kemikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Israel yadai Iran inatengeneza silaha za kemikali!

    🚨 Israel imeshiriki taarifa za kijasusi na Marekani zinazoonyesha kwamba Iran inatengeneza silaha za kemikali kwa ajili ya matumizi yanayowezekana dhidi ya Israeli na nchi zingine katika Mashariki ya Kati, kulingana na Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz. Katz pia alifichua kwamba: ▪️ Iran...
  2. Wanasayansi wa Harvard wagundua kemikali zinazoweza kurudisha nyuma uzee wa seli za binadamu – Je, siku moja tutakuwa na kidonge cha kurejesha ujana?

    Sasa watafiti wanachunguza uwezekano wa kutumia kemikali badala ya kuingiza jeni kwa njia ya tiba ya vinasaba (Gene Therapy). Sababu ni kwamba kemikali zinaweza kuwa rahisi zaidi kutengeneza na kutoa kama dawa kuliko tiba inayohitaji kuingiza jeni mwilini. Maana ya kisayansi: Je, kweli uzee...
  3. O

    Jinsi Kemikali zinavyotumika kutengeneza Maziwa bandia yanayouzwa kwa Wananchi

    Wakenya wameonywa kuhusu hatari ya kutumia maziwa bandia yanayotengenezwa kwa kuchanganya kemikali na vitu vingine ili kutengeneza kimiminika cheupe kinachofanana na maziwa halisi. Video inayosambaa mitandaoni inaonyesha namna unga na vimiminika vinavyochanganywa ndani ya chombo na kutengeneza...
  4. E

    Serikali imechukua hatua gani kwa hatari hii ya kemikali?

    Uchunguzi wake, gazeti la Nipashe kuhusu uhifadhi wa kemikali ya Ammonium Nitrate katika ghala la Donito Investment Limited, eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam, unaibua maswali mazito kuhusu uwajibikaji wa taasisi za serikali, usimamizi wa vibali na usalama wa wananchi wanaoishi karibu na...
  5. G

    Utafiti unaonyesha jinsi saratani ya tezidume unavyobadilisha mfumo wa kemikali mwilini ili dawa isifanye kazi

    Kama kawaida yetu, tunaangaza afya ya Tezidume… hii mpya ya leo Uvimbe wa saratani ya tezidume unaweza kubadilisha mfumo wa kemikali wa asidi ya amino (amino acid metabolism) ili kuondoa vizuizi vya kawaida vya utengenezaji wa lehemu (cholesterol), mchakato ambao unaweza kuchochea uwezo wa...
  6. E

    GCLA: Dereva anayesafirisha kemikali bila kupewa mafunzo faini Tsh500,000

    Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imewataka madereva hao kupata mafunzo ili kuepuka madhara kwao na kwa watu wengine. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Huduma za Udhibiti wa GCLA, Daniel Ndiyo leo Julai 3, akisema dereva anayesafirisha kemikali bila kupata mafunzo anafanya...
  7. M

    Shabiby: Viwanda vya Juisi vinaweka picha ya tunda kumbe vinaweka kemikali

    Wakuu kumbe Viwanda vinavyotengeneza Juisi huwa hawatumii matunda hata kidogo bali ni kemikali tupu, na wanatuwekea picha za matunda. Hayo maneno yamesemwa na Mbunge Shabiby Bungeni, Mei 22, 2026. Hatari sana,
  8. Njooni tujichange twende Tanga tukajenge kiwanda cha kemikali za Mafuta (Petrochemical Plant) Malighafi tutachukua kwenye kiwanda cha kusafisha mafuta

    Habari wakuu, Najua unaweza kuhisi kama ni swala la utani, lakini nataka niwambie huu sio muda wa kuleta utani tena kila tunapo ona fursa. Mimi kwangu naiona fursa ya biashara ya kujenga kiwanda kikubwa cha kuchakata kemikali za mafuta (Petrochemical Plant) jijini Tanga. Yaani fursa ipo hapa...
  9. Sina uhakika kama Polepole hatagusa suala la B.O.T na gari la Kemikali

    Akifika hatua Hii watu watapigwa mawe
  10. Kemikali zinazowekwa katika bidhaa za viwandani hutolewa wapi?

    Kwenye vyakula, vinywaji, vitafunwa nk, huwekwa kemikali kwa sababu fulani, moja wapo ni visiharibeke kwa haraka. Sasa swali langu ni kwamba hizi kemikali au malighafi yanayotumika kutengeneza hizi kemikali kutolewa wapi? Kwenye miti, ardhini, majini ama ni wapi? Mkawe na asubuhi njema.
  11. G

    Mahitaji ya kemikali za kuchenjulia dhahabu.

    Wakuu habari. Kama kichwa Cha habari hapo juu Mimi ni kijana ninaye jishugurisha na uuzaji wa kemikali kwa ajili ya kuchenjulia dhahabu. Napatikana Mkoa wa Mbeya wilaya ya Chunya! Najua humu Kuna watu Wana uhitaji wa hii huduma usisite kunitafuta nikuhudumie. Karibuni sana!! Mnisaidie nisirudi...
  12. Jipatie vifaa vya maabara, Reagent za maabara, kemikali za viwandani, Vifaa vya kutibu maji (Water treatment consumables) Kwa bei rafiki

    Kama unamiliki taasisi ya afya, maabara, kiwanda, chuo kikuu, au unahusika na huduma za matibabu ya maji(water treatment)— Alphacia Limited ni chaguo sahihi kwako Tunahusika na usambazaji wa: 🧪 Reagents za Maabara (Lab Reagents) 🔬 Vifaa vya Maabara (Lab Equipment & Instruments) ⚗️ Kemikali za...
  13. Mbinu za asili za kupambana na wadudu/visumbufu kwenye mimea. Kataa kemikali

    ZIFUATAZO NI MBINU ZA ASILII ZA KUPAMBANA NA WADUDU KWENYE MIMEA. 1.PILIPILI KALI Hii ni Moja ya dawa asili ambazo zimekuwa zikitumika na kuleta matokeo Mazuri sana. JINSI YA KUTENGENEZA ...gramu 55 za pili pili ..kata vipande vidogo chemsha kwenye maji kwa dakika 20 maji yawe lita 5...
  14. PreGE2025 Wasiojulikana wavamia Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyasa na kumwaga sumu eneo lote kwa lengo la kuwaua Viongozi na Wanachama

    Wakuu! Sumu hiyo inaripotiwa kusababisha maumivu ya pua, kichwa, macho na koo. OCD wa Mbeya na timu yake walifika mapema kuchukua sampuli. Wapo wanaodai huu ni mkakati wa kisiasa kutumia kemikali hatari.
  15. Kibaiolojia ni kwamba tumeundwa na kemikali mbalimbali ambazo tunakula ili kubakia hai

    Kwa hiyo tulivo kifikira na tofauti zetu zote zinakuja kutokana na chemikali zinazofanya kazi kwenye maisha yetu, japo primarily tunafanana kwenye uwepo wa hizi KEMIKALI katika miili yetu japo viwango vinatofautiana pia. Sasa mimi najiuliza hakuna mtu mwenye mamlaka aliyesitukia hili suala la...
  16. U

    Tanga mihogo ina kemikali hatari ya sayanaidi inaathiri mishipa ya ufahamu mwilini hasa macho

    Wadau hamjamboni nyote? Wakazi wengi Tanga wameathirika macho yao kutokana na ulaji mkubwa wa mihogo
  17. B

    Orodha ya silaha za asili ( Za kibaiolojia na kemikali) kujilinda dhidi ya vibaka wa nyumbani

    1. Mafuta ya kula : Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi. Usiku wakivunja wewe wamwagie na hayo mafuta ya moto usoni. Wanaweza kufa hapo hapo wote na watakao...
  18. Kemikali batilifu ni nini?

    Kemikali hizi zinadaiwa kuharibu vijana je hivi ni vitu gani?
  19. Umuhimu wa Kutumia Deodorant za Asili kwa Afya ya Mama na Mtoto: Ulinzi Dhidi ya Kemikali Hatari

    Naitwa Dr. Elizabeth Kilili, a.k.a. Mama ZOAZOA, ni mkurugenzi wa Grace Products Limited. Leo nina somo fupi ambalo nataka tuangazie afya ya mama pamoja na mtoto, nikizungumzia kitu kinachoitwa deodorant. Deodorant ni nini? Deodorant ni bidhaa ambayo hutumika kupunguza au kuondoa harufu mbaya...
  20. SACP George Katabazi: Sekta binafisi Zitoe Elimu ya usafirishaji Salama wa kemikali hatarishi ya sodiam sayanaidi kwa Wafanyakazi

    Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), George Ķatabazi amesema sekta binafsi bado ni changamoto kwenye kutoa elimu kwa Wafanyakazi wao na jamii inayowazunguka juu ya madhara ya kemikali na jinsi ya kuepuka madhara hayo yasitokee. Hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…