kenani kihongosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kihongosi: Mtu yuko nje ya Nchi anakwambia andamana na wewe unaingia barabarani unafanya uhalifu, hii haikubaliki. Niongelee watu kufa kwenye nini?

    Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa CCM akiwa LIVE instagram, "Mtu yuko nje ya Nchi anakwambia andamana na wewe unaingia barabarani unafanya uhalifu, hii haikubaliki, lazima tulinde amani yetu. Niongelee watu kufa kwenye nini..?! wewe mbona hujafa..? maana yake ulitulia nyumbani kwako"
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kihongosi: CCM imebeba matumaini ya Tanzania

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 27, 2025 Mkoani Mwanza ameeleza namna ambavyo Chama cha Mapinduzi (CCM) inaaminika na wananchi kwa kusikiliza na kutekeleza shida na...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kihongosi: Tuheshimu vyombo vya ulinzi na usalama, kama kuna matishio tuwasilishe kwenye vyombo husika

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amewataka Watanzania kudumisha mshikamano na kulinda umoja wa kitaifa kwa kuheshimu vyombo vya ulinzi na usalama. Akizungumza leo Oktoba 05, 2025 katika ukumbi wa White House jijini...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kenani Kihongosi: Vijana tulinde Amani na Utulivu, tusishawishiwe kuingia kwenye Vurugu na Fujo

    Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka Vijana kulinda Amani na Utulivu siku ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025 na kujiepusha na kuingia kwenye Vurugu na Fujo akidai kuwa Amani yetu ndiyo Maendeleo yetu.
  5. Common Folk

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kenani Kihongosi: Kusafirisha watu ni hoja dhaifu hatuna muda kuijibu

    Hapa inaonekana hakuna proper communication flow kati ya wana kampeni. Ina maana huwa hawafanyi briefing kuambiana nini cha kujibu na nini siyo cha kujibu!
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kihongosi: Vijana wa nchi hii watambue wana wajibu wa kujiunga CCM

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amesema, "Vijana wa nchi hii watambue wana wajibu wa kujiunga CCM, pia wana wajibu wa kujua matumaini na matarajio ya maendeleo tuliyofikia leo yametokana na Chama hiki, kwasababu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Dk Asha Rose-Migiro, Kenani Kihongosi ni wa Kimkakati huenda wakatenguliwa baada ya malengo kutimia

    CCM imemteua Dk Asha Rose- Migiro, kuwa Katibu Mkuu wake kuchukua nafasi ya Dk. Emanuel Nchimbi, Mgombea Mwenza wa Mama Samia. Aidha Chama hicho kimemteua Kenani Kihongosi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi. Mabadiriko haya ni ya Kimkakati zaidi kuelekea Uchaguzi Mkuu...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo akichukua nafasi ya Amos Makalla

    Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, imemteua Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho kuanzia Agosti 23, 2025. Uteuzi huo umetangazwa baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika jijini Dodoma, chini ya uongozi wa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Asha-Rose Mtengeti Migiro ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Achukua nafasi ya Balozi Nchimbi

    Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa imemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ambaye ni Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Sisi ndio nchi pekee yenye amani EAC " - Kenani Kihongosi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Laban Kihongosi, amewataka wamiliki na wafanyakazi wa saluni jijini Arusha kufanya kazi kwa bidii, kutunza kipato chao, na kuendelea kuishi kwa mshikamano na amani, hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza na wamiliki na wafanyakazi hao...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Simiyu amwita Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bariadi kusoma bibilia, maandiko ya Utiifu wa Mamlaka

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi alimwita mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Bariadi, Moga kusoma Maandiko yanayoelezea Utiifu wa Mamlaka katika Nchi Hayo yamefanyika Katika Kikao cha Kamati za Amani Viongozi wa Dini, Viongozi wa vyama vya Siasa,Viongozi wa Mila pamoja na Wananchi. Mkuu...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Kihongosi: Hatuitaji vurugu Simiyu, wazazi waambieni vijana wenu

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Laban Kihongosi amewataka Wazazi Mkoani humo kuwaepusha na kuwakanya Vijana wao kujiepusha na wanasiasa wanaotaka kuwatumia kuvuruga na kuharibu amani ya Tanzania hususani ya Mkoani Simiyu, akisisitiza umuhimu wa amani kwa maendeleo ya Mkoa wa Simiyu. Kihongosi...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Simiyu afanya matembezi ya kumuombea Rais Samia na Taifa. Chawa kazini kujihakikishia nafasi!

    Wakuu, Harakati za kujikomba na kulamba miguu zinazidi kupamba moto. Kenani Kihongosi ameongoza kupe wenzake kumuombea Rais Samia, taifa liwe na baraka tele. Ni mwendo wa kujiweka karibu na Rais na kusikika kadri iwezekanavyo ili usisahaulike kwenye ufalme wa bwana, teh teh ufalme wa mama😂😂...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Simiyu: RC Kihongosi ahamasisha Wananchi kujitokeza kupiga Kura na kuepuka kusalia Vituoni

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaasa wakazi wa mkoa huo kuendelea kujitokeza kwa wingi katika vituo vya kupigia kura katika mitaa yao ili kuchagua viongozi watakaowaongoza katika mitaa yao. Akizungumza baada ya kupiga kura katika mtaa wa Sesele uliopo kata ya Nyakabindi wilayani...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Said Mtanda amepwaya Mwanza, impendeze Rais atuletee Kenani Kihongosi ambaye sasa yuko Simiyu

    Mkoa wa Mwanza ni mkoa "injini", kama ni timu, basi mwanza ni " Kiungo mchezeshaji".Kwa Kanda ya ziwa, Mwanza ikipiga chafya, mikoa jirani lazima nguo zipeperuke kutokana na upepo. Hakuna mtu aliyejipata wa Kanda ya ziwa asiyewekeza Mwanza. Mkoa unahitaji damu changa ya amsha amsha. Mkoa una...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi kama ifuatavyo: 1. Amemteua Bw. Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Kabla ya uteuzi, Bw. Kihongosi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba. Bw. Kihongosi anachukua nafasi ya Dkt. Yahaya...
  17. Almalik mokiwa

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Hotuba ya Kenani Kihongosi Chuo Kikuu Mzumbe (Morogoro)

    Anaandika Almalik Mokiwa Tarehe 4/02/2023 katibu mkuu wa vijana UVCCM, Kenani Kihongosi alitembelea chuo kikuu Mzumbe kuzungumza sera na itikadi za chama cha mapinduzi (CCM) Waliohudhuria walikuwepo wanachama wa CCM na wasio wanachama. Nilikuwepo kujifunza nikiwa kama muumini wa "Nyutro gang"...
  18. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Bila Bashiru na Polepole, Kenani Kihongosi asingekuwa hapo alipo

    Ama kweli mkuki uusafishao kila siku ndiwo wenye kuweza kukujeruhi hapo siku za mbele. Kenani Kihongosi ni jina lililopendekezwa na Polepole kwa Bashiru ili lipelekwe Ikulu kwa Mamlaka za juu ili pamoja na yote aweze kuwa miongoni wa Wakuu wapya wa Wilaya kupitia nafasi za upendeleo kwa UVCCM...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania UVCCM mngemlaumu zaidi adui yetu huyu badala ya Dkt. Bashiru Ali, ningewaona mna akili timamu

    UVCCM hebu niambieni GENTAMYCINE hivi kweli Dk. Bashiru Ali ni Adui yenu Kumzidi Adui Mkuu huyu wa Watanzania wote aliyeko CCM? 1. Fisadi na Mficha Hela za Misaada 2. Mlevi wa Wine na Muhuni 3. Mdini kupita Maelezo 4. Mbinafsi wa kupenda 5. Mlipiza Kisasi kwa Aliyemtangulia 6. Mpumbavu...
  20. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Simpendi Dkt. Bashiru, lakini kwa hili namuunga mkono

    Hakuna asiye juwa kasia aliyetuleteaa bashiru akishirikina na jiwe ktk kukandamiza democracia na kudidimiza utawala bora, utawala unayo fata sheria. Bali wao na jiwe waliteka nchi nzima na kutaka kumiliki CCM na serikali yote madudu ni mengi sana wamefanya sitaki nijikite uko. Kwa hili alilo...
Back
Top Bottom