keki ya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Salome: Keki ya Taifa ni ndogo sana, lazima muwe na mwakilishi makini wa kuipigania Bungeni

    Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema keki ya taifa ni ndogo sana, hivyo wananchi wanapaswa kuchagua viongozi makini wenye uwezo wa kuipigania ili kuhakikisha maendeleo yanafika katika maeneo yao. Akizungumza na wananchi wa Musoma, Mkoani Mara Julai 4, 2026 kwenye ziara ya Waziri...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa taifa lina mpasuko mkubwa sababu WanaCCM mtandao wamegeuza keki ya taifa kuea mali yao na kesi ya Lissu imeongeza chuki dhidi ya watawala

    Hakuna mtanzania anaefurahia huu utawala kwa amani. Wengi wanafurahia kwa shingo upande na unafiki. Angalia hata hao wanaCCM makabwela ambao hudanganywa kwa baiskeli na tisheti safari hii hawautaki huu utawala wa CCM. Kesi ya Lissu inazidi kuligawa taifa sababu kila mtanganyika mwenye akili...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tafiti zinaonyesha kuwa Watanzania wengi wanamsongo wa mawazo sababu ya utawala wa CCM chini ya rais Samia. Keki ya taifa anafaidi yeye na watu wake

    Leo Bungeni ni Mkwilima wake ndio ameutangazia umma kuwa Watanzania hasa Watanganyika kuwa wana stress na msongo wa mawazo. Kwamba wameshadata. Utaaje kudata kudata wakati wewe huwezi kupata milo hata miwili? Rais na familia yake na hata wakwe zake wanafaidi keki ya taifa? Hii nchi ni mali ya...
  4. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ninapendekeza Kupanua Mamlaka ya Mikoa: Njia ya Kugawana Keki ya Taifa Bila Kuvunja Sahani ya Umoja

    Kuna mawazo ambayo hayazaliwi kwa makelele ya mikutano, bali kwa ukimya wa tafakuri ndefu. Mimi nimefikia hatua ya kuamini kuwa moja ya matatizo makubwa ya Tanzania si ukosefu wa rasilimali, wala si ukosefu wa watu wenye nia njema; tatizo letu ni mahali tulipoamua kukusanya mamlaka...
  5. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Wale tunao struggle kila mmoja amuulize "dingi" yake kua alikua wapi hizi royal families za nchi zikiwa zinaandaa mazingira ya kula keki ya taifa

    Niko hapa naangalia hii mikeka ya chama Cha tawala forever, halafu wakati naangalia hapa huku nikiwa nacheka kwa uchungu naskia nyimbo ya mwamba Profesa Jay na Stamina Embu kila mtu anae struggle amuulize mzee wake leo na kila mtu aweke jibu hapa, kwamba wakati ule Hawa wanawekwa mazingira ya...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Tuache masihara keki ya taifa ni tamu, nini kimewatoa makamu wa Rais na waziri mkuu ?

    Nini kinaendelea Tuache masihara keki ya taifa ni tamu, nini kimewatoa makamu wa Rais na waziri mkuu ?
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Suala la kuongezwa majimbo maana yake ni kwamba CCM wanachowaza ni namna gani wale keki ya Taifa bila papara

    Hello! Kwa idadi ya watu katika majimbo, kwa muundo wa kijiografia na kuibuka kwa wagombea wapya ndio sababu kuu ya kuundwa kwa majimbo mapya. Watanzania wenzangu nawaonea huruma sana. Mimi nanufaika na kodi za Watanzania hata kama kwa kamba fupi niliyonayo. Hiki chama ni hatari kwa ustawi wa...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kipande cha keki ya taifa kinakufikia au wote tuvizie fomu?

    Tunaimbiwa wimbo wa nchi yetu kuwa na maendeleo ya kila uchwao huku tukisikia taarifa kuwa uchumi unapanda, wengine tukisikia tunajua huenda keki ya Taifa itafika na kwetu angalau tuache kupiga miayo tukiiwaza siku itaishaje baada ya asubuhi na mchana kupita pakavu yaani bila bila. Cha ajabu...
  9. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Je viongozi wengi kuwaponda vijana ni mbinu ya kuwanyong'onyeza ili waendelee kula keki ya taifa peke yao?

    Kumponda kijana, kumvunja moyo na kumtamkia kauli za kumkatia tamaa ni kushambulia uti wa mgongo wa taifa. China imepromote vijana, hadi leo ndio nchi inayoongoza kuwa na malaki ya mabilionea under 30. Tukumbuke wakina Nyerere, Salim etc walianza kung'aa wakiwa vijana. Kumeibuka kundi la...
  10. Abdulaziz Sadallah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameletwa na Mungu. Harufu ya keki ya taifa tumeanza kuihisi katika pua zetu

    Amani iwe juu yenu Watanzania wenzangu! Nimeitafakari vya kutosha nchi yangu mpaka hapa ilipo. Hakuna awezae kuzuia kifo isipokua ni Mungu pekee, raisi wangu mama yetu ameingia madarakani kikatiba baada ya kufariki kwa aliyekuwa raisi wetu John. P. Magufuli, jambo hili linatosha kuthibitisha...
Back
Top Bottom