kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Mbona sisikii tena kauli mbiu ya Hapa kazi Tu?

    Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Tano hapa kazi tu ilienda wapi ilifia wapi? Mbona siku hizi siisikii popote? Hii kauli mbiu hapa kazi tu iliasisiwa na kipenzi cha wa Tanzania JPM ili kuwa kauli ya uhamasishaji na waliitendea kazi kweli kweli. Jamani anayejua ilipo ajitokeze a niambie hapa kazi...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesomea Uandishi na Utangazaji wa habari

    Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya uandishi na utangazaji wa habari. Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo dar es salaam wilaya ya ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Asanteni 🙏
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nina elimu ya kidato cha nne, natafuta kazi

    Ndugu zangu natafuta kazi yeyote ya halali mim ni me(24) elimu yangu 4m4 ninaujuzi wa computer napatikana dar mawasiliano yangu 0783090144
  4. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza laptop HP probook used as new

    HP PRO BOOK core i5 Generation 4 Ram 4 GB 2.60GHz Window 11 pro 500 GB Cd door WiFi Bluetooth price 390,000 Call 0692562259
  5. JamiiForums Tanzania CRDB kupitia SIMBANKING imefeli kabisa kufanya kazi vizuri

    Habarini Wadau, CRDB benki kongwe na yenye Qateja lukuki hapa nchini inakera sana na sasa haiaminiki tena katika huduma yake ya SIMBANKING Wiki mbili zilizopita nilienda kwa Wakala ili kutoa kiasi flan cha pesa, ilikuwa ni asubuhi saa 3, ila kila ukijaribu kufanya transaction kwa njia ya...
  6. JamiiForums Tanzania Usibebe Mzigo Peke Yako

    Usibebe Mzigo Peke Yako 1. Usihifadhi hisia zako mbaya moyoni bila kushirikisha mtu. 2. Tafuta msaada unapohisi kuzidiwa na matatizo. 3. Ongea na marafiki au familia unapokutana na changamoto kubwa. Ukweli ni kwamba... 1. Kunyamaza na kubeba mzigo peke yako kunaweza kuathiri afya yako ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI Dodoma Kuna nini, naomba kujuzwa wadau

    OR TAMISEMI, Dodoma kuna nini, naomba kujuzwa wadau. Mimi ni mmojawapo wa watumishi niliopata uhamisho toka kwa Katibu Mkuu TAMISEMI, nikihamia HALMASHAURI nyingine. Cha kushangaza, tangu kuripoti kituo kipya mwezi Oktoba 2023, bado CHEKI namba kwenye MFUMO wa UTUMISHI (ESS) inasoma kwa Mwajiri...
  8. JamiiForums Tanzania Askari wanne wafukuzwa kazi kwa kufuta picha za kwenye kamera ya mwendokasi

    Mtakumbuka Mei 30,2024, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa ya kushikiliwa Askari Polisi wanne (4) kwa ajili ya uchunguzi. Askari hao walikuwa wanafanya kazi kitengo cha usalama barabarani Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro. Baada ya uchunguzi kukamilika ilibainika kuwa, askari hao walikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mtaalam wa Afya ya Uzazi: Mimba za Watoto wa Kike 'Style ni ya Mende' na za Watoto wa Kiume 'Style ni ya Bong'oa' hivyo Kazi Kwenu sasa mnaowatafuta

    " Ukitaka kupata Mtoto wa Kike hakikisha Mwenza wako ( Mke au Mpenzi ) ukiwa unafanya nae Mapenzi hafiki Kileleni ( yaani Wewe Mwanaume wahi Kumwaga ) kwani ukifanya hivyo utafanya zile Mbegu za Kiume za Y za Mwanaume zisigusane na X za Mwanamke. Lakini pia ukitaka kupata kirahisi Mtoto wa Kike...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Bado natafuta kazi

    Wakuu nipo hapa tena mbele yenu bado natafuta kazi sehemu yeyote ile viwandani na sehemu nyiginezo naamin kupitia jukwaa hili mtanisaidia ombi langu wenye connection sehemu mbali mbali naombeni mnisaidie kwa hili sichagui kazi japokuwa nimesoma.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uvumbuzi wa zana za kisasa kurahisisha kazi; Je, muda na masaa ya kazi yatabaki yalivyo?

    Nimejiuliza sana na wewe unaweza jiuliza kidogo , unatumia masaa mangapi kufanya kazi, kwa mfano wewe ni mwalimu unatumia muda gani darasani,kusahisha na kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi, je kazi unazofanya ni fair utoke asubuhi hadi saa Tisa unusu , nimejitafakari nimegundua per day nafanya...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za kuchomelea (Welding)

    Wakuu, natumai wazima. Nimekuja kwenu kwa niaba ya mjomba wangu. Mjomba wangu anahitaji kazi, nafasi ya welding. Ana uzoefu wa kufanya kazi kawaida na viwandani zaidi ya miaka minne. Ni kijana wa miaka 30 na ana uzoefu wa kufanya kazi Tanzania na Afrika Kusini katika kazi za kawaida na...
  13. JamiiForums Tanzania Msinicheke jamani, nina miaka 45, kazi sina, mke sina, naishi nyumbani kwa wazazi ila sipendi

    Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu. Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea. Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne. Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu Mali nikimiliki hazidumu. Nimefilisika...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Fundi rangi za nyumba naomba kazi

    Habari wakuu, Mimi ni fundi rangi za nyumba, nina uzoefu wa miaka zaidi ya 10 katika kazi hii. Ninauwezo wa kufanya kazi hii kwa ustadi mkubwa. Napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba kazi ama connection ya kazi, nawaahidi ufanisi wa kazi uliotukuka na uwaminifu mkubwa. Mimi napatikana Dar es...
  15. JamiiForums Tanzania Naombeni 'connection' ya kazi

    Wakuu habari za saizi Nimekuwa na wakati mgumu sana hivi karibuni. Nimebahatika kuitwa katika interview zaidi ya 3 lakini zote zimekosa sababu sina expirience yani uzoefu Naomba kwa yoyote mwenye connection ya sehemu ambayo naweza ku gain and grow up popote pale niongeze uzoefu nitafanya bila...
  16. JamiiForums Tanzania Lissu, Heche, Wenje, Garubindi, Bulaya, Mdee etl KARIBUNI CCM TUTAWAPOKEA - KAZI ZIPO NYINGI

    Watanzania, SALAAM! Ifahamike kuwa siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Niliowataja hapo nafahamu uwezo wao wa kisiasa. Ni dhahili kuwa huko waliko hawathaminiwi hata kidogo - nguvu wanayoitumia wakiwa CDM ni kubwa sana ukilinganisha na rewards wanayopata. Hawa wanafaa kuja kusaidia...
  17. JamiiForums Tanzania Kazi kama Ufundi Selemara, Uashi sio za watu ambao hawajaenda shule kama tunavyo amini

    Bongo kuna Kasumba na iko hivyo kwamba kazi za Ufundu Mbao au Uwashi ni za watu ambao hawakubahatika kwenda shule. Na hata wao wenyewe wanaamini hivyo na hawataki watoto wao waje kurithi hizo kazi.Ingawa ni kazi ambazo jamii inazihitaji sana almost kila siku. Hizi ni mindset za kijinga sana...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa physics & chemistry (bachelor) natafuta kazi ya kufundisha

    Habari wanajamvi, shule zinaenda kufunguliwa kesho hivyo kwa mwenye connection ya kazi ya kufundisha anisaidie, chuo nmehitimu UDSM
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kazi dereva wa mkataba

    Mawasiliano +255620666761 Naendesha class D vehicles only.
  20. JamiiForums Tanzania Kazi za Ujenzi Zifanyike kwa Ubora na Uzalendo - Dkt. Biteko

    KAZI ZA UJENZI ZIFANYIKE KWA UBORA NA UZALENDO - DKT. BITEKO Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Makandarasi nchini kutekeleza miradi ya ujenzi kwa ubora na uzalendo mkubwa ili wainue uchumi wa nchi na kuhakikisha unashikiliwa na Makandarasi wazawa. Dkt...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…