kesho

Kesho Yvonne Scott (born 1953) is associate professor of American Studies and Sociology at Grinnell College. Scott received her M.A. in political sociology at the University of Detroit and received her Ph.D. in American Studies from the University of Iowa in 1988. After receiving her doctoral degree she became Distinguished American Studies Scholar in Residence at Pennsylvania State University in Harrisburg (1989), visiting professor at Nanjing University in China (1994), and Fulbright visiting professor at Addis Ababa University in Ethiopia (2001–2002). Scott's interests include black women in America, multiculturalism, and unlearning racism.
She is the first African-American woman to receive tenure at Grinnell.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkatoliki kesho wahi Misa Takatifu ya Asubuhi kuanza vema mfungo kwa ajili ya Haki na Amani ya Nchi yetu

    Tumsifu Yesu Kristu Mkatoliki mwenzangu kanisa linaongozwa na utii Kesho Misa ya Asubuhi...tolea ombi hili tuu...Mungu Aliangazie taifa letu Haki na Amani Azichome roho na mioyo ya wote wanao gandamiza haki na kupoteza au kuweka amani yetu rehani...awachome kwa moto mkali wa Mungu Roho...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba hawakumwelewa Ahmed Ally alipowaambia kesho ni mechi ya mwisho Simba kucheza nyumbani na Kagera Sugar, alimaanisha hivi

    Washabiki wa soka nchini ni mtihani mkubwa sana, wana uelewa mdogo sana wa mambo, juzi Ahmed Ally amewaambia washabiki wajazane na familia zao kuwaaga wachezaji kwa sababu itakuwa mechi ya mwisho kwao kucheza nyumbani, wengi wametafsiri kauli hii kuwa Simba inamaliza mechi kesho.La hasha...
  3. JamiiForums Tanzania Kesho yetu ni fumbo kubwa

    PICHA HII ILIPIGWA JANUARY MWAKA 2010. ,, Wa kwanza kulia (waliokaa) ni Prof.Idris Mtulia, aliyekua Mbunge wa Rufiji. Anayemfuatia ni Prof.Mark Mwandosya wakati huo akiwa Waziri wa maji na umwagiliaji. Anayemfuatia ni aliyekua mkuu wa wilaya hiyo Bw. Kassim Majaliwa. Prof.Mwandosya akiwa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania TFF,bodi ya ligi na TAKUKURU kesho kuweni makini na upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma

    Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4. Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+. Msemaji wa Dodoma Jiji...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Gwajima: Someni ujumbe wa Alberto Msando DC wa Ubungo, muwe makini kesho

    Ameandika kwa lugha ya kilatini na kingereza. Alberto ndie kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama mahal pale yalipo makao makuu ya taasis/kanisa lenu
  6. JamiiForums Tanzania Kesho tujitokeze kwa wingi kutazama mazoezi ya club yetu

    Ndugu wanaSimba, Kesho hakutakuwa na mabaunsa, tujitokeze kutazama mazoezi ya timu yetu kujiandaa na mchezo tarehe 15 June 2025. Dj sinyorita atakuwepo.
  7. JamiiForums Tanzania Ukiwa boss, usilewe na suti. Kesho ni jana ya keshokutwa yenye majuto na gharika

    Siku nikiwa boss, nitakumbuka kuwa watu wana maisha nje ya ofisi, nitajua kuwa mfanyakazi mwenye huzuni hawezi kutoa furaha kazini. Siku nikiwa boss, sitaamini kuwa vitisho huongeza tija, badala yake, nitawaongoza kwa kuhamasisha na kusikiliza. Siku nikiwa boss, nitajenga mazingira ya kazi...
  8. JamiiForums Tanzania Askofu Mwanamapinduzi wa kanisa la Ufufuo na uzima afafanua mwanzo mwisho kanisa kufungiwa. Kesi imesikilizwa, Hukumu ni kesho J'4. DPP atajwa

    https://youtu.be/WKvWtoKpLJs?si=ZqVSuExXQMtxQOv2 √ Huyu ni mmoja wa maaskofu walio chini ya Askofu mkuu wa kanisa la Jumba la Ufufuo na Uzima chini ya usajili wa Glory Christ Tanzania Church (GCTC) Mch Josephat Mathias Gwajima Anasema: 1. Kanisa halikuwahi kupewa notice au onyo au hata nafasi...
  9. JamiiForums Tanzania Msomi huyu ameduwaa kusikia kwamba huoni haja ya kwenda Kanisani kesho Jumapili

    I’m really perplexed—how can any rational soul, endowed with both reason and revelation, deliberately choose domestic repose over the divine encounter that tomorrow’s sacred Sunday demands? What curious apathy, what spiritual amnesia, compels one to ignore the sacred rhythm of worship appointed...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa wapenda mpira kipindi mnangoja bonanza la trh 15 uefa wanakupa bidhaa Bora kabisa kesho

    Mpira ulizaliwa ulaya na umeendelea kutunzwa na kuhifadhiwa na wazungu wenyewe huku wakiangalia vituko na maigizo kutoka pande zingine za dunia Hapo kesho Portugal ya Ronaldo itataka kumpa heshima huyu mwamba wa soka pale watakapopambana na Spain iliyo mabegani kwa kijana mdogo Lamin Yamal...
  11. JamiiForums Tanzania Kesho Karibun EID Nyumban.

    Kesho Karibun EID Nyumban.
  12. JamiiForums Tanzania Vichwa vya Habari Vya Magazeti hapo Kesho

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Mwananchi "Furahisha yamfurahisha ndugu BENSON MASALA MAKALI SINGO KIGAILA" NIPASHE "Oparesheni C4C (CHAKA FOR CHAKA) Yaanza Kwa Kishindo Jijini Mwanza" MWANAHALISI "Mrema na wenzie waambulia aibu katika Viwanja vya Furahisha" MAJIRA...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Abbas: Ukweli kufuniliwa kesho kanisani

    Watu wanaalikwa kanisani kwa Gwajima kuujua ukweli kuhusu elimu ya ABBAS. Mwana kulitafuta, mwana kulipana. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nacheka, lakini naogopa
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kesho tarehe 01.06.2025 ni siku ya jumapili, je, tujiandae kwenda kanisa la ufufuo na uzima kuona dude likiamshwa au hakuna kitu?

    Naomba majibu
  15. JamiiForums Tanzania Andaa kesho yako, leo muda si rafiki sana

    Miaka ya nyuma akili yangu iliwaza kwamba tajiri ni mtu mwenye fedha za kutosha na sikuwahi kuwaza kwamba tajiri mbali na kuwa fedha ila anaongozwa na umiliki wa asset za kutosha. Tajiri anayemiliki ardhi ya kutosha na ndani yake akaweka mazao ya muda mrefu Hadi kuvuna ni tajiri mwenye maono...
  16. JamiiForums Tanzania Kesho nitatoa mfano wa jinsi gani ambavyo ingepaswa Gwajima ajibiwe

    Nimeona watu wakijibu hoja za Gwajima kwa mihemuko bila kuja na hoja kinzani ukilinganisha na Gwaji boy. Nahitaji maandalizi na sio kukurupuka, jamaa amepiga kwenye mshono, tukubali tusikubali.
  17. JamiiForums Tanzania This is a fact of life: Maisha ni fumbo gumu. Ishi leo yako ukiwa hapo, ipo kesho utakuwa mahali pengine. Amri moja nawaachia - Pendaneni..!!

    PICHA HII ILIPGWA JANUARI MWAKA 2010. UNAIKUMBUKA...? Wa kwanza kulia (waliokaa) ni Prof.Idris Mtulia, aliyekua Mbunge wa Rufiji. Anayemfuatia ni Prof.Mark Mwandosya wakati huo akiwa Waziri wa maji na umwagiliaji. Anayemfuatia ni aliyekua mkuu wa wilaya hiyo Bw.Kassim Majaliwa...
  18. JamiiForums Tanzania Busara za hakimu aliyeruhusu DSM yote kesho kuhamia Kisutu zitajulikana kesho

    Kuna sheria na kuna busara. Sheria tunazitunga sisi wenyewe kupitia wawakilishi wetu bungeni ambao wengi wao ni wa darasa la saba kama sisi. Busara ni kitu ambacho mtu hupewa na Muumba wake (Mungu). Wapo waliopewa busara nyingi na wapo waliopewa busara kiduchu. Yote ni kwa mapenzi yake Mungu...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniphace Jacob (Boni Yai) ajiapiza kusema yote kesho Jumapili Mei 18

    MBINGU ZIMENIRUHUSU KUSEMA Baada ya kimya cha muda mrefu, hatimaye ibada ya Sabato ya leo nimesikia sauti ya ujumbe wa Mungu ikisema; "Fili mi loqui ad salvandum populum meum" (Mwanangu zungumza watu wangu wapone..) Hivyo kesho, Jumapili, saa 6 :00 mchana, natarajia kuzungumza na viongozi wa...
  20. JamiiForums Tanzania SIKU YA KESHO TUFUNGE KUIOMBEA SIMBA IFUNGWE MAGOLI MENGI MOROCO

    HABARINI ZA UZIMA WANA UBAYA UMWELA KESHO TUTAKUW NA MFUNGO MAALUM KUANZIA ASBH MIN MASAA SABA MAX 12 UNAWEZA LENGO KUU BERKANE ASHINDE KWA MAGOLI MENGI KULE.MOROCO TTUIMBEEEE MAGOLI YA BERKANE YAWE MENGI WAKIRUDI WAFUNGWE KWA MKAPA MAGOLI MENGI YA KUTOSHA BERKANE AWE BINGWAAA OMBI MAALUM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…