kibaya

Kibaya is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwandishi Khalifa Said: Tupo kwenye kipindi kibaya sana kwa sasa zaidi ilivyokuwa wakati wa Magufuli

    Waandishi wanahali ngumu. Wanafanya kazi kwa hofu.👇
  2. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kibaya kwenye hii Dunia kama “hopes”

    I don't have much to to talk but Hopes ndio always zinaleta maumivu. Ngoja nikale zangu bia.
  3. JamiiForums Tanzania Wimbi la watu kupeleka fedha kwenye kununua Bonds, Hisa, UTT, hatifungani, fixed deposits, je ni kitu kizuri au kibaya?

    Kwa sasa habari ya mjini ni kununua hisa, bonds, mifuko ya uwekezaji n.k, je ni kitu kizuri au ni kibaya? Ni kitu cha kudumu au ni upepo tu? Je hao watu wanatengeneza hela kweli au ni mamotivesheni spika wanawajaza upepo. Binafsi naamini wale waliokuwa na pesa nyingi enzi hizo wakanunua hisa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la CCM ni kuwa hakuna wa kudiriki kumwambia Mwenyekiti kuwa Hapa tunajielekeza vibaya tusifanye hivyo! Kibaya wengine ni toka jalalani

    Nadhani kama angetokea mtu jasiri akamwambia Mwenyekiti tusiende njia hiyo, huko si kwema kwa mustakabali wa taifa, maybe angeweza kuona ubatili wa yanayotokea. Shida ni kuwa wanamhakikishia kuwa all is OK and heading in the right direction
  5. JamiiForums Tanzania Vita Kali Dhidi ya Atheists Season 1, Episode 1: Kwanini Kilamtu anajua "hiki ni kibaya au kizuri," bila makubaliano yeyote ?

    Fikiria mtoto wa jirani yako mdogo, hana kosa alafu mtu mkubwa anamtesa kwa starehe zaake tu. Jibu kwa uaminifu hilo ni baya, au ni opinion yako tu? Kama ni opinion yako tu basi mtu anayesema 'kwangu ni sawa sio vibayya' hana makosa. anakua ana opinion tofauti tu. Lakini hakuna mtu hapa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mzee amepigwa na kiharusi kikali, sijui kama atatoboa

    Amepigwa pigo takatifu la Cardiovascular Accident. Ni mpwa na msaidizi wa Julius Kambarage toka miaka ya mwanzo ya nchi hii. Alikiri alichomewa nyumba yake akiwa amejificha nchini. Ambayo ni uongo, hakuwepo nchini na hakupiga kura. Alikuwa na mihadi na Kaguta siku ile kuhusu kumchangia hii...
  7. JamiiForums Tanzania Kizuri kinajiuza, kibaya chajitembeza, kisicho na haya chalazimisha

    Kuna jambo limenichefua sana, la kulazimishwa kupenda mtu au kumpa sifa. Huwezi lazimisha watu wakupende au wakusifie, haiwezekani. As Human beings, we have a free will, we observe, we think and we draw a conclusion. Forcing someone to draw the same conclusion as "yours", is the same as trying...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Jamani mbona JF hakuna kibaya kinachoandikwa?

    Ni maoni ya kawaida..... Sasa wanavamia JF kwa kosa gani? si wamwambie kuwa usipost hiki na hiki na hiki...au wanaopita JF wanamwambia hii futa .....
  9. JamiiForums Tanzania Kufanya Matusi, Ngono ni majina mabaya yaliyopachikwa kwenye kizuri ili kionekane kibaya

    Wahuni sio watuwazuri. Kitendo cha watu wa jinsi 2 tofauti kuungana kimwili ni kitendo chenyeraha isiyo kifani hasa ikichagizwa na miguno. Sasa sijui katokea mtu wapi huko eti anadai kitendo kile kinaitwa kufanya matusi.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Wakuu niko Kibaya Kiteto nipeni muongozo

    Inawahusu wazee wa totoz na gambe. Nipo njiani nasogea kibaya nipeni bar nzuri guest za Bei chee.
  11. JamiiForums Tanzania Wengi wetu humu JF tunaunga unga sana ni basi tu maandishi yanatufanya tuonekane wamoto na sio kitu kibaya maana tunakuja kupunguza stress humu

    Kuna wakati nilijua kila mwana JF anaendesha crown na harrier. Mkate wananua mlimani mall tu Pia nilijua kila demu ni slay queen na matipwa tipwa, Nilijuaga members wote humu wamesoma zile shule za "dont touch me" maana majina yao karibia wote ni ya lugha ya malkia elizabeth. Nilijihisi niko...
  12. JamiiForums Tanzania Kanisa kuzidiwa na Uchawi (Giza)

    Sitaweka vifungu vya biblia lakini kwa atakayetaka apewe na vifungu wapi imeandikwa Tutampa. Mada ni Taifa la Mungu Israel na Taifa la Mungu Tanzania. Ushindani kati ya nguvu ya Uchawi (giza) na nguvu ya Nuru umeanza tangu Binadamu alipoumbwa hapa duniani. Na sehemu nyingi kuonekana Nguvu ya...
  13. JamiiForums Tanzania Al Jazeera: Wazir wa Mambo ya Nje wa Iran. Asema ni kweli walipata kipigo kibaya kwenye vinu vyao. Wanajipanga upya

    Sasa wenzangu akina Ritz Adiosamigo na wengine ambao hatukuenda shule inabidi tusubiri kusikia sheikh kitinku atatupa tena maneno gani ya kuwajibu hawa waisrael. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anakiri kuwa walipata kipigo kibaya kwenye vinu vyao. Ingawa sisi tulijaribu sana kupinga. Na wenzetu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Binafsi sijaona kibaya alichokisema Mpina mbele ya Rais Samia

    Jana katika ziara ya Mhe. Rais katika Wilaya ya Itilima Mhe. Mpina Mbunge wa Kisesa alipewa muda kusema machache kuhusu Jimbo lake la Kisesa. Mhe. Mpina alisema kero za Jimbo lake likiwemo kwa nini mnunuzi wa pamba anakuwa ni mmoja katika kila Wilaya jambo ambalo ni la msingi. Pia Mhe. Mpina...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Lema asema Gwajima alitakiwa kupewa kesi ya uhaini, asema amefanya kitu kibaya hauwezi kuchanganya siasa na dini

  16. JamiiForums Tanzania Kipindi raisi MOI kenya kuna waziri alikuwa anampinga alikufa kifo kibaya na kila mtu aliyefahamu alikufa ndio ujue serikali ni genge chachafu ikifika

    Kuna waziri mmoja kenya ilitokea kupishana na waziri mwenzake sababu ya kuona raisi mambo yake. Lile tukio la mdude mbeya ndio lilimtokea ila kwa vile alikuwa na mguu wa kuku alipambana nao ila walimchukua na kwenda kumtupa porini akiwa amekufa. Kisa kikaanza hapo yani shaidi wa kwanza tena...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali

    Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali lengo likiwa kuchafua serikali na kujijenga kisiasa Wanajua akifanyiwa chochote kibaya kiongozi wa kidini mpinga serikali lawama zitaenda kwa serikali na wao...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe tumbo ni kitu kibaya sana

    Agenda ya CHADEMA ya No reform No Election imepelekea baadhi ya wanachama wa CHADEMA kuelekea kuasi kwa sababu ya tumbo. Wengi wao wako pale kwa kutafuta masilahi na siyo vinginevyo. Agenda hii ilianzishwa na Mbowe mwenyewe leo hii mnamlaumu Lissu. Kumbe wengi hawapo pale kwa ajili ya Chama...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wengi Hawataki kutumia Uzazi wa Mpango ila wanapenda Kugegeduana Pekupeku, Kibaya hawataki mimba au Kuzaa;Hii imekaaje?

    Unajua kuna principle moja kwenye moja ya physchosocial model inasema "we are the product of our decision". Turudi kwenye mada, wanawake wa kisasa ukiwa naye wanapenda kugegeduana pekupeku, yaani wanapenda kuisikilizia skin to skin vibaya sana, ila likija suala la kumshauri kutumia uzazi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Lissu ni kirusi kibaya ndani ya CHADEMA. Wana CHADEMA tokeni usingizini, Lissu anakwenda CCM

    Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo. LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani. Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu. Wana CHADEMA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…