kibamba

Kibamba is an administrative ward in the Ubungo district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 17,998.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    KERO Kibamba - Dar es Salaam wengi bado tunalazimika kununua maji ya chumvi

    Kibamba wengi bado tunalazimika kununua maji ya chumvi Licha ya Serikali kukiri kuwa Tanzania si masikini wa vyanzo vya maji, bado kero ya maji imeendelea kukithiri hasa kwa miji mikubwa kama Dar es Salaam. Kero hiyo imedhihirika tena mwisho mwa mwaka 2025, kwa jiji la Dar es Salaam kukumbwa...
  2. Waufukweni

    Deus Kibamba: Maridhiano yawe kati ya Serikali na Watanzania, sio CCM na CHADEMA

    “Maridhiano yawe baina ya serikali na watanzania, Sio CCM na CHADEMA, Kwa sababu mamlaka yapo mikononi mwa watanzania sio vyama vya siasa” Deus Kibamba, Mchambuzi wa Siasa
  3. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Kibamba: Serikali ikamilishe mchakato wa katiba mpya mapema kwasababu katiba ya sasa ndio chanzo cha haya machafuko

    Deus Kibamba ambaye ni Mchambuzi wa masuala ya Diplomasia na Siasa nchini Tanzania ameshauri tume zitakazoundwa za uchunguzi juu ya matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi mkuu wa 2025 zijikite kwenye uchunguzi wa kisayansi na siyo kisiasa. Aidha, Kibamba amebainisha kiini cha tatizo...
  4. R

    Rais Samia hajui Idadi ya Wabunge wa Serikali yake

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 18, 2025 akiwa katika hafla ya uapisho wa baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma ameshindwa kujua idadi ya wabunge ambao wapo katika Serikali yake
  5. R

    PostGE2025 Deus Kibamba: Tusimlaghai Rais. Huwezi kujichunguza mwenyewe. Hapa tulipofika tusijichunguze, tuchunguzwe

    Mchambuzi wa masuala ya Siasa Deus Kibamba amesema kwa mazingira ya sasa, ni ngumu kupata mchunguzi wa ndani atakayeaminika na pande zote, isipokuwa ni busara pande zote zikaridhia kupata mchunguzi huru kutoka nje ya nchi huku akirejelea hotuba ya Rais Samia siku chache zilizopita akieleza...
  6. Just Pray

    GE2025 Edward Kinabo wa CHAUMMA ataka mdahalo wa wazi na Anjellah Kairuki Jimbo la Kibamba

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, Septemba 8, 2025, ameendelea na kampeni zake za mtaa kwa mtaa katika Kata ya Goba, mtaa wa Matosa, akihamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura. Kinabo amemuita mgombea Ubunge wa CCM...
  7. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea ubunge Kibamba aahidi kuboresha maslahi ya Bodaboda

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibamba, mkoani Dar es Salaam, kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, Septemba 2, 2025, akiwa katika Kata ya Saranga, ameahidi kuboresha maslahi ya waendesha bodaboda endapo atapewa nafasi ya kuwakilisha wananchi wa jimbo hilo bungeni...
  8. BigTall

    Deus Kibamba: Mbunge akimaliza miaka mitano Bungeni anapewa kiinua mgongo Sh Milioni 380+

    Msikilize Deus Kibamba ambaye ni Mchambuzi wa Mambo ya Siasa na Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia na Mkurugenzi Mtendaji Kituo Cha Taarifa Kwa Umma akifafanua kuhusu faida za Mbunge anazopata ndani ya Miaka mitano. Ndio maana Watu wanapambana kwa nguvu zote kuupata Ubunge kama mambo yenyewe ni...
  9. Bosspraise

    Miliki nyumba hii kibamba shule Kwa 75 millions

    MILIKI NYUMBA NZURI KIBAMBA SHULE – MILIONI 75 TU!* Nyumba ya kuvutia inauzwa, ipo Kibamba Shule (1KM kutoka barabara ya lami). Sifa za Nyumba: Vyumba 3 (1 Master) Jiko + Dining Mabanda ya kufugia kuku (tayari kwa biashara ndogo) Fremu 3 za biashara (hazijamaliziwa) Eneo kubwa SQM 1300 –...
  10. Sonship

    VIWANJA VINAUZWA KIBAHA,KILUVYA NA KIBAMBA

    VIWANJA VINAUZWA Kibaha Kwa Mathiasi Nyumbu Jeshini 20x20 Milion 7 Kibaha Maili Moja Mwanalugali 20x20 Ml 7 Kiluvya Kwa Komba 20x20 MLN 16 Kibamba Kibwegere Kwa Kinega 20x20 Milion 7 Kiluvya Madukani Vya Km 3-5 Milion 8 Karibuni Wadau wa Ujenzi 0775 179905
  11. S

    Mama tulipe Madeni yetu tunayokudai Wakazi wa Kibamba

    Wakazi wa wilaya ya Ubungo(Dar es salaam) hasa Jimbo la uchaguzi la kibamba mama tunakudai Tena madeni makubwa sana. Tunakudai maji, barabara, hospitali n.k. Miaka 64 ya uhuru hatuna maji ya dawasa, hivi hii ni haki kweli? Kila siku danadana tu tumechoka. Dawa ya deni ni kulipa
  12. Kekule Wa Benzene Ring

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kisemvule njia panda ya Kibamba Msikitini

    Nauza kiwanja changu kilichopimwa kipo Kisemvule Njia PANDA ya KIBAMBA MSIKITINI Eneo ni sqm 1700 Price; Million 6. Hakina udalali. Huduma zote za kijamii zinapatikana. Kwa mawasiliano; Njoo PM
  13. Baflo

    KERO Ubovu wa barabara na kukosa daraja Mto Mpiji kati ya Kibamba kibwegere na Lumumba kwa mazengo

    Barabara ya Maili moja(Loliondo) mpaka Lumumba kwa mazengo haipitiki na kizungumkuti. Kwa miaka mingi sasa barabara hii haipitiki licha ya kuongezeka sana kwa wananchi wanaotumia njia hii kwenda kufanya shuguli zao za kiuchumi..Ni bara bara yenye asili ya tope tupu la mfinyazi iwapo mvua...
  14. Kasri Homes Tz

    House4Sale Kibamba: Nyumba 3 Bdrm; Kiwanja 1,400sqm; Bei Mil 78. Beba - Dar

    • Direction: • Condition: • Structures: • Facilities: • Plot Terrain: • Plot Survey: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  15. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge Kibamba: Watanzania wengi wanatamani kuona sura ya Rais Samia kwenye fedha zetu

    “Watanzania wengi wanatamani kuona Sura ya Rais Samia kwenye Fedha zetu, hii Italeta heshima kubwa kwenye Nchi yetu, kwa sababu tumeona mafanikio makubwa ya Nchi yetu kuongozwa na Rais Mwanamke” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba.
  16. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge Kibamba: Ndani ya uhai wangu CCM haiwezi kutoka madarakani, labda nisiwe hai

    “Ndani ya uhai wangu CCM haiwezi kutoka madarakani, labda nisiwe hai” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba
  17. Kasri Homes Tz

    House4Sale Kibamba: Nyumba ya Vyumba 3 ya Ghorofa 1 Inauzwa - Dar

    • Direction: • Features: • Facilities: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  18. Sonship

    Nyumba inauzwa Kibamba Gogoni

    Nyumba inauzwa Kibamba Gogoni Ina vyumba 3 kimoja master Ipo ndani ya fensi Sebule,dining &, jiko Nyaraka ni Mikataba ya mauzino ya serikali za mitaa Bei mln 50 0775 179905
  19. excel

    Nauza Kiwanja: Ubungo Kibamba Shule

    wazee na Vijana wa JF Nauza kiwanja kiko Kibamba shule 👉 Ibwegere size mita 20 kwa 20 Kutoka kibamba shule hadi Site ni 1,500 Tsh kwa Boda Bei elekezi 4,000,000 Tsh Simu ziite 0744-033-555
  20. Dalali wa Mjini

    Nauza nyumba Kibamba

    Habari wakuu. Nyumba zipo nne ndani ya kiwanja kimoja Mtaa wa Undogi Tank la maji. Nyumba mbili zimepauliwa Nyumba mbili hazijapauliwa. Sqm 870 Hati ya wizarani. Location Kibamba njia panda ya shule Mtaa wa Undogi Tanki la maji. Km 3 kutoka Morogoro Road hadi kwenye nyumba...
Back
Top Bottom