kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Watanzania tumeshindwa kuelewa kuwa sisi Afrika mashariki ndio wanatuona kama kioo cha jamii hususani Kenya

    Watanzania bado tujashtuka kuhusu ili li nchi letu kutokutambua kuwa sisi hapa afrika mashariki ndio role modo wa nchi zote afrika mashariki. Ukinagalia swala la sanaa kabisa unaona sanaa ya tz inapendwa niliona yule kicheche alivopokelewa congo au reyvan. Tuje kwenye maendeleo hapa tanzania...
  2. U

    UTEUZI Meja Jenerali Fatima Ahemed ateuliwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Anga Kenya

    Wadau hamjamboni nyote? Meja Jenerali Fatima Ahemed Amekuwa mwanamke wa kwanza kuteuliwa kuwa Mkuu wa vikosi vya Jeshi la Anga Kenya Taarifa kamili hapo chini === Kenya's President William Ruto has appointed the first female commander of the air force. Maj Gen Fatuma Gaiti Ahmed becomes the...
  3. Mfumo wa Gridi ya Taifa Kenya wapata hitilafu, umeme wakatika maeneo mengi ya Nchi leo Mei 2, 2024

    Mamlaka inayosimamia Huduma ya Umeme Nchini Kenya (The Kenya Power and Lighting Company PLC-Kenya Power) imetangaza tatizo la kukosekana kwa umeme katika maeneo mengi ya Nchi hiyo ambalo limesababishwa na hitilafu za Kiufundi. Kenya Power imeeleza kuwa hitilafu hiyo imetokea katika Mfumo wa...
  4. Katiba ya Tanzania ni nzuri, lakini ya Kenya ni bora zaidi kuliko ya Tanzania

    Inasemekana, Naibu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Kenya, Jenerali Ogolla, alitumwa kuzuia Ruto asitangazwe kuwa mshindi wa kiti cha Urais Kenya, lakini azma hiyo haikufanikiwa. Viongozi wa Tume ya uchaguzi hawakuuogoopa Ujenerali wake. Waliiheshimu na kuisimamia Katiba yao kikamilifu...
  5. R

    Kenya mishahara kupanda kwa asilimia sita kwa wafanyakazi wa kima cha chini, Tanzania vipi?

    Ukimsikiliza Rais wa Kenya anavyochambua uchumi na mipango ya kupanua ajira unabaini hotuba yake imeandikwa na wataalam kwa kuzingatia presha kubwa iliyopo kwenye vyama vya wafanyakazi. Pamoja na kwamba hakuna ahadi kubwa wanayopata wafanyakazi Kenya kulinganisha na Tanzania ila vyama vya...
  6. P

    Raia wasimama kidete kwa polisi walioingia kwenye gari yao kwa mabavu wakitaka kufanya ukaguzi

    Tazama hapo kwenye video raia wanauliza kwanini umevamia gari yetu polisi hawana majibu, wanaulizwa tumefanya kosa gani hawana majibu, wanaambiwa watoe vitambulisho kuthibitisha kuwa wao ni polisi kweli wanasuasua tu, mwishowe wanaishia kuwaambia unajua mimi na nani. Ni dhahiri jamaa walikuwa...
  7. S

    Tanzania yaipita Kenya kwa Huduma ya Maji Safi na Salama

    👇🏿
  8. ADC wa Rais Samia asijisahau Kiitifaki hawaruhusiwi Kucheka wala Kutabasamu awapo kazini

    Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena akiwa na Sare zake za Kijeshi huwa haruhusiwi Kucheka au Kutabasamu katika Mazingira yoyote yale awapo...
  9. S

    Uwindaji wa Tembo Endulen Umedhoofisha Diplomasia na Kenya

    Habari wadau! Kuna jambo hili linalalamikiwa sana na Serikali ya Kenya kila kukicha serikali imeweka pamba masikioni. Kuna uwindaji wa Tembo wakutisha unafanyika Endulen (kwa wasiojua Endulen ni pori la wanyama lililoko mpakani kati ya Amboseli National park na Tanzania upande wa huko West...
  10. Nairobi Kenya: Mzungu apigwa kipigo Cha mbwa Koko na Security wa Petrol Station baada ya kumwita Nyani mhudumu wa kuuza mafuta

    Shalom, Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo huku ikionekana huyu mzungu ni Baharia wa kugaurd ila bahati mbaya alizidiwa na ukubwa na uzito wa...
  11. I

    Kenya yaorodheshwa kama nchi ya nne kwa utajiri barani Afrika

    Kenya iliorodheshwa katika nafasi ya nne katika nchi tajiri zaidi barani Afrika na siku 2 zilizopita Kenya imeorodheshwa miongoni mwa masoko makubwa matano tajiri barani Afrika yenye mamilionea na mabilionea. Kulingana na Ripoti ya Utajiri ya Afrika ya 2024 iliyochapishwa na Kampuni ya...
  12. Kaka na Dada wawa Wapenzi bila kujua huko Kenya, mama yao awaunga mkono

    Ndugu hawa damu, Kyle na Brianna wana-trend mitandaoni kwa kuchumbiana. Wanapanga kuoana na kupata watoto pamoja huku Mama yao anaunga mkono uamuzi wao. Hata hivyo, hawakujua kama wana undugu wa damu mwanzoni wakati wanaanzisha mahusiano. Jambo hili limezua hasira mtandaoni huku watu wengi...
  13. D

    KCB na Equity Bank wanafanya biashara na BoT?

    Kwa nini mikopo chechefu? mikopo chechefu inaanzaje anzaje, inaanzia kwa nani hadi iitwe chechefu. Tutafakari tusaidie taifa? Mabenki yamekuwa yanatangaza faida kubwa kuwa wamevuka lengo kumbe ni sanaa, haki za wafanyabishara zipatikane wapi? Debt collector ndo maelekezo yako hayo.(faida...
  14. Rais Ruto: Asilimia 80 ya huduma za serikali zinapatikana kidijitali. Tunakusudia teknolojia kuwa msingi wa mageuzi ya Kenya

    Rais wa Kenya William Ruto amesema kwamba utawala wake umekamilisha asilimia 80 ya kuweka huduma za serikali kidijitali. Akizungumza leo Jumatatu, Ruto amesema kuwa ana furaha sana na maendeleo ambayo utawala wake umefanya hadi sasa. Amesema hayo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Connected...
  15. P

    Mkuu wa Majeshi wa Kenya alitaka azikwe bila Jeneza na asicheleweshwe kuzikwa

    Mkuu wa majeshi Kenya,alitaka azikwe bila jeneza na asicheleweshwe kuzikwa ili kupunguza gharama za mazishi,japo yeye ni mkristo.
  16. Zoezi la Vyeti Feki Kenya: Rutto Asiingie Mtego wa Magufuli

    Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao ambayo ni jasho lao. Nashauri tu kuwa kama William Rutto anataka lifanikiwe alifanye across-the-board...
  17. Kenya: Madaktari wafanya maandamano kushinikiza Serkali kusikiliza madai yao na kuboresha stahiki zao

    Madaktari pamoja na Clinical Officer Kenya wamefanya maandamano Kushinikiza Serkali kusikiliza Madai yao na Kuboresha Stahiki zao pia.
  18. K

    Kenya imepunguza bei ya mafuta kwa kiasi kikubwa. Je, Tanzania kulikoni?

    Leo Kenya imepunguza bei ya mafuta kwa kiasi kikubwa na fedha yao imeimarika kutoka Ke 160 kwa 1 usd na kupanda kwa Ke 130 kwa 1 usd lakini kwa Tanzania kila kukicha bei ya mafuta inazidi kupaa na fedha yetu inazidi kushuka. Je, kulikoni? --- The shilling’s strong rally against the dollar has...
  19. M

    Mliiua pareto kiwanda mkapeleka Rwanda, mkaua General Tyre kiwanda mkapeleka Kenya, halafu vijana mnataka wajiajiri!

    Shame on you, Kiwanda cha pareto pale mafinga mlikiua Kwa makusudi huku mkijua ukanda wa kuanzia kyela hadi njombe wanalima pareto na kiwanda kiliajiri vijana wa kitanzania wengi. Mkaenda kuua kiwanda cha matairi ya magari General Tyre cha Arusha na mashine mkang' oa mkapeleka kenya. Mnatoa...
  20. Kama tungeuza sana bidhaa nje ya nchi tungepata dola nyingi sana, sarafu yetu ingeimarika kuliko ya Kenya

    Leo nitaandika kama shairi tu labda nitaeleweka. Sijasomea uchumi kokote Nimewaza mwenyewe tu juu ya sarafu yetu Sarafu yetu inaporomoka. Hatuuzi nje. Hatupati dolla nyingi. Matokeo yake dolla inakosekana sokoni. Matokeo yake ili tuipate dolla inabidi tutumie shillingi nyingi. Matokeo yake ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…