kesi ya ugaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KUMBUKIZI: Ahmed Khalfan Ghailani mtanzania wa kwanza kufungwa gereza la guantanamo kwa kesi ya ugaidi

    Mwamba aliazaliwa Machi 14 mwaka 1974 ni Mtanzania aliyekuwa na kesi ya kushiriki kwenye tukio la kigaidi la al-Qaeda aliyehukumiwa kwa jukumu lake kubwa katika ulipuaji wa balozi nchini Kenya na Tanzania. Alishtakiwa nchini Merika kama mshiriki katika milipuko ya mabomu ya ubalozi wa marekani...
  2. Serikali itumie njia hii kuwakamata hawa wahuni

    Kuna fedha zinaonekana mitandaoni zinatrend. Mtu mmoja akiwa na akili zake zilizonajisiwa na Ibilisi ameziandika noti hizi . Lengo lake kuhamasisha vurugu na kukataa utulivu. Ok, tuseme hakukusudia kuleta vurugu. Huyu mtu ana kosa la kuiharibu na kuipotezea hadhi fedha ya Tanzania. Hii fedha...
  3. Kutoka Kwa Maria : Wale Masheikh wa Zanzibar waliokuwa na kesi ya Ugaidi wakaachiwa na Samia, Mmoja wao ni huyu wa katikati akiua Watanganyika

    Mnakumbuka Kuna Masheikh wa kizanzibar walikua wakiongoza Kundi la Kigaidi na kupata Ufadhili kutoka Nchi za Waarabu hususani Oman , MAGUFULI AKAWAFUMULIA MTANDAO WAO WOTE. Sasa hivi Karibuni Samia aliwaachia, Kumbe waliachiwa Kwa kazi maalumu ya UCHAGUZI MKUU. Hawa hapa Masheikh wa Zanzibar...
  4. Kosa Vyote ila Sio Akili. Wauaji wanataka Kuwapa Kesi ya Ugaidi Viongozi wa CHADEMA, Mtaupata huo Ugaidi mnaoutaka !!

    Unaweza jiuliza ,Hawa Pimbi vichwani mwao wamejaza matope au nn ?? Yaaan Huko CCM hamna Mmoja mwenye Akili ya kushauri??. Even a corrupted TISS , JWTZ, Polisi , hamna mwenye Akili hata Mmoja awaambie 'Huo ni motoooo kwenye Petroli?'. Haya majamaa ni Majinga mpaka unaweza kuyaonea Huruma...
  5. M

    Freeman Mbowe kumbuka Wanachadema walienda kanisani kumlilia Mungu uachiwe kwenye kesi ya Ugaidi

    Ndugu Freeman Mbowe, kumbuka kwa miaka takriban 20 ulikuwa kwenye familia inayokupenda, kukuheshimu na hata wengine kuwa tayari kuyatoa maisha yao kwa ajili yako na uongozi wako. Ulipotuhumiwa kwa makosa mabaya kabisa ya kuuza madawa ya kulevya na Ugaidi ni wanachadema waliopambana kukutetea na...
  6. PreGE2025 Masheikh 12 waliochiwa na mahakama kutokana na tuhuma za ugaidi Machi 4 wakamatwa tena na kurudishwa gerezani!

    Wakuu, mambo yameamka huku ==== Jana Machi 4, 2025 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam chini ya Jaji Kirekiano iliwaachia huru MASHEIKH 12, walio kaa gerezani miaka 10, kwa tuhuma za Ugaidi. Baada ya hukumu hiyo Shura ya Maimamu Tanzania ilitoa taarifa ya kuachiwa huru Masheikh hao. Wakati...
  7. Utawala wa Trump wautaja tena waasi wa Houthi kuwa "shirika la kigaidi la kigeni"

    Pesa ya kujenga nchi waliyoiharibu wenyewe hawana ila ya kurusha makombora kwenda Israel na USA wanayo. MATAPELI! ============= Wizara ya Mambo ya Nje siku ya Jumanne ilirejesha tena hadhi ya "shirika la kigaidi la kigeni" kwa kundi la Houthi linaloungwa mkono na Iran nchini Yemen, ikitimiza...
  8. Alphonce Lusako: Nimenusurika kutekwa kwa madai ya kuwa Gaidi, sasa namuachia Mungu suala la usalama wangu

    NIPO SALAMA ndugu zangu Baada ya TUKIO la KUWATOROKA Waliojiita POLISI, Pale Landmark Hotel, Ubungo, Dar es salaam. "Kama Magaidi Wanakamatwa kwa namna ile, Nadhani kuna shida kubwa kwa Vyombo Vyetu Vya dola. NITAELEZA kwa kina but in brief Nikiwa na Kikao Kazi Landmark Hotel,Ubungo,Walikuja...
  9. Kahama: Bertha Mabula adai polisi kutaka kumbambikia kesi ya ugaidi kutaka kulipua Mahakama Kuu

    Bertha Mabula amesema anahofia usalama wake kwa madai ya kubaini Polisi Mjini Kahama wanataka kumbambikia kesi ya ugaidi wakidai alitaka kulipua Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga wakati akifuatilia mwenendo wa shauri lake kwa ajili ya kukata rufani. Bertha amedai alifika Mahakama Kuu kwa ajili ya...
  10. R

    Je, ni kweli Hayati Magufuli alihusika katika kuandaa kesi ya ugaidi ya Mbowe? Ilikuwa kwa lengo lipi?

    Habari JF, binafsi huwa nakuwa na shaka sana na upinzani wa Mwenyekiti wangu Mbowe. Kuna muda huwa napata mawazo ni mtu aliyewekwa kimkakati kuhakikisha CCM haitoki madarakani. Nimekaa nimejiuliza sana, je, Kesi ya Mbowe ilianza kusikilizwa kwa benefits au faida kwa Awamu ya Tano au Sita au...
  11. Je, DPP atalazimika kuiondoa Kesi ya akina Halima Mdee kama alivyofanya kwenye Kesi ya ugaidi ya Mbowe?

    Kwa namna ya hili sakata la Hawa wanaojiita wabunge wa viti maalum, kupitia chama kilichowavua uanachama wao cha Chadema na namna Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson, anavyojaribu kuendelea kuwakumbatia hao akina Halima Mdee, naziona dalili zote za kutokea kile kilichotokea kwenye ile Kesi ya...
  12. Nashauri litengenezwe jarida la yote yaliyozungumzwa Mahakamani Kwenye Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na Wenzake

    Habarini, Nashauri Viongozi wa Chadema kwamba. Kwa kuwa waliruhusiwa kurekodi yote yaliyokuwa yanazungumzwa kwenye kesi hiyo. (Nimedokezwa na jamaa zangu wa State Attorney kwamba hii ndio iliyowafanya wakimbie kesi kwani uongo wao mwingi uliwekwa hadharani). Nashauri Uongozi wa Chadema au mtu...
  13. Vitu vikubwa vitatu vilivyosababisha kesi ya ugaidi ifutwe na DPP

    Achana na ajabu la kesi ya ugaidi kufutwa! Kuna vitu havitokei bahati mbaya ama kwa mara moja. Kila kitu kina mchakato wake. Mipango na utekelezaji Kesi ya ugaidi iliyokuwa ikimkabili mwenyekiti Taifa wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu imefutwa na washtakiwa wote wameachiwa huru kwa...
  14. H

    Kesi ya Mbowe na wenzake, Serikali isitese watu bila sababu

    Hatuingilii mwenendo wa Mahakama lakini kuna mambo yapo dhahiri ambayo, laiti kama Jaji angekuwa makini, Mawakili wa Serikali wasingekuwa wanaichezea Mahakama kama wanavyofanya. Mathalani, leo mawakili wa Serikali wanasema eti shahidi hawezi kuendelea na kuhojiwa kwa sababu ameshauriwa na...
  15. Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

    Habari Wakuu, Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na...
  16. Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Habari Wakuu, Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake Jan 27, 2022...
  17. Mtwara: Mjomba wa mfanyabiashara aliyeuawa adai alitishiwa kupewa kesi ya ugaidi endapo ataendelea kufuatilia suala la mpwa wake

    SIKU moja baada ya kuenea taarifa ya kuuawa kwa mfanyabiashara wa madini, Musa Hamis, anayedaiwa kuuawa na askari wa Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mtwara, mmoja wa ndugu wa marehemu amedai wakati akifuatilia suala hilo alitakiwa akae kimya au angepewa kesi ya ugaidi. Mjomba wa marehemu, Salum...
  18. Mfululizo wa Kesi ya Ugaidi iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu

    Historia ya kesi ya Mbowe na Wenzake Freeman Akamatwa Mwanza 21Julai 2021 Mnamo tarehe 21 Julai mwaka 2021, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza lilimtia nguvuni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwa hoteli ya Kingdom mtaa wa Ghana alikokifikia, alipokuwa ameenda kwenye ziara za shughuli za chama chao...
  19. Hivi Rais Samia anashikwa na "kigugumizi" gani kutoamuru Kesi ya Ugaidi inayowakabili kina Mbowe ifutwe bila masharti yoyote?

    Ni dhahiri sasa kwa kila anayeifuatilia Kesi ya ugaidi ya kina Mbowe, ameshabaini kuwa hiyo Kesi ni ya michongo na mashahidi wanaoletwa hapo mahakamani pia ni wa michongo! Hivi unawatuhumu watu kwa ugaidi, halafu kila shahidi anayetoa ushahidi hapo mahakamani anaonekana kuwa amepangiwa ya...
  20. Yaliyojiri katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake tarehe21/01/2021. Kesi imeahirishwa hadi 24/ 01/ 2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 21/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. Kujua kesi ilipoishia soma: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake leo 20/01/2022. Shahidi 10 amaliza, shahidi wa 11 mwingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…