kibarua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kilawo

    Natafuta Kazi kibarua nipo Songea vijijini

    Mimi nikijana Nina umri wa miaka 28 natafuta kazi au kabarua nipo songea vijjini,Mimi sio mvivu nilikuwa na biashara nimekata mtaji, kukuaa Tu Ofsini sina pesa na Mali napoteza Muda
  2. M

    Ombi la kazi/ kibarua

    Salaam za heshima, Natumaini ujumbe huu unawafikia mkiwa salama. Mimi ni kijana wa kiume, mwenye umri wa miaka 26, ninaishi Mbagara Kuu. Elimu yangu ni kidato cha nne. Naomba kazi au kibarua chochote halali kinachopatikana, kama vile: Kuuza dukani Uwinga Kufanya usafi kwenye ofisi au maeneo...
  3. M

    Fursa ya ajira ya kazi ya kibarua kwa muda wa miezi 6 hadi mwaka mmoja malipo 12000 kwa siku

    Habari JF Kuna kazi kwa vijana wa kiume 10 wanahitajika Mahali pa kazi ni Dar es salaam Vetenari Aina ya kazi ni kusaidia mafundi wa mechanics kuna ujenzi wa kiwanda unaendelea utakaochukua muda kati ya miezi 6 hadi mwaka au zaidi kulingana na kukamilika kwa mradi, kwahiyo ni kazi ya uhakika...
  4. Parabolic

    PostGE2025 Dk Mwigulu ana kibarua kigumu kufunika uovu wa Oktoba 29, 2025

    Baada ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Dk Mwigulu Nchemba ana kibarua kigumu kuisafisha Serikali na uvunjifu wa haki za binadamu uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama kwenye maandamano yaliyofanyika siku ya uchaguzi Oktoba 29, 2025. Novemba 24 Dk Mwigulu alifanya ziara...
  5. K

    Natafuta ajira ya kibarua

    Habari za wakati huu wanajamii wenzangu, Naomba kuchukua nafasi hii kuwasalimia na kuwaomba msaada wenu. Mimi ni kijana mchapakazi, mwenye ari na nguvu za kufanya kazi mbalimbali ili niweze kujipatia riziki halali ya kila siku. Kwa sasa ninatafuta kibarua chochote halali, iwe ni kazi ya muda...
  6. Marxist Del Capitano

    Natafuta kazi ya Kibarua (Moshi)

    Habari, natumaini mpo salama Naishi Moshi Mjini, Mimi ni kijana mchapa kazi na mahiri, hivyo kwa unyenyekevu mkubwa natafuta nafasi ya kazi ya Kibarua, popote Moshi mwenye anafaham naomba anisaidie.
  7. W

    Wale kazi kazi ilimradi pesa

    Uko na ndugu yako nyumbani anasumbua pesa ya vocha na nauli yaani bado hajanipata? Je Yuko shapu na anaweza kufanya kazi Kwa uharaka,uaminifu na bila kusimamia? Basi Kuna kibarua Cha muda mfupi Cha kubandika poster za kampuni ya simu. Unapewa nauli Pia Kila poster ni sh 120 Target ufike...
  8. D

    ally kamwe akijichanganya kibarua chake kinaweza kuisha leo

    I wil be short hiki kikaoo cha Yanga ndo hatima ya kibarua cha ally kamwe, yani majibu yakitoka ya ajabu kazi hana. mwakani atafute kazi ya kufanya , wana yanga wapo moto wana sikiliza akijichanganya tu. wana mkataa mazima
  9. Dear_me_

    Kibarua/ Nafasi ya kujifunza kazi Wakala wa vipimo

    Kwa majina Naitwa Deo Nicomedi Ninaomba kwa mwenye connection katika ofisi za wakala wa vipimo (weight and measure Agency) au makampuni binafsi ya vipimo na viwango anisaidie wakuu nipate nafasi ya kujifunza kazi yoyote/ au kibarua nitashkuru sana Nina Bach. In Industrial metrology&...
  10. A

    Ninatafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku.

    Habari zenu wanaJF nipo Dsm natafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku. Iwe saidia fundi, bandarini, kiwandani au kazi yoyote ya halali. Elimu yangu ni shule ya msingi. Napatikaa Mbezi makabe. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  11. clinton gidioni

    Naombeni kazi au kibarua njee ya taaluma yangu

    Wakuu poleni na majukumu. Kijana mwenye nguvu na afya njema naombeni ajira au kibarua ili niweze kumudu garama za maisha hapa Tanzania. NATAFUTA AJIRA AU KAZI NJE YA TAALUMA YANGU. Nipo tayari kufanya kazi za saidia fundi upande ujenzi. elimu kidato cha nne. Umri 29 mkazi wa Dar es...
  12. B

    Bado nahangaika kupata kibarua Cha kufanya

    Wakubwa habari za wakati huu. Kijana wenu bado nahangaika kupata kibarua Cha kufanya ili kukimu mahitaji ya familia yangu. Naelekea kukata tumaini la kuishi kabisa,...Mniombee Elimu yangu Ni ya secondary,na Nina ujuzi wa kutumia kompyuta kwa ustadi Sana. Nipo tayari kufanya kazi yoyote ya...
  13. Anastasia21

    Nahitaj ajira au kibarua au kazi

    Habari Wana jf mm ni kijana mwenye umri wa miaka 23(ke) nahitaj ajira ambazo zipo au kwa wale wanaohitaj wafanyakazi kazi yoyote nafanya na elimu ya form 4 tusaidiane ntashukuru kwa muajir ikifanikiwa No;0750302068
  14. K

    Natafuta ajira yoyote au kibarua

    Nikijina wa miama 26 mkazi wa Arusha nina leseni class D nina uzoefu ila nipo tayari kufanya kazi yoyote sehemu yoyote Mawasiliano 0699249137
  15. A

    Natafuta kazi au kibarua chochote Dar es Salaam

    Habari, Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es Salaam. Level yangu ya elimu nina degree ya Information systems Management. Npo hapa kuomba kazi yoyote kama vile barista cafe, kuuza duka, kuuza Supermaket, na kazi nyingine yoyote mnayoweza nisaidia. Asante
  16. I

    Natafuta kazi (kibarua)

    Habari ya Uzima wanaJF! Nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kibarua chochote Cha halali. ✅Nna shahada kwenye real estate management (hiki kisiwe kigezo Cha Mimi kupewa kazi) ✅Najua vema kutumia kompyuta kwenye program zote. Naishi DSM, Asanteni sana
  17. sangaone98

    Natafuta kazi, kibarua au ajira

    Heshima yenu wana JF popote mlipo, I hope mko sawa, mimi ni kijana wa kiume umri wa miaka 26. Naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia kupata kazi, kibarua, Ajira mwenye connection ya mchongo wowote halali naomba anisaidie naamini kwenye uwezo wenu wana JF. Kwa sasa niko iringa ila naweza kuja...
  18. N

    Msaada wa Connection ya kibarua chochote

    Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo Nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kibarua chochote ili niweze kuisadia familia yangu nikiwa na maana ya mke na watoto pamoja na mzazi wangu ambae ni mjane. Elimu yangu ni form 6 ila pia najua kutumia computer. Hata kama ni kibarua cha kulipwa kwa siku nipo...
  19. BLACKLIST 12

    Naomba msaada wa kupata kazi ya upagazi(porters)

    Jinsia: Mwanaume Umri:21 Elimu: kidato cha 6 Mafunzo: JKT kwa mujibu wa sheria 2022
  20. R

    Tumerudishwa tena kwenye habari mbaya Duniani; Naamini waliopanga hizi kamata kamata wanakwenda kupoteza kibarua

    Waliopanga hizi kamata kamata walikosea. Walishindwa kufahamu kwamba Dunia inaendeshwa kwa vyombo vya habari vya magharibi kuliko vya ndani. Al-Jazeera na BBC ni vyombo vikubwa, vinaweza kukijenga na utakumbuka awali vilivyotumika kupooza upepo wa JPM alipoingia Mama. Leo vimeingia Ulingoni na...
Back
Top Bottom