kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. WAFANYA BIASHARA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA KUTOKA KENYA, KUTIMKIA TANZANIA KUKWEPA ATHARI ZA MAANDAMADO YASIYOKOMA KENYA.

    wanajipanga na kukusudia kuhamishia mitaji yao nchi jirani Africa Mashariki zenye amani ikiwa ni pamoja na Tanzania, kukwepa uharibifu wa uwekezaji woa huko kenya ambao baadhi yao kwa kiasi tayari wameathirika, kutokana na kukosekana usalama wa kutosha... Je, hii ni fursa muafaka ya kiuchumi na...
  2. R

    Watanzania wenye akili wanauliza: Watawalawa Tanzania, wamejifunza lolote kutoka maandamano ya Gen Z Kenya. Jibu ni hili hapa chini

    1. Hawawezi kujifunza lolote. Kwa nini wakose la kujifunza? JIBU: Watawala, CCM for that matter, walihakikishiwa na Kenyatta enzi hizoza uhai wake kuwa .1. WATANZANIA NI MAITI, HAWAWEZI FUKUKUKA, you need not worry about them 2. WAGANDA WAJINGA, WAKIELIMISHWA WATAJITAMBUA NA KUTETEA HAKI...
  3. Kenya: Mahakama Kuu yaidhinisha Jeshi kuingia Mtaani kurejesha Utulivu

    Mahakama Kuu imeidhinisha matumizi ya nguvu za Kijeshi kurejesha utulivu kufuatia Siku kadhaa za Maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha ambapo takriban watu 20 wameripotiwa kuuawa Jaji wa Mahakama Kuu, Lawrence Mugambi alisema kupelekwa kwa Jeshi Mitaani ni muhimu ili kulinda miundombinu ya...
  4. B

    Kenya: Waandamanaji walivyoingia bungeni

    Hivi ndivyo vijana wa Kenya walivyoingia bungeni. Hatari sana!
  5. Tazama vile bunge kule Kenya ilivyovamiwa

    https://x.com/SethOlale/status/1806350607428506110
  6. Katika nchi za East Africa hakuna nchi inayopitia kipindi kigumu kama Tanzania. Yanayoendelea Kenya ni tabia tu.....

    Ugweee..nimekosa salam ya haraka kuwasabahi ndg zangu. Hawa Z Generation nchini Kenya ni muenendo na miendelezo ya tabia ya wananchi waliosomeshwa na serikali zao za nyuma...hapa namzungumzia Moi na wengine waliofanya vema. Kinachoendelea nchini Kenya ni sahihi na haki kabisa. Hapa Tanzania...
  7. Asilimia kubwa ya Wasanii Kenya wako na Wananchi, hii ni Kinyume na wasanii wa nchi ya wakujikomba(Tanzania)

    Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii. Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa...
  8. Hasira za Gen Z ya Kenya; Chanzo Chake ni Umaskini Uliotopea

    Wengi wanaona Watanzania ni legelege au hawatambui haki zao ndiyo maana hawachukui hatua dhidi ya maamuzi ya wanasiasa. Wanatamani vijana wetu wangekuwa kama vijana wa Gen Z wa Kenya ambao kwa siku mbili wameteketeza mali zenye thamani ya mamilioni kwa hasira za financial bill 2024. Matajiri...
  9. 'For A Better Kenya': Protesters Ready For New March Despite Ruto U-Turn

    Waandamanaji wamesema wanatarajia kurejea mtaani kufanya maandamano leo Juni 27, 2024 ikiwa ni siku moja tangu Rais William Ruto atangaze kuwa hatasaini Muswada wa Fedha ambao ndio uliokuwa chanzo cha maandamano hayo kwa vijana maarufu kwa jina la Gen Z. Vijana wanaoshiriki Maandamano hayo...
  10. Yanayotokea Kenya sasa hata Tanzania yalishawahi kutokea, VIJANA 2000 SOMENI HII

    Kinachotokea Kenya sasa baadhi wa Watanzania wanawasifu raia wa Kenya Kuwa wameelimika zaidi kudai haki zao kuliko wa Tanzania. Wanaosema hivyo labda wamezaliwa miaka ya 1999 kuja 2000. Tanzania 🇹🇿 walifanya haya wanayofanya Kenya 🇰🇪 miaka 23 iliyopita . Yaani Mwaka 2001 Chama Cha Wananchi...
  11. P

    Maandamano ya Kenya: UN na mataifa makubwa yalaani mauwaji ya waandamanaji

    Kama kawaida yao, nchi ya Marekani hainaga mchezo linapokuja suala la haki za binadamu. Marekani inafuatilia kwa ukaribu hali ya usalama nchini Kenya. Kwa yanayoendelea kwa jirani zetu, Serikali kama kawaida ya Serikali nyingi za Afrika, watu wasiojali maisha ya mwingine wameamrisha matumizi ya...
  12. Sakata la Mpina na Kinachoendelea Kenya: Kila Mtanzania Anamlaumu Mwenzie

    "Kila mtanzania analaumu watanzania wengine ni wajinga hawaleti mabadiliko, na hao wanao laumiwa nao wanalaumu" - min -me Kwa takriban juma zima sasa suala la kashfa ya sukari ime trend sana kwenye mitandao ya jamii na JF ikiwa ni moja wapo. Hatimaye sakata la sukari likiwa linaendelea...
  13. M

    Bila kuwa na katiba mpya itakayoondoa wabunge vilaza tutegemee migomo zaidi au pengine maandamano kama ya Kenya.

    Hii sio wiki nzuri kwa nchi zetu za Afrika Mashariki hasa Tanzania na Kenya. Wakati Kenya wanaandamana kihuni kupinga kupitishwa kwa sheria mpya ya fedha huku Tanzania kuna mgomo wa wafanyabiashara. Hawa wafanyabiashara wana hoja kadhaa za msingi ingawa pia wanazo hoja zingine za kipumbavu...
  14. D

    Ikitokea kenya wakachoma mabank zikiwemo pesa hasara inakuwa ya nani na nani atalipa?

    Hili swali nimejiuliza sana mana wanakoelekea wanaweza kucoma.mabank.
  15. D

    Wakati Kenya wakiharibu nchi yao wenyewe, acha sisi tupambane na maisha

    Wakati Kenya wanaendelea kuharibu Taifa lao kwa upumbavu wa vijana wachache, sisi tuendelee kujenga Taifa letu. Kuna watu hasa Chadema wanawaza kuna siku nchi yetu itakuwa kama Kenya, niwaambie tu “HAIWEZEKANI”, hii ni kutokana na sababu nyingi hasa za Kisayansi, Kijamii na hata asili ya siasa...
  16. Yanayotokea Kenya ni matokeo ya Viongozi kutokusikiliza matatizo ya wananchi na kujiona wao ndiyo kila kitu

    Wakenya walianza kulalamika mda sana kuhusu Zakayo kusafiri sana kutafuta mikopo lakini maisha yao bado ni magumu. Vijana wako mtaani mambo yao ni magumu ajira hamna, mazingira ya biashara ni magumu, hawasikilizwi, wakilalamika viongozi wanajifanya viziwi. Viongozi kutwa kucha kupitisha...
  17. Rais wa Kenya Dr.William Samoe Ruto ni chuma imara zaidi ya hayati daniel arap moi alie wahi kua raos wa taifa hilo

    miongoni mwa marais Imara sana, wenye nguvu, ushawishi na maono ya mbali sana, na wasio tikiswa kisiasa nchini Kenya kwa wakati huu, na anae enjoy mass support, technical and economic support ya makundi mbalimbali, ya kitaifa na kimataifa ni pamoja na Dr. William Samoe Arap Kipchirchiri Ruto...
  18. Vijana wa Tanzania tutajifunza mengi Kenya lkn siyo maandamano na kuharibu mali

    Uvumilivu hata katika kipindi kigumu Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika. Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine...
  19. TEARS VIDEO: Hii Inaweza Kukupa Taswira kwa Nini Watanzania Mnanyimwa Elimu

    Naona kabisa kwa nini Elimu inakupa nguvu na uelewa katika maisha yako. Hawa kina mama wapewe ulinzi popote walipo na natamani waje wafanye indoor conference na seminars kwa wamama wa tizii!.
  20. Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

    Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. https://x.com/Murangoanalyst_/status/1805642997469495590?t=80emWWWphzY2QaF_rYH1Xw&s=19
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…