kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya rufani ikikataa ushahidi wa 29 kwenye kesi ya Lisu mawakilii wa serikali wataumbuka lakini ikikubali wataumbuka zaidi, haki huinua Taifa

    Kazi anayofanya Lisu ni kubwa sana kuonyesha udhaifu ulioko kwenye Muhimili wa mahakama ni aibu tupu Kadri wanavyozidi kukaa na Lisu ndivyo wanavyozidi kuumbulia hadharani Ni kama wamepigwa upofu hawajui Nini waamue Ukimeza kaa la moto kivyovyote LAZIMA uumie , ukipandisha likuunguza ukimeza...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Lissu ni kama Mandela, mtamtesa lakini kamwe hatopigia mtu magoti na mwisho wa siku atashinda kesi na kuwa maarufu zaidi

    Ukweli ndio huo labda mummalize maana nyinyi hamna aibu wala utu au mumfunge kwa hila kama alivyofungwa Mandela
  3. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi la Jamhuri la kuongeza ushahidi

    Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa katika viunga vya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akifikishwa mahakamani hapo. Yaliyojiri Mahakamani; Kesi ya Lissu: Mahakama kujadili ombi Jamhuri kuongeza ushahidi wa...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Matokeo ya Kesi ya Lissu na Tume ya Chande YANAJULIKANA, anayetegemea tofauti labda haijui Tanzania

    Jamhuri imeshindwa kuthibitisha Uhaini wa Lissu, lkn Mahakama itakuja na maamuzi kuwa Lissu ana kesi ya kujibu. Kwa vile wanajua watashindwa kesi na mmoja wa mashahidi wa utetezi ni Samia Suluhu, kuliko kumdhalilisha Samia watasema DPP hana nia ya kuendelea na kesi. Tume ya Chande haina kazi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Februari 20: Kesi ya Uhaini inayomkabili Lissu inaendelea leo. Shahidi wa kificho (P9) anatoa ushahidi

    Wakuu, Kesi ya Lissu inaendelea leo Kaa karibu na uzi huu kupata updates ya kinachoendelea Soma Pia: Shahidi wa Kesi ya Lissu (P7): Nauli ya kuja mahakamani leo nimepewa na mwanamke wangu. Ndiye ananiweka mjini Kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 17, 2026, mashahidi wa Jamhuri...
  6. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Shahidi Coplo Vicent akiri Mahakamani, hakuandika kituo anachofanyia kazi, kwenye Maelezo yake ya Polisi

    Mhe. Lissu anaendelea na Cross examination. Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba uwaeleze waheshimiwa Majaji kama niliyoyasoma yanalingana na maelezo yako ya police. Coplo Vicent: ndiyo yanalingana. Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba nikupitishe kwenye Maeneo ambayo nataka nikuhoji. Mheshimiwa Lissu...
  7. JamiiForums Tanzania Februari 19: Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu inaendelea leo. Shahidi wa 12 anatarajiwa kuzungumza leo

    Wakuu, Kaeni karibu na uzi huu ili mpate updates ya kinachoendelea leo kwenye kesi ya leo Mawakili wa Serikali wameshaingia Mahakamani lakini Majaji na Mshitakiwa bado hawajaingia. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amefikishwa tena kizimbani tayari kwa kuvaana na mashahidi wa upande wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mashahidi wote katika kesi ya Lissu ni wakiristo?

    Kwanini mashahidi wote ktk kesi ya Lissu ni wakiristo? Kila anaelizwa dini ya shahidi, hujitambulisha mkiristo
  9. JamiiForums Tanzania Chuki ya Wassira kwa Mh Lissu, ni ile kesi ya Ubunge Mahakamani, Lissu alilihenyesha Wassira mpaka likataka kupigana

    Hi Zeee ni Moja ya Zee lenye ROHO mbaya mnoo. Mh Polepole aliwahi tuelezea, Namna GANI Lilivyomtukana Nyerere, na namna GANI Magufuli alivyoliweka pembeni. Ni zee korofi, lenye UCHU, Zee ambalo lipotayari kufanya lolote kwa ajili ya Cheo. Kwa sasa Linatumia Nafasi yake, kumuumiza Lissu yaan...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mchongo ina dhalilisha Jeshi la Polisi, Offisi ya mwendesha Mashtaka, Mahakama, Majaji na Watanzania wote kwa ujumla wetu

    Kesi ya Mchongo ambayo ulioanza labda ilionekana ina mashiko, lakini jinsi inavyo endelea, inaonyesha jeshi letu la polisi ni watu wasio jua kupambanua taarifa na matukio, pia Offisi ya mwendesha Mashtaka, kama ilivyo kwa jeshi la Polisi na Mahakama zetu kutumika vibaya, na pia Kwa sababu hao...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu, msishangae kuambiwa haitaruhusiwa vyombo vya habari kuitangazia kwa wananchi

    Mimi siyo Mtabiri na Wala siyo Nabii. Ila kwa mwenendo huu wa hii kesi ya Tundu Lissu very soon tutaambiwa waandishi WA habari hawatakiwi kuitangazia kwa Umma, kwa kisingizio inaharibu mwenendo wa kesi husika na waandishi kuipotosha Umma.
  12. JamiiForums Tanzania Ukatwe govi bila ngazi au uwe shahidi kwenye kesi ya Lissu ya uhaini. Kipi utachagua?

    Wakuu sikuwahi fikiria kama ushahidi ni kazi namna hii hasa ukiwa ushahidi wa mchongo. Mara 100 nikatwe govi langu kwa shoka tena bila ngazi kuliko kuwa shahidi upande wa mashitaka kesi ya Lissu. Asee naona hali si hali huko kwenye kizimba. Tangu mwanzo wakiwa Live hao police ilionekana wana...
  13. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Shahidi ambaye ni polisi anakwambiwa uhaini maana yake ni kuharibu mali na uchochezi hapo hapo anasema hajui kifungu hicho

    Kesi ya Lissu: Shahidi ambaye ni polisi anakwambiw uhaini maana yake ni kuharibu mali na uchochezi hapo hapo anasema hajui kifungu hicho.
  14. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa?

    Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa? Kuna upumbavu mwingi sana kwenye jeshi la polisi lazima wahusika wa upumbavu huu watawajibishwa. kijana ameshinikizwa na polisi kuja kuongea vitu asivyo...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Serikali hii ni ya laana, imewatafuta watu wenye dhiki ya maisha na kuwafanya mashahidi wa kificho

    Kwenye kesi bandia iliyotengenezwa na watawala dhidi ya Lisu, kila mmoja alishangaa kuona wale mawakili wa mchongo wa serika wakikazania kuwa na mashahidi wa kificho. Watu mbalimbali walitoka na hisia tofauti tofauti. Baadhi mpaka walifikia kusema kuwa labda wale waliokuwa viongozi wa CHADEMA na...
  16. JamiiForums Tanzania Hao mashahidi wa kificho kesi ya Lissu hawatajulikana milele?

    Lengo la kuwafanya baadhi ya mashahidi dhidi ya Tundu Lissu kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili wawe wa kificho ni nini? Hao mashahidi hawatajulikana milele?
  17. JamiiForums Tanzania Mjadala unaendelea hatma kesi ya Lissu Mahakama kutoa maamuzi, kutopewa chakula, Kamwaga na Pascal Mayala wanazungumza...

    https://www.youtube.com/live/yY-Fra_HBiY
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu ni ushahidi kuwa katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama, kuna shida ya watu Wazalendo

    Huu ndio ukweli mchungu na ndio maana tupo katika halii hii na huenda tukaendelea kushuduhia mambo mengi zaidi ya haya tunayoyaona leo. Pia, yaliyotokea Oktoba 29 ni ushahidii mwingine wa kukosekana wazalendo katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Jambo la msingi: Kupitia mauji ya Oktoba...
  19. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Mmoja azimia baada ya kusikia askari magereza wamegoma kumpa Lissu chakula kinyume cha sheria

  20. H

    JamiiForums Tanzania Kesi Bandia ya Uhaini: Lisu Aendelea Kuiabisha Serikali Haramu.

    Mheshimiwa Lisu, mtu aliyejawa hekima, upeo wa hali ya juu, na dhamira njema kwa Taifa lake, leo ameendelea kuidhalilisha Serikali haramu.na mawakili wake, na mashahidi wake fake. Baada ya hukumu ya jana, leo wameanza wale mashahidi wa kificho, mashahidi wa kutengenezwa. Leo ndiyo imedhihirika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…