kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe hili suala la mikataba ya siri sio Tanzania tu na bandari zetu, huko Kenya raisi anahusishwa na kutaka kutoa Jomo Kenyatta Airport kwa siri!

    Karibu viongozi wote wa Afrika wana tabia moja inayofanana - kujitajirisha binafsi kwa kuingia mikataba ya siri inayoumiza nchi zao, huku wakidanganya umma mikataba hiyo ni kwa faida ya nchi zao. Mtu yeyote mwenye akili atajua kwamba mkataba ambao kweli una nia ya kuinufaisha nchi hauwezi...
  2. JamiiForums Tanzania BABU: Utawala wa Rais Daniel Moi wa Kenya ( 1978-2002) unafanana na utawala wa Rais Samia wa Tanzania (2021-2024).

    Utawala wa Daniel arap Moi nchini Kenya, ambao ulidumu kuanzia mwaka 1978 hadi 2002, unakumbukwa kwa matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na utekaji wa raia, ukandamizaji wa viongozi wa kisiasa, na mauaji. Hali hii inaonekana kuwa na uhusiano wa karibu na utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan wa...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua akana kudai Ksh.8B ili akubali kuachia nafasi ya Naibu Rais wa Kenya

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amekana tuhuma dhidi yake ikiwemo kudaiwa kumtaka Rais #WilliamRuto kumpa Ksh. Bilioni 8 (Tsh. Bilioni 168) ili akubali kuachia nafasi hiyo kutokana na wawili hao kutokuwa na uhusiano mzuri. Amesema hayo wakati alipohojiwa na kituo cha Redio, amesema “Sina tamaa ya...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rigathi Gachagua adinda kujiuzulu, asema bila yeye Ruto asingeingia Ikulu

    Naibu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua, amejigamba kwa kudai kwamba yeye ndie pekee aliesababisha na kuchangia pakubwa Rais Dr. William Ruto akashinda uchaguzi wa 2022, la si hivyo bila jina lake kuwako kwenye karatasi za kupigia kura, kamwe asingeshinda urais wa Jamuhiri ya Kenya wakati huo...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais wa Kenya maji ya shingo, akimbilia mahakamani kujaribu kuzuia kung'olewa kwenye nafasi yake

    Naibu wa rais Kenya amelazimika kukimbilia mahakamani kujaribu kuzuia mchakato wa kubanduliwa kwake ofisini ingawa uwezekano wa bunge kumuondoa bado ni mkubwa zaidi. Tayari wabunge wapatao 242 wameridhia muswada huo kuletwa bungeni kati ya angalau wabunge 117 waliohitajika kisheria. Endapo...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubovu wa Katiba kumuondoa madarakani naibu wa Rais Kenya

    Ni baada ya kuonekana akimuhujumu Rais, akihubiri na kuchochea chuki na migawanyiko ya kisiasa yenye mirengo kikabila na upendeleo wa watu wa kabila na eneo lake la Milima Kenya. Naibu wa Rais amekiuka sheria na misingi ya kikatiba ya Kenya ya kua nembo ya umoja wa Taifa na kiunganishi cha...
  7. JamiiForums Tanzania Ruto asema uwepo wa Starlink nchini Kenya umefanya Mitandao ya Simu iboreshe huduma za Intaneti

    Rais William Ruto, amesema amekuwa akipokea malalamiko kutoka kwa Watoa Huduma za Simu nchini humo tangu Serikali iliporuhusu uwekezaji wa kampuni ya #Starlink inayotoa huduma za Intaneti kwa njia ya Setilaiti. Kwa mujibu wa Mtandao wa Citizen Digital, Septemba 23, 2024, imeelezwa kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Heroic Action by British SAS Operator During Nairobi Terror Attack

    In 2019, during a coordinated attack on civilians in the Westlands District of Nairobi, Kenya, this unidentified British SAS operator, who happened to be in Kenya to conduct training, rushed in to help, escorting groups of hostages, carrying wounded civilians, and killing two of the five...
  9. F

    JamiiForums Tanzania GEN_ wananyoosha Kenya, wasiojulika wana run Tanzania

    GEN-Z WANANYOOSHA KENYA, WASIOJULIKANA WANA-RUN TANZANIA DESEMBA 9, 1961, Tanganyika ilipopata uhuru, Watanganyika wote walisherehekea kuwa huru. Baba wa Ali Kibao, babu wa Deusdedith Soka na bibi wa Ben Saanane, walikuwa juu kabisa kwenye wingu la tisa, kwa furaha. Uhuru ni chemchemi ya utu...
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bwawa la Thwake lililojengwa na China nchini Kenya, laua ndege wawili kwa jiwe moja

    Changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi inaendelea kuleta madhara makubwa kwa jamii za Kenya, iwe ni mafuriko wakati wa mvua kubwa, au ukosefu wa chakula baada ya mafuriko kuathiri uzalishaji wa chakula, na hata ukosefu wa umeme baada ya miundombinu ya usambazaji wa umeme kuharibiwa kwenye...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasomali wana nia ya kuinyakua Kenya kwa kuzaliana?

    Wasomali wamejipanga Kufikia 2050 kenya itakua somalia au itaongozwa na wasomali kwene kila nyanja. Na itadi yao inaongezeka. Wana kauli yao ya kusema: “Nyie kazaneni na siasa sisi tunakazana kitandani” Asante kwa mbinu zao za kuzaliana naona zina leta matunda.
  12. B

    JamiiForums Tanzania TBT: Mwaka 1985 Scotland Yard walikuja Tanzania kuchunguza BOT na 1990 walikuja Kenya kifo cha Waziri Dr Robert Ouko

    Tujikumbushe matukio muhimu yaliyotokea hapo awali ktk nchu yetu na majirani zetu Pia. Pamoja na mambo mengi yanayozungumzwa kuhusu msala huu wa Utekaji, utesaji, upoteaji na mauwaji ya Raia ambayo yameshika kasi ktk nyakati hizi ni wazi sasa tunaweza kuswma yafuatayo. 1. Mh Rais Amiri Jeshi...
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Star link now in Kenya

    Starlink now providing Nairobi City Hall with reliable internet with speeds ranging between 120 Mbps and 200 Mbps – The Starlink system provides both redundancy during primary network outages and handling of higher data loads. 🇰🇪 “We are excited to announce the integration of Starlink...
  14. JamiiForums Tanzania KENYA: Ujio wa Starlink utasaidia Safaricom na wenzake kuboresha intaneti

    Ujio wa Starlink utasaidia Safaricom na wenzake kuboresha intaneti – – Mkuu Mpya Mteule wa CAK MKURUGENZI Mkuu mteule wa Mamlaka ya Ushindani Nchini (CAK) David Kemei amewahakikishia Wakenya kwamba atazima mjadala kuhusu kampuni ya kutoa huduma za intaneti ya Sterlink baada ya Bunge...
  15. JamiiForums Tanzania Haya wale Wazee wa Ramani njia gani ni rahisi ukiwa Kampala Uganda na unataka kwenda Mara Tanzania kati ya kupitia Kenya Migori na Mutukula Kagera?

    Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu? Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
  16. JamiiForums Tanzania Swahili Teacher from Tanzania and Kenya

    Location: Horizons College of Learning and Enrichment, Australia Position Type: Full-time Salary:Competitive, based on experience and qualifications Application Deadline: 30/10/2024 Job Summary: Horizons College of Learning and Enrichment is seeking a dedicated and enthusiastic Swahili...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa Msitu

    Hadithi ya Uongozi na Mamlaka Katikati ya msitu mkubwa wa kijani kibichi, ambapo miti mirefu hufichua siri na mito hukata njia kupitia ardhi, kuna ufalme wa kipekee – ufalme wa wanyama. Dunia hii, inayoongozwa na sheria zake za asili na kuishi, ilijikuta ikihitaji kiongozi. Hivyo ndivyo hadithi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka Reminisces the 2008 Kenya Election Crisis: 'We Were Calling Him General Ruto"

    14 September 2024 Dar es Salaam, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=aWUM2rPAnoU Prof. Tibaijuka Reminisces the 2008 Kenya Election Crisis: 'We Were Calling Him General Ruto" Retired diplomat and veteran Tanzanian politician, Prof. Anna Tibaijuka, has warned that election observers often...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

    Natumaini mu wazima humu, ni siku nyingine tukiwa bado tunasubiri muafaka wa mchezaji Kagoma kama atabaki Simba au atarudi Yanga, Mzee wetu magoma na yeye ni mpaka kieleweke !!, Anyway tukirudi kwenye kichwa cha habari, Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya...
  20. JamiiForums Tanzania Kenya: Kanisa lapewa onyo kwa kupiga kelele usiku, waenda na kipimo alfajiri

    Baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa raia Mkuu wa Idara ya Mazingira Geoffrey Mosiria, ameliomba moja ya kanisa nchini Kenya, kudhibiti kiwango cha kelele ili kuepuka usumbufu kwa jamii. Mosiria amesisitiza umuhimu wa kanisa hilo kuhakikisha kuwa viwango vya kelele vinazingatia sheria na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…