kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Diamond platnumz atawala chart za Kenya na Tanzania Boomplay kwa wanamuziki wa TZ.

    Rf
  2. Benki ya Maendeleo Afrika yatoa mabilioni ya pesa kwa ajili ya ujenzi wa barabara Kenya na Tanzania

    Watu zaidi ya milioni tatu katika nchi za Tanzania na Kenya, watanufaika na Euro milioni 345 kutoka Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kusaidia ujenzi wa barabara. Barabara zitakazohusika ni za Mombasa-Lunga Lunga/Horohoro na Tanga-Pangani-Bagamoyo katika awamu ya kwanza, ikiwa ni asilimia 78.5...
  3. Volkswagen made in Kenya iko wapi?

    Nilisikia kwa muda sasa Kampuni ya Volkswagen Group wamejenga assembling plant nchini Kenya, je tayari wameshaanza uzalishaji? Na ni aina gani ya VW wanaunga unga? Na wanauzia wapi?
  4. Ngorongoro crater ipo KENYA?

    ndege aliyopanda edo kumbwembe
  5. Kenya Among Top Nations in 2020 Global Fintech Ranking

    by Mwakaneno Gakweli December 19, 2019 Kenya bagged 42nd position in the Global Fintech Ranking by Findexable. The country ranked second in Africa, just a few points behind South Africa which took the leading position. Global Fintech Index by Findexable recognized Kenya’s efforts in...
  6. Kenya and Tanzania road construction receives aid from AfDB

    The African Development Bank’s (AfDB) board in Abidjan approved of the US$384.22m financing package for road construction support for the Mombasa-Lunga Lunga/Horohoro and Tanga-Pangani-Bagamoyo roads Phase I (Kenya to Tanzania). It is in the form of the African Development Bank and African...
  7. Newly Married Couple Commits Suicide over Wedding Debt in Kisumu

    Newly Married Couple Commits Suicide over Wedding Debt in Kisumu Two families in Kisumu are mourning their two children who together committed suicide 4 days after their beautiful wedding. According to Sources, the newly married couples allegedly killed themselves because of the huge debt they...
  8. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Prof. Odek akutwa amefariki nyumbani kwake

    Jaji wa Mahakama ya Rufaa Kenya, Prof. Otieno Odek amekutwa akiwa amefariki jumatatu asubuhi nyumbani kwake Kisumu nchini Kenya. Inaelezwa kuwa timu ya wataalamu wapo eneo la tukio kwa uchunguzi wa kina kabla ya kupeleka mwili wa Prof. Odek mochwari. Marehemu alikuwa anaishi peke yake na...
  9. Kwanini mwanamuziki huyu wa Kenya anataka ulinzi?

    Msanii wa Kenya King Kaka anataka ulinzi baada ya watu wasiojulikana kutoupokea vema wimbo wake mpya unaokemea maovu ikiwemo rushwa. King Kaka amabye jina lake halisi ni Kennedy Ombina, mwishoni mwa juma alitoa video ya wimbo aliouta 'Wajinga Nyinyi', akikosoa maovu miongoni mwa jamii ya...
  10. Kenya on course to achieve universal access by 2022

    Kenya is on course to attain universal access to electricity with every home and business connected to the grid by 2022, according to a new report. This is in stark contrast to many Central African countries for which this is an unattainable feat in the near future. The report by the...
  11. Kenya: Investors in renewable energy apply for licences to produce 4000 MW (4GW)

    Power producers have made new offers to develop electricity plants that could double Kenya's generating capacity. Different companies had as of last year applied for licences to develop power plants that would use renewable energy sources with a capacity to produce over 4,000 megawatts (MW) of...
  12. C

    Wimbo wa King Kaka wa Wajinga nyinyi!!! (Kenya)

    Kenya rapper King Kaka has released a song on Saturday, December 14, mocking Kenyan politicians. "Washenzi....."! "Politicians wana ujinga za kila aina...."!
  13. Fire fighter wa Kenya

    Wanazima moto wa gesi kwa maji😀😀😀
  14. Meanwhile pale South Africa Kenya inatawala

    Samoa na Australia wamepokea kichapo cha mbwa kutoka Kenya
  15. Construction of cruise ship terminal in Kenya complete

    Construction of the cruise ship terminal in Kenya is complete. The Kenya Ports Authority (KPA) Daniel Manduku revealed that the facility is set for commissioning next week. “The ultra-modern cruise terminal is ready to be officially handed over to the Port of Mombasa management on December, 16...
  16. Shamba la Bibi: Mradi hewa wa Itare dam wawagharimu Wakenya KSh 4.3b

    Advance pay for Itare dam set up Kenyans for losses The site in Kuresoi South, Nakuru County, where Itare Dam was supposed to be built. The image was taken on September 17, 2019. PHOTO | FILE | NATION MEDIA GROUP The government may have set up taxpayers for a Sh4.3 billion loss by offering...
  17. J

    Kenya Mahakama ya mafisadi ipo kazini, Tanzania tunafeli wapi?

    Niko naangalia mubashara mwenendo wa kesi ya ufisadi inayomkabili Gavana Sonko wa jiji la Nairobi na wenzake wanaotuhumiwa kufisadi fedha za serikali kwenye manunuzi ya umma. Tukio hili linarushwa live kupitia Citizen Tv. Hapa Tanzania tunayo mahakama ya mafisadi lakini sijaisikia ikiendesha...
  18. Kenya is truly a failed country

    Danish Brewing Company E.A Limited is planning to set up a KSh4.59 billion production facility to cement its position in Kenyan Market. Moreover, the firm has intensified expansion plans with the new facility having a capacity of 12-15 million bottles annually. Danish Brewing – subsidiary of...
  19. J

    Maridhiano ya kisiasa huishia kwa kugawana vyeo na si kuleta maelewano ya wananchi mfano ni Zanzibar na Kenya

    Wananchi wanaouliza Chadema wanataka maridhiano ya kitu gani wana hoja ya msingi sana kwa sababu anayeombwa maridhiano ni serikali. Ile ilikuwa ni sherehe ya serikali ndipo Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akasema wao wako tayari kwa maridhiano na kumwomba Rais na Amiri jeshi mkuu...
  20. Kenya attracts Google after launching Africa's biggest project

    President Uhuru Kenyatta continues to spread his influence across the globe after one of the largest technology companies in the world expressed interest in investing in his project that emerged as the biggest in Africa. American multinational technology company, Google, was reportedly...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…