kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Natamani sana andiko hili la hukumu ya Afande Bageni lisomwe vituo vya Polisi na Makazi yao kwenye Paredi

    (Ameandika Malisa G. ) SSP Christopher Bageni atanyongwa hadi kufa. Ndivyo mahakama ya rufaa ilivyoamua. Maamuzi ya leo ni ya mwisho ktk mwenendo wa kesi yake. Hana pengine pa kukata rufaa, pa kukimbilia, wala pa kupinga. Mahakama imeamua anyongwe hadi afe. Jaji Stellah Mugasha amegonga nyundo...
  2. JamiiForums Tanzania Kesi ya Dkt. Abdi Warsame anayeshutumiwa kwa wizi wa mabilioni yasikilizwa kisiri Kisutu, Waandishi wazuiwa

    Kesi inayomkabili Dkt. Abdi Warsame, anayeshutumiwa kwa kujipatia mamilioni ya shilingi kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa kampuni ya bima ya afya AAR (sasa Assemble), imesikilizwa kwa siri katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Waandishi wa habari na umma wamezuiwa kuhudhuria vikao...
  3. JamiiForums Tanzania Kesi baina ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kusikilizwa Leo 12 na 13 Februari katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Kesi baina ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kuanza kusikilizwa leo Februari 12 na 13, 2025 katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu. Kesi hiyo iliwasilishwa mahakamani hapo Agosti 21, 2023 dhidi ya Rwanda kwa madai ya ukiukwaji wa haki. Tuhuma za Congo dhidi ya Rwanda...
  4. JamiiForums Tanzania Dar: Kesi ya Mwalimu Saleh Ayoub (Shule ya Msingi Green Acres) anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi yaahirishwa hadi Februari 17, 2025

    Kesi namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala, Dar es Salaam ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake imeshindwa kuendelea ikidaiwa shahidi upande wa Jamhuri ambaye alitakiwa kutoa ushahidi hakufika...
  5. JamiiForums Tanzania Unaikumbuka kesi ya Zombe; watoto wa 2000 kaeni mbali kidogo

    Kesi ya Zombe ni moja ya kesi maarufu za mauaji nchini Tanzania. Inamhusisha aliyekuwa Afisa wa Polisi, Abdallah Zombe, na maafisa wengine wa polisi waliotuhumiwa kuhusika na mauaji ya wafanyabiashara watatu wa madini kutoka Mahenge, mkoani Morogoro, mwaka 2006. Maelezo ya Kesi Mnamo Januari...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi kesi za Mwanamke anataka mtoto asome shule ya gharama ilihali mwanaume hana uwezo, Je na nyie watu wazima wenzangu huwa zinawafikia?

    Habari za wakati huu ndugu wana Jamiiforums, Nimepokea kesi nyingi sana kutoka kwa vijana wakiume january hii, wengi wao malalamiko yako ni kuwa Wanawake/wake wanaoishi nao wanataka watoto wakasome shule za gharama (wengi ada ni 2.5M+), ilihali wao uwezo wao kiuchumi ni wastani na wakijikamua...
  7. JamiiForums Tanzania Ferdnand Ndikuriyo (Chuma cha Chuma) ahukumiwa miaka mitatu jela, na faini ya TSh. 500,000

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu raia wa Burundi, Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu 'Chuma cha Chuma', kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa faini ya TSh. 500,000 baada ya kupatikana na hatia ya kuwepo nchini Tanzania bila kuwa na kibali. Chuma cha Chuma ambaye ni msanii...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chadema wakili msomi Tundu lisu anaongoza jopo la mawakili Leo kesi ya Dr slaa

    Mwenyekiti wa Chadema wakili msomi Tundu lisu anaongoza jopo la mawakili Leo kesi ya Dr slaa
  9. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Chadema Wakili T Lissu Leo atasindikizana na wependa haki wengine kwenye kesi ya Dr Slaa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Wakili TUNDU LISSU, leo tarehe 30 Januari 2025 ataungana na WAPENDA HAKI WENGI katika KUPOKEA Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam kwenye KESI ya DKT. WILBROD SLAA dhidi ya JAMHURI.
  10. JamiiForums Tanzania Nini madhara ya Kutoonekana mahakamani katika kesi ya Ndoa?

    Wakuu heshima kwenu. Habari za jioni, poleni na majukumu (kwa wale wenye majukukumu). Naomba kufahamishwa KISHERIA kama kichwa cha uzi kimavyojieleza. Mi hivi, baada ya mgogoro wa ghafla sana (only 2 months now) na vurugu zilizofuata hapo, hatimae mke wangu ame file kesi mahakama ya mwanzo...
  11. JamiiForums Tanzania Maafisa waliomfungulia kesi Trump wafutwa kazi

    Huko Marekani hakupoi wala hakuboi. Trump kila kukicha anakuja na jipya. Wizara ya Sheria ya Marekani imewafukuza kazi zaidi ya maafisa muhimu kumi na mbili waliokuwa wakifanya kazi katika timu ya Mwendesha Mashtaka Maalum Jack Smith, iliyokuwa ikimshitaki Rais Donald Trump. Uamuzi huo...
  12. JamiiForums Tanzania Ndoto ya kuota kesi inamana gani?

    Habari zenu wadau Leo ni kwa mara pili naota watu wanataka kunipa kesi ndoto ya kwanza mwaka huu Niliota watu wanataka kunipa kesi katika mauwaji wa albino yaliyotokea wakawa wananitafuta mimi Ndoto ya pili nimeiota Leo hii Nimeota watu wananitafuta mimi wanipe kesi kwa ubadilishaji wa pesa za...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa nini Josephine Mushumbusi na mwenzake Lissu hawaonekani mahakamani katika kesi ya Dk Slaa?

    Najiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala mtoto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake. Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni kumpigia debe Lissu, lakini Lissu hajajihusisha naye hata kidogo.. May be kiapo cha useja ndio...
  14. JamiiForums Tanzania Upelelezi wapiga kalenda kesi vigogo wa CCM wanaodaiwa kumuua Katibu wa chama hicho Wilaya ya Kilolo

    Kesi ya mauaji inayowakabili viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilolo, imeahirishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iringa kwa kuwa upelelezi wake haujakamilika. Mwendesha Mashtaka, Wakili wa Serikali Sauli Makori, leo Jumanne, Januari 21, 2025, ameieleza Mahakama kuwa bado...
  15. JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Kesi ya Mwalimu wa Green Acres, Saleh Ayoub anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake kuanza kutolewa Februari 6, 2025

    Mashahidi upande wa Jamhuri katika Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi - Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake wanatarajiwa kuanza kutoa ushahidi Februari 6, 2025. Kesi hiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuomba faili la kesi mahakamani

    Kwanza kabisa natanguliza shukrani Nina kesi ya madai mahakama ya wilaya lakini kwa bahati mbaya mwisho wa kesi ikagundulika imekosewa jina la mdaiwa ikabidi isimame utekelezaji wake.sasa mimi ninataka nifungue kesi upya.Lengo la kuja hapa wadau ninaomba kujua utaratibu na jinsi ya kupata...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye kesi yoyote ya High Court /Court of appeal ambayo Tundu Lissu alisimamia kama wakili tafadhali aniwekee hapa

    Nina shida na kesi zake naomba mwenye nakala aniwekee hapa. Nimesearch kwenye TANZLII sijapata
  18. JamiiForums Tanzania Mtoto wa senator ahukumiwa kifungo

    Mtoto wa senator wa north dacota, Ian crammer amehukumiwa kifungo cha miaka 28 jela baada ya kukutwa na hatia ya kuendesha gari kwa spidi kubwa iliosababisha ajali na kuua mtu mmoja wa miaka 53 ambae ni sheriff
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Wakili kesi ya Gekul afariki dunia Desemba 24, 2024

    Wakili Joseph Masanja wa Babati Mkoani Manyara ambaye alikuwa anasimamia kesi ya Gekul amefariki dunia Desemba 24, 2024. Kupitia Korumba Lebabazi amezungumza na Wakili Peter Madereka ambaye aliwahi kufanya naye kazi marehemu enzi za uhai wake na kueleza kuwa kutokana na kifo chake wanasubiri...
  20. JamiiForums Tanzania TAWJA Chasema kuna Ongezeka la Kesi za ubakaji na ulawiti.

    CHAMA cha Majaji Wanawake Tanzania(TAWJA) kimesema kuwa kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la kesi za ubakaji na ulawiti nchini. Mwenyekiti wa TAWJA, Jaji wa Mahakama ya Rufani Barke Sehel alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…