1. Ukiona mtu amepewa airtime na TBC, ujue katumwa na CCM/serikali. Leo namuona anaongea TBC eti miswada isiondolewe bungeni, maana ikiodolewa haitarudi tena.
2. Kwa hiyo anamaanisha kuwa twende kwenye uchaguzi na sheria mbovu yatokee yale yale ya 2020 chini ya magufuli! Huyu ana akili kweli...