kero

  1. JamiiForums Tanzania Kero ja ujenzi Jiji zima la Dar esalaam

    Kwa sasa hivi na muda huu kuna miradi ya barabara inatekelezwa na wachina jiji zima la Dar es salaam. Niitaje: -Airport -KAMATA/Aggrey st. -Bibi Titi Rd -Ali Hassan Mwinyi rd -Morrocco-Mwenge rd -Ubungo-Kimara rd -Ubungo -Mwenge rd -Mwenge-Tegeta/Basihaya rd -Kawawa /Msimbazi -Azikiwe /Posta...
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanaotangaza kuuza Viwanja kwenye Vituo vya Daladala na spika zao walipie kodi ili iboreshe vituo vya hivyo

    Wakuu Haya Matangazo ya viwanja "Vinauzwa na Hati" yanayosikika karibu kila kituo cha daladala hapa mjini Dar kupitia sauti kubwa kutoka kwenye spika zilizowekwa, ni kero kubwa kwa abiria na wananchi kwa ujumla. Kila ukigeuka, unaskia matangazo yanayohusiana na viwanja vinavyouzwa, na hivyo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Supervisors wa Wanafunzi wa Masters - UDSM ni kero, wanatukwamisha wengi, Uongozi wa Chuo uchukue hatua

    Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na kuendelea kuifumbia macho itakuwa ni sawa na kuendelea kufuga mtatatizo. Tatizo letu kubwa ni kuhusu...
  4. JamiiForums Tanzania KERO Vipaza Sauti vya Karume vimekuwa kero kwa kelele, Serikali ichukue hatua

    Vipaza sauti vinavyotumiwa kwaajili ya kutangaza biashara katika eneo la Karume jijini Dar es Salaam vimekuwa kero na kelele za hali ya juu sana. Yaani hakuna kinachosisikika bali ni makelele kwa sababu vimekuwa vingi sana katika eneo moja. Ni heri waandike bei elekezi kwenye mabango madogo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la umeme kukatika limekithiri mkoa wa Mtwara

    Hivi karibuni tatizo la kukatika kwa umeme mkoa wa Mtwara limekuwa kubwa na kero kwa wananchi. Mkoa wenye gas asilia na makaa ya mawe lakini tatizo la umeme limekithiri. Najiuliza wakazi wa Mtwara wameongezeka kiasi kwamba Tanesco wanazidiwa au tatizo nini. Umeme unaweza kukatika zaid ya...
  6. JamiiForums Tanzania KERO Ujenzi wa Interchange ya SGR - Mwanza umesimama, Barabara nayo ni mbovu, kero ya foleni ya magari imekuwa kubwa

    Ujenzi wa Mradi wa SGR hapa Mwanza ambao kwa muda mrefu umekuwa hauna mwendelezo umesababisha kero ya foleni hasa katika Barabara ya magari eneo la Mswahili Mkoani Mwanza. Kero hiyo ipo zaidi katika Interchange ya SGR ambapo Barabara inayotumika kwa chini ni mbovu na wakati wa mvua hali huwa...
  7. JamiiForums Tanzania Changamoto, malalamiko, kero na ukombozi wa Sekta ya Afya Tanzania

    Kero na malalamiko wanayoyatoa wa Tanzania kuhusu changamoto kwenye Sekta ya Afya moja ya sababu ni Mifumo iliyowekwa huko nyuma kusimamia afya na kum chagua Mtu ambae hana maono / jicho la kutambua kero na Hajasomea Afya kusimamia Sekta ya Afya. Kwani yeye sio Daktari na hajawahi hashinda...
  8. JamiiForums Tanzania KERO Mataa ya Bagamoyo Road yamekuwa Kero kwa watumiaji wa barabara hiyo

    Habari Zenu, Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam na ni mtumiaji wa barabara ya Bagamoyo Road. Kila siku napita kwenye barabara hii kwenda katika majukumu yangu ya kila siku, lakini aisee, mataa ya barabara hii, kuanzia njia panda ya Goba Masana hadi hapa Tanki Bovu na njia panda ya kwenda Kawe...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mlezi CCM, Morogoro: Viongozi wao wakuu hawaelewani, hawataweza kutatua kero za wananchi

    Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) Jana akizungumza kwenye Mkutano wa Hadhara wa Ufunguzi wa kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa/Vijiji katika Uwanja wa Chamwino Wilaya ya Morogoro...
  10. JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho hakina mpangilio wa huduma: TANROADS, Jeshi la Polisi, DED Ubungo na Ofisi ya RC ujumbe huu unawahusu

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli. Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kuzuia uvuvi ziwa Victoria hakuna tija na ni kero kubwa

    Kumekuwepo utaratibu wa kusitisha uvuvi ziwa Victoria Kwa kipindi sasa. Kwamba wanasitisha uvuvi kwa muda kama kulipa likizo ziwa na samaki ili wazaliane Kwa kipindi hicho. Lakini tija ni ndogo na kero Na hii inaibua nafasi za rushwa maana kuna wavuvi huingia ziwani na kuvua kipindi hicho cha...
  12. JamiiForums Tanzania Kero za nyumba za kupanga: Nawasha taa moja ila naambiwa nilipe bill ya umeme sawa na wanaotumia TV na Fridge

    Hii ilinitokea kipindi napanga , nilikuwa nawasha taa moja usiku wa Saa nne Ila nilikuwa nalazimishwa kulipa bill sawa na wanaotumia TV, feni, radio pasi ya umeme na fridge na wengine walikuwa wanatumia heater Hii ndo akili ya MTU mweusi huwa aangalii usawa Ila anaangalia mbele ya pua yake.
  13. JamiiForums Tanzania KERO Takataka zimekuwa kero kubwa sana Mbeya Mjini kipindi hiki cha mvua

    Mpaka mjirekebishe ndiyo nitaacha kuwasakama. Halmashauri ya Jiji la Mbeya kama inawezekena badilisheni mfumo wa kukusanya taka au tafuteni kampuni nyingine ya kukusanya taka. Hawa JKT wamefeli kabisa, kwanza magari yao mengi ni mabovu sana tena sana. Ukipita Kwenye mitaa mingi ya Jiji hili...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wasimamizi wa mtihani wa taifa kidato cha 4 Babati mji waambiwa warudishe kiasi cha pesa walilicholipwa kwa ajili ya usimamimizi

    Halmashauri ya Babati mji iliyoko wilayani Babati mkoani Manyara ni moja ya halmashauri zinazoendelea na tukio la ufanyikaji wa mtihani wa taifa kidato cha 4 huku wasimamizi wakiwa ni moja ya wahusika wakuu katika zoezi hilo. Wasimamizi hao walipewa kiasi cha pesa kulingana na siku...
  15. M

    JamiiForums Tanzania KERO Taka hizi Mitaa ya Msasani (Dar) ni kero, wahusika mko wapi?

    Wana Jf hamjambo??? Hapa Msasani ni siku ya 5 leo taka zimetolewa na Gari halionekani. Watu wametangaziwa kwamba watoe taka gari linapita jioni kubeba taka, mbaya ni kwamba mpaka Leo zipo na ni taka zenye harufu mbaya, vinyesi pads pampas yaani tafrani tu. Mbaya ni kwamba hizi taka mnaziziona...
  16. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Iran waanza kuona kero za umeme wa Mgao - Israel haihusiki

    Iran imetangaza ratiba ya mgao wa umeme wa nchi nzima kuanzia Jumapili, ya juzi kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya gesi asilia huku kukiwa na baridi kali, ambayo imesababisha uhaba wa mafuta katika vituo vya umeme...
  17. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Biashara ya kujiuza Mwanza ni kero, Mamlaka na Polisi wanapotezea, Watoto wanashuhudia mambo ya ajabu

    Biashara ya kuuza mwili ni moja ya biashara ambayo inapigwa vita na Jamii ikiwemo Mamlaka mbalimbali lakini pamoja na hivyo imeendelea kufanyika kwa njia tofauti maeneo mbalimbali Nchini. Jijini Mwanza, biashara hii imekuwa ikifanyika kama vile imehalalishwa hasa maeneo ya Kirumba na Igoma...
  18. JamiiForums Tanzania Hebu tiririka kero mojawapo kwenye nyumba za kupanga.

    📖Mhadhara (63)✍️ Nyumba za kupanga (hasa zile ambazo zina wapangaji wengi) zina kero mbalimbali. Hebu tiririka kero mojawapo kwenye nyumba za kupanga - Natiririsha baadhi ya kero. 🔘 KERO 1: Kuna mpangaji ambaye akiingia bafuni kuoga, akitoka lazima bafuni mkute mabaki ya dawa za kienyeji. Kila...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Mashine za Mpunga zimekuwa kero na hatari kwa Afya za watu hapa Soko la SIDO - Mbeya

    Hivi Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya pamoja na Watu wako wa Mipango Miji wakati mlipokuwa mnawahamishia Wafanyabiashara katika Soko la Sido hivi mlifikiria suala la afya zao? Mlikuwa mnajua kabisa kwamba lile ni eneo la viwanda ilikuwaje mkawahamishia Wafanyabiashara pale? Kipindi hiki mtu ukienda...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Responded Songwe: Vifusi vilivyokuwa kero Barabara ya Sogea-Machinjioni (Tunduma) vyasambazwa

    Vifusi vilivyowekwa barabarani kwa muda mrefu katika Barabara ya Sogea - Machinjioni katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma na kusababisha kero kwa Wananchi vimesambazwa na kutatua kero hiyo kwa kuanza utengenezaji wa Barabara inayotarajiwa kutengenezwa kwa kiwango cha lami. Ni siku nne baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…