kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Prezzo kutoka Kenya amelazwa katika Hospitali ya Karen baada ya kunyweshwa dawa na kubakwa na wanawake watatu. Mwenywe akanusha vikali

    Mwanamuziki wa kutoka Nairobi Jackson Ngechu Makini maarufu kama 'Prezzo' anadaiwa kufikishwa katika Hospitali ya Karen baada ya kudungwa sindano yenye dawa za kulevya kisha kubakwa na kundi la wanawake katika chumba cha hoteli inayopatikana katika Jiji la Nairobi. Aidha, taarifa kutoka polisi...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Kakamega County rising

    Kakamega county in western Kenya has experienced immense growth since the launch of the devolved units of government. Currently it hosts the headquarters of the American multinational One Acre Fund (Branches in Rwanda, Uganda,Tanzania and African HQ in Kakamega,Kenya with majority of country...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa sekondari wameripotiwa kuumwa kutokana na Kemikali wanazotumia kufanyia mitihani

    Wanafunzi wengi wa sekondari nchini Kenya wameripotiwa kuumwa kutokana na athari wanazozipata kutoka katika kemikali wanazozitumia wakati wa kufanya mitihani ya vitendo (Practical exams) inasemekana kuwa wakati serikari ya kenya ikipuuza ripoti hiyo Umoja wa Waalimu wa Shule za Msingi...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wananchi wenye hasira wamshambulia Kijana baada ya kumuua Mama yake kwa Panga

    Kijana James Otumi Kamlusi 32,amekimbizwa katika hospitali ya baada ya kushambuliwa na wananchi wenye hasira kali kwa kosa la kumuua Mama yake kwa kumkata mapanga. Inasemekana kuwa katika hali isiyotarajiwa kijana huyo wa kijiji cha Lukame alimuua Mama yake Bi Magreth Tsikughungu 63, kwaa...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Kenyan high performance shoe manufacturer to take on the big boys

    Kenya’s First Sportswear Company Enda Secures Seed Funding Enda, Kenya’s first high-performance shoemaker, announced its seed funding on Monday. The start-up secured an undisclosed amount from Umoja Rubber Products and Mizizi Capital to accelerate its international growth. A statement from...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapitisha faini ya Kshs 500,000 kwa yeyote atakayetoa taarifa binafsi za wateja

    A public officer who shares personal data with a third party without permission risks a fine of Sh500,000 or two years in jail or both. This is after President Uhuru Kenyatta signed into law the Data Protection Bill of 2019. Signed on Friday, the law provides for the legal framework for the...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amazon To Set Up Edge Location in Kenya

    Amazon To Set Up Edge Location in Kenya Amazon Web Services, the cloud computing arm of US E-Commerce giant Amazon has announced plans to establish a new edge location in Nairobi. The new addition will be Amazon’s third location in Africa in addition to the other two in South African cities...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ranked top in emergency care

    Kenya ranked top in emergency care Rawlings Otini 05th Nov 2019 06:00:00 GMT +0300 Kenya has beaten several African countries to emerge second in its preparedness to respond to deliberate or accidental national health threats with the potential to wipe out humanity. However, the Global...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Hosts Construction Industry Expo.

    A three-day international conference and exhibition showcasing cutting-edge technologies in the construction sector whose growth has accelerated amid conducive policies and rising incomes kicked off in Nairobi on Tuesday. The event, dubbed the Big 5 Construct Kenya 2019, attracted more than 200...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pemba is in Kenya if we are to follow Somalia's claim on boundary

  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya to construct a desalination plant in Turkana County.

    The government of Kenya through the Turkana County Government is in talks with Almar Water Solutions, a Spanish provider of specialist expertise and solutions in water infrastructure development, for the construction of a water desalination plant at the Lotikipi basin aquifer. According to Tito...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya and Uganda set to upgrade Suam Border Point.

    The governments of Kenya and Uganda are set to upgrade the Suam border point as they aim to ease pressure on Busia and Malaba borders. According to the Uganda Revenue Authority (URA) regional customs manager James Malinzi, the move is aimed at developing the capacity to control the borders. The...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu - Kenya: Mahakama inahujumiwa. Napangiwa njama za kuondolewa madarakani kabla ya Desemba 31

    Jaji Mkuu wa Kenya David Maraga ametishia kususia majukumu yake ya kikazi kufuatia kukatwa kwa bajeti ya mahakama Hivi karibuni serikali ya Kenya ilipunguza zaidi ya dola milioni 30 kutoka kenye bajeti ya mwaka ya sekta ya mahakama , hatua ambayo Bwana Maraga anadai inalenga kudhibiti...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Watu watano wafariki kwa ajali ya gari wakiwa wanaelekea kwenye mazishi

    Watu watano wakiwamo wanawake wanne na mtoto mmoja wameripotiwa kufariki kwa ajali ya gari wakati wakiwa wanaelekea kwenye mazishi. Ajali hiyo ilihusisha Malori mawili pamoja na gari dogo aina ya Saloon. Ajali hiyo imetokea maeneo ya Murula yaliyopo katika njia panda ya Naivasha nchini Kenya...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya's falling economy: Kenyan companies are a huge source of Foreign Direct Investment (FDI) in the region (East Africa)

    Kenya firms invest Sh113bn in E. Africa Kenyan firms have invested at least Sh113.3 billion ($1.1 billion) in East African countries in the last four years, despite concerns that failure to enforce regional double tax treaty has raised the costs for firms. The cash deployed by Kenyan...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya's population stands at 47.6 million; Nairobi most populous county with 4.4 million people. A breakdown

    Kenya’s total population is 47, 564, 296 according to the National Population and Housing Census. Director-General of the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) Zachary Mwangi said, “The population has grown to 47.6 million in 2019 from 37.7 million in 2009 and the intersex population has...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya's Falling economy: Safaricom's half-year net profit up 14.4pc to Sh35.7bn

    Safaricom's half-year net profit up 14.4pc to Sh35.7bn FRIDAY, NOVEMBER 1, 2019 12:14A Safaricom Shop. FILE PHOTO | NMG Safaricom net profit for the six months through September this year jumped 14.4 percent to Sh35.65 billion on strong M-Pesa and mobile data revenue growth that offset a...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya's Falling economy:American tycoons jet into Kenya today in hunt for deals

    NEWS American tycoons jet into Kenya today in hunt for deals MONDAY, NOVEMBER 4, 2019 10:25A section of Nairobi. American officials, accompanied by business tycoons, will jet into Nairobi today to start a packed two-day meeting with government and private sector leaders in hunt for trade and...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Airways staff are Kenyans

    KQ Ni mojawapo ya mashirika makubwa ya Ndege hapa Afrika na pia ndio shirika kubwa katika jumuia ya Afrika Mashariki. Ni kitega uchumi na pia muajiri mkubwa hapa Nchini Kenya haswa kwa marubani na wahudumu Kama vile cabin crew na pia wapakiaji mizigo. Tumeaminishiwa na kina Geza Ulole na joto la...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Spika mstaafu wa Bunge la Kenya awaasa Wabunge na Spika Job Ndugai kuwa wasijisahau kwani kuna maisha baada ya siasa

    Spika mstaafu wa bunge la Kenya amewaambia wabunge wa Kenya mbele ya mgeni rasmi Spika wa Tanzania mh Job Ndugai kuwa waache kiburi na kujikweza kwani kuna maisha baada ya siasa. Spika huyo mstaafu amewakumbusha wabunge hao kuwa wafuasi wao wanaowashangilia leo ndio hao hao watakaowatukana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…