the Hossō sect temple of Shinpuku-ji by the wandering priest Gyōki in 715 AD. It was burned down by Oda Nobunaga in 1560 and subsequently rebuilt with the support of Toyotomi Hideyoshi, Tokugawa Ieyasu and the Toda clan of Ōgaki Domain during the Edo period.
The temple possess a Heian period set of five scroll painting depicting the five Myō-ō (Fudō Myō-ō, Gōzanze Myō-ō, Gundari Myō-ō, Daiitoku Myō-ō, and Ususama Myō-ō which is a National Treasure of Japan.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Steven Wasira acha kiburi, dharau, kejeli ya madaraka. Kuna siku utazitaja dhambi zako you committed against humanity!

    Msikilize hapa dharau, kejeli, masimango ya kiburi cha madaraka HARAMU
  2. Lord Denning

    Wito kwa Watanzania: Achananeni ya kebehi na kiburi cha CCM na Kihongosi wao. Nguvu zetu tuwekeze ICC. Siku si nyingi wataanza kutoa milio

    Wito kwa Watanzania. Achaneni na huyu mpuuzi Kenan Kihongosi anayewakilisha kiburi cha Taasisi anayotoka ( ccm) na kebehi za chama chao kwa Watanganyika baada ya kutuua na kumwaga damu zetu kikatili sana. Achaneni na Waigizaji wote na CCM na madalali wao ambao muda huu wanalipwa kuleta maigizo...
  3. pambe samanini

    Kiburi kiliniponza

    Katika familia yetu tulikuwa vijana wengi sana, hata tulipoanza safari ya masomo tulianza sote na kumaliza kwa pamoja. Kila mara nilikuwa nachelewa kufika shule na kuadhibiwa. Maonyo yalikuwa mengi na adhabu nyingi sikusikia kabisa. Baadhi ya walimu walisema " kijana Dunia shujaa, walimwengu...
  4. Idugunde

    Kiongozi anayekaa madarakani sababu ya kiburi cha risasi na jeshi huondoka madarakani kirahisi sana

    Hata kama atakaa kwa muda mrefu ataondoka tu kirahisi kama walivyondoka akina Mobutu , Bokasa na wengineo. Hata vijana ambao huwa nakutana nao mara kwa mara huwa nawaeleza hili kuwa kila jambo lina mwisho. Tulipata uhuru bila kumwaga damu. Lakini leo hii watu walimiminiwa risasi kama njugu...
  5. Just Pray

    PostGE2025 Rais Samia: Wanaochokolewa masikio kuvunja amani, Dar es Salaam nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njiani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri...
  6. Course Coordinator1

    Hakuna kuridhiana na wauaji, watekaji, na walawiti. Ulijitia kiburi leo unataka maridhiano ya nini?

    Heri ya Mwaka Mpya Wakuu Huyu Bibi anatuona sisi wajinga na wapumbavu . Siku anaongea na wazee walevi wa Dar Es Salaam alitunanga kuwa nguvu iliyotumika ilistahili, maana aliridhia na alitoa order ya kuua ndugu zetu mbaya zaidi akaenda kuwazika huko misitu ya kondo na ziwa Victoria. Mbaya...
  7. S

    Waliojiweka madarakani bado wana kiburi. Kwanini wameendelea kuteka, kumficha Polepole na kesi ya Lissu imewekwa kapuni?

    Nilidhani MO29 imetoa funzo kwa serikali hii haramu, lkn inavyoonekana bado wamekaza mafuvu huku wakimtegemea Mafufu kuwahadaa wananchi. Juzi juzi wamemteka Mwambe. Bila ya familia ya Mwambe kupiga kelele, Mwambe angekuwa kama Polepole. Sote tunajua Polepole ameshiliwa na hawa hawa maharamu...
  8. Trainee

    Tuache kuwaletea dharau, kebehi na kiburi wale wenye mzuka wa kuandamana kwani kufanya hivyo ni kuwachochea watekeleze kile walichokuwa wanakipanga

    Lengo la kuzuia na kupinga maandamano haikuwa kuonesha ubabe au kumkandamiza mtu Serikali iendelee kutatua changamoto na matakwa ya vijana hao kwa kadri inavyowezekana Sisi wengine hakuna kinachotuhusu hivyo ni vyema tukachunga ndimi zetu. Mwenye jukumu la kutekeleza matakwa yao ni serikali...
  9. K

    Tatizo la CCM na Samia ni kiburi tu. Familia 99% nchi 1%

    Tatizo la CCM na Samia ni kiburi tu. Familia 99% nchi 1%. Je hii ina maana gani kama nchi 1. Mzunguko wa Pesa umepungua na utapungua kwasababu uwekezaji umepungua, watalii wamepungua na uwekezaji utapungua. Kwa mfanya biashara sasa atapata riba ya juu sana kama anakopa bank za nje kuja...
  10. M

    PostGE2025 Hata waliokufa leo walikiona kifo kana kwamba kiko mbaali sana, kisa wewe ni kiongozi unakuwa na Kiburi?

    Kiburi cha wanadamu chatoka wapi? Kwa sababu wewe una cheo fulani na vile unapojiangalia unaona umezungukwa na ulinzi mkali, umezungukwa na kila aina ya silaha ndio sababu ya kuwadhihaki waliokufa leo na wewe kujiona u salama kushinda wao? Unaowadhihaki hao, nao walikiona kifo ni kana kwamba...
  11. Bi zandile

    Mwanamke kuongea na watu huku kashika kiuno ni ushamba na kiburi cha kike

    Nimeona mjadala mkubwa wa Gen Z huko Tiktok kuhusu hii picha ya mtu aliyekuwa akiwananga huku akiwa amewashikia kiuno. Vijana wanaulizana, kwani anatuchukuliaje? Ilikuwa ni lazima aongee akitutaja sisi huku akiwa ametushikia kiuno? Vijana wa kiume walienda mbali zaidi( ila mimi huko sitafika...
  12. mfungwa

    Kiburi cha Viongozi

    Kiongozi jitahidi kuacha yako uliyonayo, bali ita vikundi mbalimbali jadili nao. Viongozi Wa siasa, dini, NK mbona watanzania wapole tu. Ila ukishupaa utaona moto Wa kiburi
  13. The Father of All

    GE2025 Ni jeuri, kiburi, au ujinga kwa Samia kutojifunza toka kwa Magufuli?

    Mgombea wa kujiteua wa CCM, Samia Suluhu Hassan anahitaji msaada tena wa bure na haraka. Tokana na kuabudiwa kichawa na kizwazwa, anajiona kama muungu mtu. Ni ajabu hakujifunza kwa muungu wake John Pombe Magufuli aliyetenda makufuru hadi, watu tuliodhani wasomi na wazima, bila aibu wala woga...
  14. Its Tesha

    Tatizo la huyu mama ni dharau na kiburi cha madaraka

    She must GOOOOOOOOO!!!
  15. comrade_kipepe

    Sifa na kiburi kikizidi

    Wakristo mnasemaje hapo?!
  16. a sinner saved by Christ

    Tufanye nini ili tuepukane na dhambi ya kiburi?

    KIBURI Kiburi ni hali ya moyo wa mtu kuinuka,kujisifu,kujitukuza ,KUJIKWEZA kutokana na kitu fulani alichonacho/anachomiliki ambacho kinamtofautisha yeye na mwingine. mfano 1. KIPAWA/KARAMA/KIPAJI alichojaliwa yeye tofauti na wengine. mfano hapo zamani LUSIFA alikuwa malaika mkuu Wa...
  17. ngara23

    CRDB mnapata wapi kiburi hiki? Hebu tupeni pesa zetu wakulima wa Kyerwa tupeleke watoto shule

    CRDB hii bank imejaa uozo mwingi, Leo sitasema yote Wakulima wa Kyerwa huwa tunalipa na Chama cha ushirika (KDCU) kupitia benki ya CRDB, tuliuza kahawa katika mnada tarehe 30 na pesa ikawekwa kwenye account zetu CRDB, Ajabu tukifika benk wafanyakazi wanasema mtandao hamna tusubiri mtandao...
  18. Waufukweni

    Askofu Bagonza: Mamlaka yanajaza kiburi

  19. U

    "Makalio yanaongeza kiburi ndani ya nyumba" Pastor Bosco

    Ni maneno ya Pastor Bosco Tungaraza kupitia HamasikaTV
  20. Carlos The Jackal

    Huwezi Mtenganisha MULIRO na Matendo ya kiovu yanayoendelea Nchini. Maelezo yake ynaonyesha pia kuwa Jeshi la Polisi limeshindwa KAZI ya kulinda Taifa

    Huyu Jamaa kama ni Roho mbaya, basi ni Shetani ,amejawa Kiburi, jeuri ya Mamlaka kiasi kwamba Licha ya kua anajua anaongea Upumbavu anaelewa fika hamna wa Kumfanya kitu chochote. Huyu Jamaa kama tutapata Taarifa zake Binafsi za Akaunti za Benki ni wazi atakua na Mabilioni Kadhaa ya Fedha ...
Back
Top Bottom