kero

  1. JamiiForums Tanzania NMB Mbagala wana huduma mbovu

    NMB Mbagala, Poor service mtu unasimama kwenye foleni zaidi ya Lisaaa limoja teller mmoja, Vyumba vingine hakuna huduma, Sasa manager sijui hii resources ya staff anaitumiaje, nyingine Closed, Uchumi utakuwa kweli kwa namna hii? Just pissed……
  2. JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Tabata Kimanga irekebishwe

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri wa Muungano...! Wanaohusika na ukarabati wa barabara ya Kimanga, hasa kipande cha kuanzia Bima hadi Mawenzi wawajibike tafadhali, au mnasubiri mpaka madereva wagome kuketa magari huku?? Au ndio chambo ya uchaguzi wa mwakani??
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watumishi wilaya ya Momba tumechoka kunyanyaswa na Mwenyekiti wa Halmashauri

    Habari wakuu, Inasikitisha sana kuona kiongozi wetu badala awe mstari wa mbele kuwajali na kushirikiana na watumishi, yeye amekuwa ndio mtu wa kuwavunja ari, moyo, kukatisha tamaa na zaidi amekuwa ni mtu anayeongoza kutegeneza migogoro hali inayopelekea kuharibu upelekaji na utoaji wa huduma...
  4. JamiiForums Tanzania KERO Wauza viwanja na speaker mnazoweka barabarani mnasababisha kero au Noise pollution

    Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe. Imefika pahala kila kona ukipita unasikia matangazo ya viwanja tena kwa sauti kubwa mpaka ukiondoka maeneo hayo bado unasikia...
  5. JamiiForums Tanzania Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo

    Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo Miongoni mwa kipindi cha Urais chenye machawa na vikundi vya uchawa ni kama hivi sasa ni balaa sana je hili ni jambo sahihi katika siasa zetu
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kaliua, Tabora: Huduma za Afya kituo za Ulyankulu zina walakini mkubwa

    Nimempeleka mke wangu Kwa ajili ya kujifungua katika kutuo cha AFYA cha serikali Ulyankulu. Na ikahitajika kufanyiwa upasuaji ila cha ajabu gharama nilizopewa nilishangaa sana. Huduma ilisuasua hadi pale nilipotoa pesa waliyohitaji. Nilijaribu kukutana na Daktari na kumuuliza kwanini fedha na...
  7. JamiiForums Tanzania Kero Ya Umeme Mkoa Wa Mtwara Imefika Pabaya

    Shida ya umeme ilipofikia sasa mkoa wa mtwara si pazuri, leo ni siku ya nne umeme hauwaki mchana unawaka usiku tu, tena hiyo usiku unaweza kusema labda kaachiwa mtoto achezee kidogo umewaka kidogo umekata ili mradi kero tu, Tulitangaziwa kuwa umeletwa mtambo wa megawati 20 kumaliza tatizo mpka...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero kubwa ya Umeme mkoa wa Mtwara

    Shida ya umeme ilipofikia sasa mkoa wa mtwara si pazuri, leo ni siku ya nne umeme hauwaki mchana unawaka usiku tu, tena hiyo usiku unaweza kusema labda kaachiwa mtoto achezee kidogo umewaka kidogo umekata ili mradi kero tu. Tulitangaziwa kuwa umeletwa mtambo wa megawati 20 kumaliza tatizo mpaka...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mpinzani, mkosoajiau, waibua kero kwa Serikali?

    Naomba niweke mambo sawa ili tusiendelee kuumizana. Kutokana na kwamba baadhi ya watu wana uelewa finyu kuhusu misamiati ya mpinzani, mkosoaji, mwanaharakati na sisi waibua kero; kuna watu wameumizwa kwa kuonekana kana kwamba ni wapinzani. Mfano: Bwana mmoja aliona mabweni ya wanafunzi yana...
  10. JamiiForums Tanzania KERO Usumbufu kwa wananchi kutoka kwa Wanajeshi Chuo cha Jeshi CTC Mapinga ni kero kubwa, TPDF shughulikieni hili

    Kuna kero kwa wakazi tunaotumia barabara iliyopo mbele ya Chuo cha Jeshi la wananchi wa Tanzania CTC Mapinga, kitongoji cha Kiembeni, Kiharaka Bagamoyo. Ni barabara kubwa kutokea Mingoi kwenda Mbweni (kuvuka daraja la Mpiji). Wanawafyekesha wananchi majani nje la lango lao kuu na pembeni ya uzio...
  11. JamiiForums Tanzania Kuhusu kufatwa PM na kuombwa

    Maxence Melo naomba mwongozo. Mimi ni muhanga wa kufatwa pm na kuombwa kusapoti kupigia kura (wenyewe mnasema ku-vote) mada ya wadau wanaoshiriki shindano la story of change. Na kiukweli sina roho mbaya kihivyo kwahiyo nikawa natoa vote za kutosha tuu kwa walionijia tena sometimes bila hata...
  12. JamiiForums Tanzania Hongera Dr Gwajima (Mb) waziri wa jinsia kwa kutatua kero kupitia mitandao usichoke tafadhali

    Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, .......napenda kuchukua nafasi hii kumpa mauwa yake waziri wa jinsia na watoto DR Dorothy Gwajima kwa kutatua kero za mtu mmoja mmoja ikiwemo udhalilishaji au ukatili wa kijinsia na kwa watoto pia. Dr huyu amekuwa akifanya hivi kupitia account yake ya X zamani...
  13. JamiiForums Tanzania Traffic lights zilizopo Nyegezi kona ni kero kwa wanainchi

    Wanajamvi salama... Tatizo la traffic 🚦 lights zilizowekwa barabarani pale NYEGEZI Kona ni KERO sana na ipo siku kutatokea ajali kubwa sana maeneo Yale. Sijajua evaluation na vigezo walivyotumia wanaojiita wataalamu kuweka mataa eneo lile kwani ndio kumekua na msongamano mkubwa wa magari, kila...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge wako na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wanafika eneo lako kushughulikia Kero au ndio wamepotea hadi Uchaguzi ujao

    Tunaelekea mida ya kuanza kuwaona Waliotuomba Kura 2019 na 2020 wakitaka nafasi za Ubunge na Wenyeviti wa Serikali za Mtaa wakijipitisha tena kama vile walikuwepo. Vipi hapo kwako Kiongozi uliyemchagua anashughulika na Kero zenu au ndo hata hujui alipo?
  15. JamiiForums Tanzania Pongezi za Miaka 60 ya Muungano: Twende Kwenye Muungano Kamili wa Ukweli wa Nchi Moja, Serikali Moja na Rais Mmoja? Kero Zote za Muungano Zitayeyuka!

    Wanabodi, Loe nchi yetu tumeadhimisha miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muungano wetu ni muungano adimu na muungano adhimu, kwasababu hapa duniani hakuna muungano mwingine wowote kama huu muungano wetu. Ni muungano wa nchi...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya miundombinu mibovu Kunduchi - Mtongani (Dar)

    Mvua zinazoendelea kunyesha zimehathiri miundombinu.. Hili ni eneo la mtongani kona kunduchi, mabomba ya maji safi yamepasuka, kipande cha barabara kinazidi kumeguka na ardhi inayoingia kwenye makazi ya watu inazidi kimeguka hali inayoweka nyumba zao katika sintofahamu.. Eneo hili limeharibika...
  17. JamiiForums Tanzania Muundo wa muungano ndio KERO kubwa namba moja ambayo haizungumziwi

    Imagine, zilungana Zanzibar na Tanganyika kuunda seeikali ya Muungano, lakini zanzibari ime retain taifa lake wakiwa na katiba, raisi, wimbo wa taifa, bunge, Baraza la mawaziri, wimbo wa taifa, bendera huku Tanganyika ikifutika. Hilo ndio KERO kuu isiyo ongelewa
  18. JamiiForums Tanzania Kero ya Mabasi ya Mikoani kuchochea udini

    Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari. Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo zinakuwa zimeegemea dini moja na kubagua nyingine kitendo ambacho kinachochea udini. Vilevile...
  19. JamiiForums Tanzania Kero na changamoto za kwenye magroup ya WhatsApp

    Habari za mida hiii wadau. Maendeleo ya kiteknolojia yameleta unafuu wa maisha na kuyafurahia maisha hasa kwenye mawasiliano. Lakini maendeleo hayo kwa upande mwingine yameleta usumbufu na kero hasa yakikutana ndugu zetu ambao hawana nidhamu kwenye kutumia. Kumekuwa na makundi ya kupiga soga...
  20. JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed (Mwenyekiti CCM Mkoa wa Simiyu): Sikilizeni na Kutatua Kero za Wananchi

    SHEMSA MOHAMMED, MWENYEKITI CCM SIMIYU (M): SIKILIZENI NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed amewataka viongozi wa chama hicho na viongozi wa serikali wa ngazi mbalimbali katika mkoa huo kusikiliza na kutatua kero zinazowakabili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…