kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Hautakiwi kulipua Kazi Yoyote Maishani Mwako

    Zamani kidogo, kulikuwa na fundi ujenzi mzee aliyekuwa na ujuzi mkubwa na nidhamu ya hali ya juu. Kwa miaka zaidi ya 30, alijenga nyumba nyingi nzuri na za kifahari kwa moyo wake wote. Siku moja, akiwa amechoka na umri umekwenda, alimfuata bosi wake na kumwambia: "Bosi, umri umenitupa mkono...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume za Rais Samia kuhusu 29/10 ni feki na hazisaidii chochote kwa sababu zinapewa kazi ya kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji yaliyofanyika

    Wanabodi Huu ujinga wa kuendelea kutumia fedha za umma ili kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji ya 29/10 tutauvumilia hadi lini? Hadi sasa, Raisi Samia na serikali yake walichofanya ni kutafuta kuhalalisha mauaji ya 29/10 ili kuonyesha walikuwa na haki ya kuua watu kwa namna ile. Na sasa, kwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana kituo cha kazi (clinical officer)

    Habari za kazi wakuu natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi Kutoka mkoa wa songwe wilaya ya momba Kwenda mkoa wowote kati ya hii LINDI MTWARA RUVUMA Mawasiliano 0791823730
  4. JamiiForums Tanzania Kanuni 'auaye kwa upanga, atakufa kwa upanga' imebuniwa na wayahudi na wanaitumia. Hivyo usitegemee ifanye kazi kwako kama hufanyi jitihada

    KANUNI YA AUAYE KWA UPANGA ATAKUFA KWA UPANGA IMEBUNIWA NA WAYAHUDI NA WANAITUMIA. HIVYO USITEGEMEE IFANYE KAZI KWAKO KAMA HUFANYI JITIHADA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Siwakatishi tamaa wala siwavunji moyo. Nipo hapa kusema Ukweli ili utuweke wote huru. Kuna msemo maarufu ambao watu...
  5. JamiiForums Tanzania Kutusomea Password ya WiFi kwenye mabasi; wabongo tunapenda kujipa kazi

    Wabongo tunapenda sana kujipa vitengo na hekaheka zisizo na msingi. Imagine mwanadada anajipa kazi ya kutusomea password halafu abiria tunaacha kila kitu tunabaki kusikilizia kwa makani Password. Ya nini yote hayo?! Si angebandika tu hiyo password kwenye maeneo kadhaa kwenye kuta za basi...
  6. JamiiForums Tanzania Nataman Uongozi Wa Hili Jukwaa Mfanyie Kazi Wazo Hili;

    Kwa miaka kadhaa tangu nijiunge na Jukwaa hili sijawahi kukutana na mtu kwenye jamii yangu anayetumia Jukwaa hili Kiufupi hawajuhi kama Tanzania tuna social media yetu inayofanya kazi kama zilivyo Instagram au Facebook Sasa kwanini uongozi usianzishe mchakato wa kupeleka Jukwaa hili kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ni kazi kweli au mi ndo kazi?

    Nipo kwenye group fulani hivi la WhatsApp likatumwa tangazo la ajira kutoka Pepsi (nimeambatanisha hapo) lilikua linahitaji vijana wa kuwaajiri na mimi nikajaribu kuomba hapo baada ya siku kadhaa wakanijibu hivyo(nimeambatanisha pia). Watu mliopata bahati ya kuajiliwa kwenye makampuni makubwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Mpishi imetangazwa na Ubalozi wa Ubelgiji, mwisho wa maombi ni 21 Agosti 2026

    Tunatafuta Mpishi kujiunga na timu yetu 🇧🇪🇹🇿 📌 Tarehe ya kuanza: Oktoba 2026 📍 Mahali: Dar es Salaam Sehemu kubwa ya ukarimu wa kidiplomasia hufanyika mezani😋. Makazi ya Balozi wa Ubelgiji yanatafuta mpishi wa kuendesha jiko, milo ya kila siku, hafla rasmi, na menyu zinazowaridhisha wageni na...
  9. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi

    Tuna nafasi za Kazi Mbalimbali, uwe na uzoefu usiopungua Miaka 3 kwenye kila Nafasi. 1. Logistics Manager-Dodoma 2. Trucks Engine Mechanic-Dodoma 3. Big Truck Driver-Dodoma 4. Driver-Dar es Salaam 5. Accountant CPA-Dodoma 6. Social Media Manager-Dar es Salaam Utapigiwa simu, Tuma CV yako...
  10. JamiiForums Tanzania Mazishi ya halaiki kwa Magaidi: Israel inafanya kazi nzuri sana kuwaua Magaidi huko Gaza!!

    Mazishi ya halaiki yamefanyika katika Jiji la Gaza, kaskazini mwa Gaza, leo, kwa ajili ya Magaidi 112 wa familia za Abu Sharia na Al-Hasaina, ambao miili yao ilipatikana katika wiki 2 zilizopita kutoka chini ya kifusi cha makazi katika kitongoji cha Sabra. Magaidi wa Hamas wanasema eneo hilo...
  11. JamiiForums Tanzania Kazi ya ualimu ukiiacha mizimu ya kwenye lazima ikushukuru

    Nimeona mwalimu kafungwa maisha Kwa kosa la kuchapa mwanafunzi, huwezi kumsikia mkurugenzi, afsa elimu au mtu yoyote anaehusiana na mwalimu kufika mahabusu kumsalimia au kumtia moyo ukizingatia hiyo mwalimu alikuwa anafanya kazi ya mkurugenzi. Siku zote nawashauri walimu nenda shule kazuge...
  12. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Tanzania haitayumbishwa kwa sababu ya mabeberu kutunyima misaada, labda watafute vikwazo vingine

    My Take Nakubaliana na Prof.Kitila Mkumbo na kwamba nimewahi andika hapa jukwaani kuwa Mzungu yeyote hata asupotoa hata jero haiwezi yumbisha Tanzania Kwa sababu Bajeti yetu ya Zaidi ya Trilioni 62 inapata Msaada wa Mabeberu Kwa chini ya Trilioni Moja Kwa mwaka. Pia soma Ongezeko la bajeti ya...
  13. JamiiForums Tanzania Mtu sahihi wa kufanya naye kazi

    Leo nimezidi kuamini kuwa changamoto kubwa kwenye biashara si kupata wateja tu, bali ni kupata watu sahihi wa kufanya nao kazi. Teknolojia, hasa AI, imeanza kuwa mshirika muhimu sana. Ndiyo, inaweza kuwa na gharama, lakini mara nyingi inafanya kazi kwa ufanisi, kwa wakati, na bila visingizio...
  14. JamiiForums Tanzania Mkakati wa kumchosha na kumpotezea Muda Tundu Lisu utafanya kazi?

    Hamjambo! Naona hasimu wa Lissu wanachokifanya kutumia mbinu ya kumchosha na kumpotezea Muda wake. Mbinu hii kisiasa hasa zile siasa chafu inafanyaga kazi hasa kwa watu wenye misimamo mikali kama aina ya Tundu Lisu. Kuna watu huwezi kuwashinda kwa kifo. Na hawaogopi kufa. Lakini mbele ya muda...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana wanaofanya kazi ya kununua mchele kwa ajili ya Wilmar Rice wanateseka sana kwa mishahara duni na mazingira magumu ya kazi

    Habari, kuna vijana wanaofanya kazi ya kununua mpunga kutoka kwa wakulima katika maeneo mbalimbali kama Morogoro, Mbeya na Kanda ya Ziwa kwa ajili ya kiwanda cha mchele cha Wilmar Rice Tanzania kilichopo Morogoro. Kuna mmoja kati yao ambaye nimekuwa nikimdai fedha tangu alipofika huku. Alikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Bill Gates: AI Haitachukua Kazi Hizi 4

    Bill Gates Asema Kazi Hizi 4 Tu Ndizo AI Itapata Ugumu Kuzichukua Kutoka Kwa Binadamu. --- Kwa miezi kadhaa, kila taarifa mpya kuhusu AI imekuwa ikivuka mstari wa kile tulichodhani hakiwezekani. Leo AI inaweza kuandika programu, kuchambua data, kuzalisha video na kufanya kazi ambazo zamani...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia unasubiri nini kumfukuza kazi Rose Manumba wa Shinyanga?

    Yaani Tanzania ni banana republic. Leo weekend nimetulia nasoma habari za Tanzania, nkakutana na kituko Cha Karne. Rose Manumba DED wa Msalala-Shinyanga, halmashauri yake imepata hati chafu Kwa miaka miwili mfululizo, mwaka huu eti wakaguzi kutoka wilayani, walizuiwa na huyo Kibaka Rose...
  18. JamiiForums Tanzania Ubinadamu kazi!

    we unaonaje?
  19. P

    JamiiForums Tanzania KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI

    Habari wakuu? Nahitaji mtaalamu wa maabara wa kubadilishana nae kituo cha kazi AJE MTWARA NIENDE MBEYA(wilaya yoyote) Asanter
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wiki nzima NMB, Atm na Nmb mkononi hazifanyi kazi

    Nmb hawachukui hatua yoyote kusaidia wateja wao. Kama mtu umesahau kadi na uko safarini inakula kwako. Nmb mnafeli wapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…