kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ni ya nne Afrika kwa idadi ya dollar millionaires

    The population of Kenya’s dollar millionaires in the study is significantly higher than estimates in other reports, indicating the difficulty of tracking the wealthy in Africa. The latest Knight Frank Wealth Report put the number of Kenya dollar millionaires at 3,323. South Africa has the...
  2. JamiiForums Tanzania Anaweza kuelezea faida za muungano aje atuambie. Je Tanganyika ingekosa fursa zipi Kama Zanzibar wangeungana na Kenya?

    Tumelishwa imani nisiyojua nini maana yake. Licha ya Tanzania kuungana na Zanzibar bado Mombasa wana maingiliano makubwa ya kitamaduni na Unguja na Pemba nadhani kuzidi hata Dar es Salaam. Je, Nani anaweza kufafanua manufaa ambayo Tanganyika imeyapata kutokea muungano ya kiuchumi, kisiasa na...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why is Kenya so rich?

    Sikiliza video kwa walio na bundle. Unaelezewa wazi ni kwa nini Kenya ni tajiri ikilinganishwa na nchi nyingi za Africa licha ya Kenya kukosa madini au mafuta.
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Kilio Wakenya wanaouawa, kudhalilishwa kisa kazi Mashariki ya Kati, Serikali yaambiwa kuamka

    Francis Atwoli Katibu wa Muungano wa Wafanyakazi (COTU), Francis Atwoli ameikosoa Serikali ya Kenya kwa kutokuwa na nguvu katika suala la Wakenya kufanyishwa kazi katika Nchi za Mashariki ya Kati. Atwoli amewajia juu Waziri wa Kazi na Waziri wa Masuala ya Kigeni kwa kushindwa kushughulikiwa...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA: Rais wa awamu ya tatu ya Kenya, Mwai Kibaki afariki dunia

    Kenya’s former President Mwai Kibaki is dead. The announcement was made on Friday morning by President Uhuru Kenyatta. “It is a sad day for us as a country. We have lost a great leader, the former president Mwai Kibaki,” President Kenyatta said in a news conference from State House. “I order...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Burundi naye pia aja Kenya kujadili usalama na amani DRC

    Muhimu tubuni mbinu za kuisaidia DRC ikumbutie amani. ====== Burundi's President Evariste Ndayishimiye arrived in Nairobi, Kenya, Thursday for the East African Heads of State meeting on peace and security in the region. According to a communique released by Burundi's State House (Ntare...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa DRC arudi aja Kenya tena kujadili usalama wa nchi yake

    Tumsaidie masuala ya usalama kwenye hiyo nchi yake kubwa maana humo tunakwenda kuwekeza kichwa kichwa. ======= DR Congo President Félix Tshisekedi arrived in Nairobi late Wednesday evening two weeks after his last trip to the city. He was last in Nairobi early this month for the signing of...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amazon nao hawajaachwa nyuma, wanaingia Kenya kwa kishindo, wanawekeza "local zone" ya pili Afrika Nairobi

    The entry of Amazon Web Services (AWS) into Kenya’s cloud computing ecosystem is set to bolster the country’s preparedness for the take-off of the Fourth Industrial Revolution (4IR) as its rapid technological transformation keeps attracting Big Tech. Last week AWS set up a Local Zone in Nairobi...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi huwa wanapitia changamoto gani kwenye kazi yao? Kenya 2000 wana matatizo ya kiakili yasiyoruhusu kuendelea kubaki kazini!

    Yawezekana badala ya kuwa tunawesema kila siku labda iangaliwe namna ya kusaidiwa au tunawashikia bango watu ambao akili zao haziko sawia. Hata hapa kwetu zipo hizi shida labda tu hawajazifanyia utafiti. Unakutana na polisi jambo la kawaida lakini mtu anakuwa mkali na kutumia nguvu kupitiliza...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi 2000 wa Kenya wana matatizo ya kiakili

    Hiyo ndiyo habari ya kiuchunguzi inayosambaa Duniani kwa kasi mno! Mapolisi elfu 2 ya Kenya ni mehu/machizi. ==== Mkuu wa huduma ya kitaifa ya Polisi nchini Kenya, Inspekta Jenerali Hilary Mutyambai amesema takriban maafisa 2,000 wa Polisi nchini humo hawana uwezo wa kiakili kufanya kazi yao...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Sasa ni rasmi kuwa huko Kenya katika '2022 General Election' ni Vita kati ya Kikuyu na Luo dhidi ya Kalenjin na Luya

    Kama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu. Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.
  12. JamiiForums Tanzania Kenya inatuzidi wapi Tanzania? Baada ya Microsoft na Visa kufungua vituo vyao Nairobi, Google nayo yasema inafungua kituo chake nchini humo

    Google imetangaza kuzindua kituo cha ukuzaji wa bidhaa jijini Nairobi, ambacho ni cha kwanza katika bara la Afrika, ili kujenga bidhaa na huduma za "mabadiliko" kwa soko la Afrika na ulimwengu. Haya yanajiri baada ya kampuni hiyo kubwa ya teknolojia kufichua mipango ya kuwekeza dola bilioni 1...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Walimu waiomba Serikali kuruhusu wanafunzi wachapwe shuleni, wadai nidhamu imeshuka

    Baadhi ya walimu Nchini Kenya wanataka adhabu ya viboko kurudishwa shuleni, ili kuwaadhibu wanafunzi wasiokuwa na nidhamu. Adhabu ya viboko ilipigwa marufuku katika shule za Kenya mwaka 2001 na sheria inawalinda watoto dhidi ya manyanyaso ya aina yoyote. Lakini baadhi ya walimu wakuu wa shule...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jambojet yaruhusiwa safari za ndani ya Tanzania, huku Taifa gas ikiruhusiwa kufungua kiwanda Kenya

    Tunakwenda vizuri hadi hapo. Hakuna majungu ila tu makubaliano ya kibiashara, hamna cha kuchomeana vifaranga ======== Tanzania and Kenya have hammered out a bilateral trade deal cutting across the aviation and energy sectors, enabling growth of the Common Market. In the new deal, Kenyan...
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii Raila Odinga ataiharibu Kenya kama Magufuli alivyoharibu Tz

    Eti kuna mtu kakamatwa anaiba chakula, na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria zao Jamaa anaamrisha mtu huyo aachiwe haraka kisa eti kuna wanasisa wezi wapo free mtaani Njia sahihi nafikiri ingekuwa kumlipia faini asifungwe na kama kuna haja ya kurekebisha sheria aahidi kufanya hivyo akiingia...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Serikali yamfukuza Raia wa Ufaransa kwa kuficha mafuta

    Mmalaka Nchini Kenya imesitisha kibali cha kuendelea kuishi Nchini humo mmoja wa wauzaji wakubwa wa mafuta raia wa Ufaransa kutokana na sakata la uhaba wa mafuta linaloendelea. Mfaransa huyo ni Christian Bergeron ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Rubis Energy Kenya ambayo ni kampuni tanzu...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe Kenya ndio inaunda jiko nyingi sana duniani

    Kuna huyu mzungu aliyeanzisha kampuni yake hapa Kenya ya kuunda efficient jiko ambayo haitumii makaa kwa wingi kwa jina la Jiko koa. Anasema kwamba kampuni yake sasa ndio inayotengeneza jiko nyingi zaidi duniani. Mwezi huu pekee wataunda jiko 70,000 na nyingi zinakuwa exported nje ya Kenya.
  18. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maktaba ya Kitaifa ya Kenya yaandaa shughuli za lugha ya Kichina

    "Ni maua ya kupendeza ya asumini, yanachanua na kutoa harufu nzuri na kuwavutia watu..." Tarehe 8 Aprili katika Maktaba ya Kitaifa ya Kenya jijini Nairobi, mhitimu wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Nairobi alikuwa akifundisha jinsi ya kuimba wimbo wa Kichina "What a Beautiful...
  19. JamiiForums Tanzania Kampuni za ukaguzi wa magari zilizopigwa marufuku Kenya zaomba tenda Tanzania

    Imebainika kuwa kampuni mbili zilizopigwa marufuku kufanya kazi Nchini Kenya ni miongoni mwa kampuni nne zilizoomba zabuni ya kukagua magari katika bandari ya Dar es Salaam. Tangazo la zabuni lililopo kwenye tovuti ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linaonyesha kuwa hadi kufikia Aprili 4...
  20. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Job vacancy in Kenya

    St patrick hill schools invites qualified applicants for english/lit and biology/chemistry .Working hours 7-5 pm.There are two lessons per week 6-7pm and two 6-7 am .Housing provided single rooms .Food provided.Saturday is a working day and Sunday if on duty. Salary 17,000kes gross per month no...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…