kesi ya uhaini ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu

    Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi nje ya mahakama, mwananchi huyu alifika kufuatilia kesi ya Mh. Tundu Lissu leo. PGO inawaelekeza askari wote, kujiepusha na vitendo vyote visivyo vya kibinadamu au vyenye kushusha heshima ya mtu kwa mazingira yoyote kwani havivumiliki kwa Polisi...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu chini ya ulinzi mkali afikishwa Mahakamani

    Siku ya nne mfululizo, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam inaendelea kusikiliza mapingamizi ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, mapingamizi yaliyowekwa na mshtakiwa mwenyewe Leo, Alhamisi Septemba 11.2025 Mahakama inaendelea kusikiliza...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hoja za Lissu zina mashiko sana, hofu yangu ni Mahakama Kuu kumuachia halafu wakamkamata tena

    Kwa yeyote anayefuatilia hii kesi, atakubaliana nami kuwa Lissu amewazidi vibaya sana kwa hoja mawakili la serikali mpaka kufikia hatua ya hawa mawakili wake serikali kuiomba Mahakama itumie busara katika kufanya maamuzi badala ya sheria. Hivyo, kama Mahakama itaamua kwa uhuru, ni wazi Lissu...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 MWABUKUSI: Kesi ya uhaini ya Lissu iwe LIVE Mahakamani

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ametoa wito kwa Mahakama kuona namna ya kurejesha matangazo mubashara ya mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ili kutoa nafasi kwa umma kufuatilia kile kinachoendelea Mahakamani...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Utetezi wa tatu wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 10, 2025

    Utetezi wa tatu wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 10, 2025. Utetezi wa Siku ya Pili upo hapa: GE2025 - Utetezi wa Pili wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Ugaidi, Septemba 9, 2025 === Kesi imeanza Kasimama Wakili Nassoro...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwabukusi: Rais Samia aliniambia suala la Lissu watalishughulikia bila kuingilia utaratibu wa mahakama

    Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameahidi kushughulikia mambo mbalimbali aliyoyawasilisha kwake alipozungumza nae Ikulu Dodoma. Akijibu swali kuhusu majibu ya Rais Samia kama...
  7. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Septemba 10, 2025, Jamhuri kujibu mapingamizi

    Kesi inayomkabili Tundu Lissu inatarajiwa kuendelea tena leo Septemba 10, 2025, ikiwa ni siku ya Tatu mfululizo, ambapo upande wa Jamhuri utaendelea kujibu mapingamizi yaliyowekwa na mshtakiwa ambaye anajitetea mwenyewe. Lissu aliweka mapingamizi kiwa Mahakama Kuu aina mamlaka ya kusikiliza...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Utetezi wa Pili wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 9, 2025

    Utetezi wa Tundu Lissu kwenye kesi yake ya Uhaini, leo Septemba 9, 2025 === Leo Septemba 9, 2025 Kesi imeanza Mhe. Lissu ameingia. Katuga amesimama na kutambulisha jopo lake na mshitakiwa amesema yuko tayari. Jaji amesema naomba nitoe mrejesho wa tulianzia wapi jana na tuliishia wapi? Ametoa...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Martin: Kesi ya Lissu imehamishiwa ukumbi mdogo unaoingiza watu 60 na nafasi zimejazwa na watu tusiowafahamu

    Toka kwa martin maranja masese (X) "Leo utaratibu umebadilika Mahakama Kuu katika siku ya pili ya kesi ya uhaini Jamhuri Vs. Tundu A.M Lissu. Tofauti na jana ilivyokuwa, kesi imehamishwa kutoka ukumbi Na. 1 ambao ni ukumbi mkubwa na na kupelekwa ukumbi Na. 2 ambao unaingiza watu 60...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche alalamikia polisi 'kujazana' Mahakamani kabla Kesi ya Lissu kuanza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelalamikia kile ilichodai kuwa uwepo wa askari wanaovaa kiraia wanaojazana kwenye chumba cha Mahakama huku wananchi (makada wa CHADEMA) waliojitokeza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu afikishwa tena Mahakama Kuu leo Septemba 9, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amefikishwa tena leo katika Mahakama Kuu, kwa ajili ya usikilizwaji wa mapingamizi katika kesi ya uhaini inayomkabili. Leo Septemba 9, 2025 ni mara ya pili kwa kiongozi huyo wa CHADEMA kufikishwa mahakamani hapo, baada ya...
  12. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Nshala: Lissu awasilisha mapingamizi mawili makuu, kuna madai nyaraka zimeghushiwa

    Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Rugemeleza Nshala amesema Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu amewasilisha mapingamizi mawili Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam ikiwemo kupinga mwenendo wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Kesi ya Lissu kuahirishwa hadi Septemba 9, 2025, raia wameanza kuimba 'Rais!…Rais!…. Rais!'

    Kesi ya uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu imeahirishwa hadi kesho Septemba 9, 2025 baada ya kuomba muda zaidi kupitia nyaraka za committal proceedings. Lissu aliwasilisha hoja kuwa nyaraka alizopewa akiwa gerezani zinatofautiana na zile alizokabidhiwa leo na Mahakama Kuu...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: CHADEMA sisi si wajinga, Lissu hawezi kuhukumiwa kwa Kesi ya kutengenezwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amesema Chama hicho hakitokubali kuona Mwenyekiti wao Tundu Lissu anahukumiwa kwa kesi za kutengenezwa. Heche ameyasema hayo leo Septemba 8 baada ya kuahirishwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili Lissu ambaye tayari leo...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Najitetea mwenyewe sababu kesi hii ni Mtihani mkubwa kwa mfumo wetu wa kisheria

    Anaanza Mh. Lissu kusema anasema nawashukuru Majaji kwa kunipatia Mawakili. Pamoja na kwamba mimi sikumuomba na simfahamu wakili Neema Saruni alikuja mwenyewe kuniona kwenye gereza la Ukonga alijitambulisha na kuniambia yeye ndio amepewa hilo jukumu. Nilifurahi kwa yeye kufanya hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu amkataa Pro Bono aliyepatiwa na Mahakama Kuu, aamua kuendelea kujitetea mwenyewe

    Mahakama Kuu imempatia wakili (Pro Bono) Tundu Lissu, ambaye alikwenda gerezani kuzungumza naye. TAL amemkataa wakili huyo akisema anataka kujitetea mwenyewe kwa kuwa maneno yanayotajwa kuwa ni uhaini aliyasema mwenyewe. Hata hivyo, wapo mawakili zaidi ya 30 tayari kumtetea.
  17. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu afikishwa Mahakama Kuu kwa mara ya kwanza leo Septemba 8, 2025 kujibu kesi ya uhaini

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo Septemba 8, 2025 anafikishwa katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya kesi ya uhaini inayomkabili, kwa ajili ya usikilizwaji wa awali (preliminary hearing - PH). Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya uhaini ya Lissu kusikilizwa Mahakama Kuu, Septemba 8, 2025

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chma cha Demorasia na Maendeleo (CHADEMA)Taifa, Tundu Lissu, imepangwa kusikilizwa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, Septemba 8, 2025 katika hatua ya kusoma hoja za awali. Taarifa hiyo, iliyotolewa na Wakili Gaston Shundo Garubindi...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri: Lissu amjumuishe Mwanasheria Pasco Mayala katika timu yake ya uangalizi wa kisheria, ni mzoefu wa siasa na sheria

    Nashauri Lissu amjumuishe Pasco Mayala ili awe ana-watch brief katika kesi ya uhaini. Kwa kuwa kesi inahusisha mwanasiasa na Mayala(manjaa) ni mwandishi wa muda mrefu wa masuala ya siasa na sheria. Atakuwa msaada mkubwa
  20. JamiiForums Tanzania Hakimu na mawakili wa serikali mnajua kuwa hata mkiweka mashaidi wa uwongo, mkaendesha kesi kwa mtindo wa Hovyo bado nyie mnafamilia zinafahamika

    Hii kesi kama ingelikuwa kipindi kile cha mbowe na kesi ya kupewa ugaidi tuliona mashaidi na hakuna aliyekuwa na mada nao hata leo ukiniuliza hakimu aliyesimamia ile kesi itabidi kutafuta sura yake sababu ilikwenda japo kwa maagizo ya upande wapili. Sasa upande wenu kama wakili mmoja wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…