kesho

Kesho Yvonne Scott (born 1953) is associate professor of American Studies and Sociology at Grinnell College. Scott received her M.A. in political sociology at the University of Detroit and received her Ph.D. in American Studies from the University of Iowa in 1988. After receiving her doctoral degree she became Distinguished American Studies Scholar in Residence at Pennsylvania State University in Harrisburg (1989), visiting professor at Nanjing University in China (1994), and Fulbright visiting professor at Addis Ababa University in Ethiopia (2001–2002). Scott's interests include black women in America, multiculturalism, and unlearning racism.
She is the first African-American woman to receive tenure at Grinnell.

View More On Wikipedia.org
  1. Rwanda yatangaza kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri Mei 13, 2021

    Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa kesho ni siku ya mapumziko baada ya Usharika wa Waislamu nchini humo kutangaza kuwa kesho Mei 13, 2021 ni Eid El Fitri Tangazo hilo lililotolewa na Wizara ya Utumishi wa Umma na Kazi limeeleza bayana kuwa kesho ni siku ya mapumziko kwa Watumishi wote wa Umma...
  2. J

    Basi la Bawacha kuondoka Geita kesho kuelekea bungeni Dodoma kuwang'oa akina Halima Mdee na wenzake

    Msafara wa Bawacha unatarajiwa kuondoka Geita kesho asubuhi kuelekea bungeni Dodoma kumshinikiza Spika Ndugai awatimue bungeni akina Halima Mdee na wenzake. Ni msafara wa mabasi kadhaa ambapo mengine yataunga msafara njiani kama Kahama, Nzega na Singida huku Husna Said wa Chato akiongoza...
  3. Natabiri: Mechi ya Derby kesho kuna vurugu itatokea

    Waasalaaaam Jf Kichwa cha thread hii chajieleza. Natabiri kuwa kuna timu kesho wakati wa mechi ya watani itazua vurugu . Kuna mtani mmoja atacheza rafu sana, nyingine zitapelekea kusababisha penati na hivyo kubugizwa goli za kutosha kwa sababu ya panic na baada ya mtani huyo kubugia goli za...
  4. Kidato cha sita kuanza mitihani ya taifa kesho

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza kuanza kwa mitihani ya taifa ya kidato cha sita na ya ualimu inayotarajiwa kuanza kesho Mei 3, 2021. Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Charles Msonde amesema jumla ya watahiniwa 90,025 wamesajiliwa kufanya mtihani wa kidato cha sita ambapo kati ya...
  5. J

    Lazaro Nyalandu ataongea na Watanzania kesho kuelezea udhaifu wa Upinzani kupitia kipindi cha Clouds 360

    Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds. Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na...
  6. Wizara husika ya Habari na MCT je, Kichwa cha Habari hiki cha 'Kihuni' katika Gazeti la Yanga SC toleo la leo Jumamosi mmekibariki?

    Kichwa cha Habari ni hiki.... YANGA YAMBAKA MUME WA SIMBA Najua Simba na Yanga ni Watani wa Jadi ila sidhani kama katika Tasnia ya Habari Lugha hii ya 'Kihuni' na 'Udhalilishaji' inakubalika. Na kama GENTAMYCINE nitajibiwa kuwa ni Lugha njema tu hiyo basi nitaiomba Wizara husika na MCT...
  7. Kesho Mei Mosi ngonjera za kupandisha madaraja watumishi elfu 90 ndizo zitakazotawala, hamna jipya

    Habari za asubuhi wananchi! Kesho Mei Mosi, sikukuu ya wafanyakazi duniani na Tanzania pia. Wafanyakazi wanasubiri kauli ya Rais ili wapate kujua hatma yao. Ngoja niwaambie jambo. Kiki itatafutwa kwenye kipengele cha madaraja mapya kwa watumishi zaidi ya elfu 90. Kama mtamshangilia sana basi...
  8. Kuelekea Mechi yake na Prisons FC Kombe la FA Kesho hofu yatanda Kikosini baaada ya Wachezaji hawa muhimu Kukosekana

    1. Tonombe Mukoko 2. Feisal Salum 3. Michael Sarpong Kwa Mtu wa Mpira na aliyeifuatilia Yanga SC 95% ya Ushindi wake ( hasa katika Mechi zake ngumu na za Kimaamuzi ) ni kutoka kwa Wachezaji hawa Waandamizi niluowataja hapa Juu. Kama 'Clip' ya Prisons FC niliyonayo ndivyo ambavyo watafanya...
  9. Dodoma: Kesho ndiyo kesho, Mama Samia anakalia kiti chamani. Wanaopanga kumkwamisha tumejipanga kuwakwamisha

    Niko hapa Dodoma kwa majuma kadhaa sasa. Niko kwa kazi maalum ya kichama: kuhakikisha bila kutisha kuwa Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anakuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa. Baada ya kumrithi Urais Magufuli, umefika wakati wa kumrithi pia Uenyekiti wa CCM. Kwa...
  10. Wapo wapi? Ama kweli jana sio leo na leo sio kesho

    WAPO WAPI? KWELI JANA SIO LEO; NA LEO SIO KESHO Kwa Mkono wa, Robert Heriel Maisha yanahitaji upendo. Ukijifanya mjanja subiri wakati wako maisha yatakapokufanya Mpumbavu Yajana yanachekesha lakini pia yanaumiza. Lumaanisha ya leo wapo wanaoumia na kucheka lakini kesho itakuwa kinyume chake...
  11. Audio: Mahojiano yangu ya Radio Inland, Dunia yetu, Matarajio ya hotuba ya Rais kesho

    Mahojiano yangu ya Radio Inland, Idhaa ya Kiswahili kuhusu Hotuba ya Rais Kesho na matarajio. Na Yericko Nyerere
  12. J

    Unafuu wa watumishi wa Umma kujulikana pindi Bajeti ya Wizara hiyo ukisoma Bungeni

    Watumishi wa umma kesho wanasubiri kwa hamu kusomwa kwa bajeti ya Wizara yao Chini ya Rais wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassan. Maswali ya kujiuguza je Kilio cha muda mrefu cha Watumishi wa Umma juu ya kupandishwa kwa madaraja, Kulipwa malimbikizio ya madai yao ya nyuma yatapata ufumbuzi...
  13. J

    Kesho najiunga CCM kwa sababu zifuatazo

    Ni miaka mingi imepita takribani 20 sikuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchi japo nilikuwa upande wa wale wanaokandamizwa na kuonewa katika tafakuri ndani ya kichwa change nimeona ni jiunge rasmi na Chama tawala kwa awamu hii ya sita kwa sababu zifuatazo. 1. Awamu ya...
  14. U

    Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

    Kongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma. Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
  15. X Girl friend kaomba tuonane kesho the whole day

    My Ex kaniomba sana kesho tuonane tu spend muda wakutosha kwa gharama zake mwenyewe. Amesema yuko so much stressed with her love affairs hivyo anataka nimshauri. Mimi kwa sasa nimeshaoa tangu tuachane four years back na sitaki kabisa mambo ya ku cheat. Unahisi atakuwa anataka kuongea tu au na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…