kesho

Kesho Yvonne Scott (born 1953) is associate professor of American Studies and Sociology at Grinnell College. Scott received her M.A. in political sociology at the University of Detroit and received her Ph.D. in American Studies from the University of Iowa in 1988. After receiving her doctoral degree she became Distinguished American Studies Scholar in Residence at Pennsylvania State University in Harrisburg (1989), visiting professor at Nanjing University in China (1994), and Fulbright visiting professor at Addis Ababa University in Ethiopia (2001–2002). Scott's interests include black women in America, multiculturalism, and unlearning racism.
She is the first African-American woman to receive tenure at Grinnell.

View More On Wikipedia.org
  1. Tabiri yatakayotokea Mei Mosi 2024 Arusha

    Wanajamii habari za majukumu: Kesho jumatano ya tarehe 01-05-2024 pale Arusha katika viwanja vya sheikh Abeid Amani Karume kutafanyika Sherehe za wafanyakazi Wote wa Umma na binafsi. Sector zote. Kama ilivyo Ada Mgeni rasmi ni Mwajili mkuu wa SERIKALI Mh. Dr. Samia Suluhu Hasani, Raisi wa...
  2. S

    Wafanyakazi wa viwandani angalau kesho lisemwe neno juu yao nao ni watanzania wenzetu

    Naandika haya kwa hisia nyingi sana baada ya kupita pita huko na huko kutafuta riziki maana imeandikwa asiye fanya kazi na asile. Mwaka fulani nilishawahi kujikuta naangia huko viwandani kutafuta chochote kitu kusema ukweli ukiacha hawa waliajiriwa viwandani kuna hili kundi linaloitwa vibarua...
  3. J

    Maonyesho ya teknolojia za kisasa kwenye kilimo kuanza Aprili 30 Dodoma

    MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KWENYE KILIMO KUANZA KESHO DODOMA 30 APRIL, 2024 Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge. Maonesho hayo yenye...
  4. A-Z yatikisa maonyesho mahala pa kazi Biteko kuzindua kesho rasmi Arusha

    Mwenyekiti wa bodi ya wakala wa usalama na afya mahali pa kazi Adelhelm James Meru ametembelea maonyesho ya mabanda katika viwanja vya General teyre Jijini Arusha kukagua mabanda pamoja na kujionea majukumu ya utekelezaji wa vifaa vinavyo tumika mahala pakazi kwa tahasisi mbali mbali za...
  5. Simba Vs Yanga kutoa Sare 1-1 kesho April 20, 2024

    Kitawaka kesho wakati miamba miwili ya Soka la Tanzania Simba watakiwasha Dhidi ya Yanga. Mchezo ukipita ulimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi mnono, lakini hiyo kesho tutarajie mchezo huo kukamilika kwa Sare hasa sare ya goli moja kwa Moja
  6. Aliyekuambia Kesho kuna 'Droo' nani? Kudadaeki Kesho linakufa Jitu kwa Mkapa na tusikiambiane tu hapa JF sawa?

    Asanteni sana Wazee wa Kikwajuni Zanzibar hakika safari hii mmeamua kwani haiwezekani tukose vyote kwa 2024 sawa? Dr Matola PhD na Bujibuji Simba Nyamaume mpo? Kesho sitaki kabisa mkosekane hapa Jamvini JF kuanzia Usiku sawa?
  7. Kwa hali ya hewa jijini simba anashinda mechi ya kesho tarehe 20.4.2024

    Wasalam Kwa jinsi mvua inavyochapa hapa mjini Wanasimba tuanze kabisa kushangilia kuwa kesho tunapata ushindi na kufufua matumaini yetu ya kuwa mabingwa msimu huu Historia inaonyesha Simba anajua kucheza na kipindi cha mvua na huwa anaifunga timu ya Yanga KESHO ANAKUFA MTU.
  8. Maombi ya kuahirishiwa ziara ya Rais Samia inayotazamiwa kuanza nchini Uturuki

    Wanabodi heshima kwenu wakuu! Nimesoma kwenye gazeti la mwananchi toleo la leo 16/04/2024 ukurasa wa 17, kuwa RAIS DR SAMIA atafanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kwa mda wa siku 5 kuanzia tarehe 17/04/2024 Naomba nitoe maoni yangu binafsi juu ya hii ziara, kwa kuikumbusha tu taasisi ya Rais...
  9. B

    TAMISEMI kuwasilisha bajeti yake bungeni kesho 16/04/2024

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa kesho Jumanne Aprili 16, 2024 atawasilisha Hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2024/25. Hii ni Wizara ya Wananchi, basi kesho Watanzania wote...
  10. Mwanariadha Gabriel Gerald Geay kukiwasha kesho Boston Marathon, Marekani

    Mwanariadha wa Kimatataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay anatarajiwa kukimbia kesho mashindano Makubwa ya Boston Marathon nchini Marekani, tukukumbuke Mwaka Jana alikimbia na kuwa mshindi wa pili 2:06:04 huku Evans Chebet kutoka Kenya akimshinda kwa 2:05:54. Kesho, Tena wanaingia dimbani...
  11. Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash ambayo utasikiliza kwa siku tano hujamaliza

    Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash. Ukiplay playlist nzima utasikiliza kwa siku tano hujamaliza. Sifa ya Playlist Ni nyimbo zote nzuri sana pengine hujawahi kusikiliza. Kwakweli utaburudika utaabudu kufurahi na kupata amani ya moyo wako. Piga hii namba...
  12. P

    Wafanyabiashara kuneemeka kesho

    Kwa hali ilivyo kesho ni siku nzuri sana kwa wafanyabiashara au watoa huduma katika sehemu zufuatazo. 1. Wasafirisha hasa bodaboda hapa watatowa watu sehemu moja kwenda nyingine sana hasa kuanzia nyakati za jioni. 2. Kumbi za starehe, hapa watu watakuwa wakipongezana na kubadilisha mawazo. 3...
  13. Mufti athibitisha kuandama kwa mwezi Eid kesho, kesho April 10,2024

    Watu tumeshajikoki tayari kufinya cha mtume, hao bakwata bado tu wanajimumunya? --- Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Ally amethibitisha kuandama kwa mwezi leo April 09,2024 ambapo amesema kesho April 10,2024 ni Sikukuu ya Eid Al Fitr. “Leo April 09,2024 nimepokea taarifa...
  14. Naombeni mwaliko wa kesho

    Naombeni mwaliko kwenye sherehee ya IDDI . Unique Flower .
  15. Kesho ni sikukuu?

    Aliyeko karibu na Mufti tusaidieni kumuuliza kama kesho ni sikukuu. Confirmed kesho ni Eid
  16. Uzi maalum wa kupeana faraja hasa tuishio mbali na familia zetu. Tukitafuta Maisha ya kesho

    Habari wanajf. Binafsi Niko visiwa vya Haiti Marekani ya kaskazini. Kiujumla Maisha ndio yalinifanya nikafika huku, kwa sikuwahi kuwaza kuwa ntavuka visiwa vyetu vya Tanzania Yaani Pemba na Unguja. WATU WA HUKU(WAHAITI) Watu wa huku ni weusi ti Kama sisi huwezi kutofautisha na wasukuma...
  17. Nini kesho ya mbuga ya Selous?

    'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?' Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa...
  18. Unasikiaga wanasema hakuna aijuaye kesho, si kweli. Nioneshe hivi vitu vitatu na mimi nitakuonesha kesho yako

    1. Nioneshe vitu unafuatilia mara nyingi mitandaoni au page unazo-follow (Insta, Facebook, WhasApp, TikTok n.k.) 2. Nioneshe marafiki zako angalau watano tu. 3. Nioneshe ratiba yako ndani masaa 24 ya siku
  19. Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania. Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World. Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo...
  20. Kauli zitakazotamba kesho baada ya mechi na Yanga CCL

    1.Hawa Simba wamoto sana.This time kombe wapewe mapema. 2.Nilijua tu Mamelod hawezi kutolewa na UTO. 3.Huyu Kibu karogwa siyo bure. 4.Viongozi hawajali hisia za mashabiki. Tutachekwa mpaka lini? Ongeza yako....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…