kazi za

Kazi Farms Group is a group of businesses in Bangladesh.
Kazi Zahedul Hasan, the managing director, was awarded Business Person of the Year for 2004 by The Daily Star (Bangladesh).

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Kuna kazi wanaozifanya sijawahi kuelewa huwa wanaishi vipi

    Wamachinga watembezi bidhaa barabarani, bar n.k. Wapiga debe, Wauza ice cream, Wabeba mizigo(makuli), Wachuuzi stendi, Waokota makopo(sijui hata kama ni kazi) Sijawahi kuelewa mtu anayefanya hizi kazi anawezaje kukidhi mahitaji yake ya chakula, mavazi, makazi na kuhudumia familia bila kukata...
  2. Desierto

    Hii Haina tofauti na mzazi anamtoa mtoto wake kijijini aje kufanyia kazi za ndani mjini

  3. DuaZaMama

    Nchemba: Kazi za serikali zifanyike Dodoma ili kuwasogezea wananchi huduma

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema kazi za serikali zifanyike makao makuu ya nchi, Dodoma, ili kuwasogezea Watanzania huduma. “Mheshimiwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu mwelekeze Katibu Mkuu atengeneze timu ifanye tathmini ya majengo yote ya Serikali yaliyoko Dar es Salaam ambayo hayana...
  4. T

    Kazi za kuangalia Nyumba, ulinzi wa Nyumba na pia usafi

    Natafuta kazi za kuangalia Nyumba kama vile usafi nakutuzia Nyumba mpaka pale utakapokuja ikiwa na mtu wa kuangalia, pia kama una chochote kile kulinda hapo Nyumba hapo pia nitakilinda , Miaka mpaka kumi nakaa kuangalia ulinzi na kazi zingine nafanya pia, pia wenye hotel naangalia mazingira...
  5. N

    Kazi za remote

    Kama unapenda kufanya kazi za remote hii inakufaa Mercor | Find Remote Work Opportunities
  6. S

    Natafuta kazi za kwenye idara ya procurement, lakini pia nina ujuzi kwenye ulimwengu wa social media na naongea kiingereza vizuri

    Habari wakuu Nimekuja kwenu kuomba yeyote mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie. Sifa zangu Jinsia: Me Umri: 28 Eneo: Dar es salaam Elimu: Bachelor’s Degree in Procurement and Logistics Management Naonngea kiingereza vizuri sana Kazi ninazoweza kufanya kutokana na taaluma yangu ni idara...
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    Wanajeshi wa JWTZ wapewe kazi za kufanya usafi wa mitaa

    Waokote takataka zote na kupeleka dampo, wasafishe mitaro yote kando ya barabara, wasafishe vyoo vya stendi, sokoni na kwenye maeneo yote ya umma. Mshahara ni huo huo wanaolipwa unatosha, kwakuwa, nchi inalindwa na jeshi la polisi, wao watusaidie kwenye usafi na yeyote atakaye kaidi akabidhiwe...
  8. Fbn

    Kwa hiyo sasa njia za kuingia serikalini kuwa mbunge, diwani lazime upitie kazi za usanii na uchawa

    Kama nchi tukiendelea nao hawa majangiri CCM msije shangaa shilole kuwa waziri wa kilimo. Ina maana weledi wa waliosomea uwongozi kuwapa waweze kuongoza umekufa kabisa. Sasa wasanii na chawa ndio vipaumbele vya kuongoza nchi.
  9. President of China

    Kikwete aongoza Mahafali ya 55 ya UDSM - Vijana wanafuraha isiyo na kifani, sasa Serikali ta Mama Samia imewaandalia kazi za kumwaga

    Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametunuku Shahada za Awali, Stashahada na Astashahada kwa wahitimu katika Mahafali ya 55 (Duru la Pili) ya chuo hicho kikongwe kuliko vyote nchini. Jumla ya wahitimu 2,742 walihudhurishwa...
  10. I

    Kama unaingiza kipato kipitia kazi za online, nakuomba nijifunze kutoka kwako

    habari wakuu poleni na mjukumu. Ndugu zangu naombeni msaada kwa wale mnao tumia MB kama chanzo cha mapato. Hapa namaanisha yani wewe ukisha kuwa na MB basi tayari tonge limesha enda kinywani. Naomba unifundishe nipo tayari kujifunza kuwekeza muda nguvu na akili kujifunza. naombeni msaada...
  11. Analogia Malenga

    Hizi nafasi za kazi za PAPU zinazopitia TCRA hazina infomation za kutosha rekebisheni

    https://www.tcra.go.tz/uploads/documents/sw-1757859650-PAPU_Vacancies_1032107643381814476641029946369102376331757853088906.pdf Angalia kiunga hapo juu kuhusu hizi nafazi za Pan African Postal Union (PAPU) zinaonekana kabisa ni mpunga mrefu maana ni P3 na P4, maombi inabidi yapitie TCRA, hata...
  12. H

    Kazi za afisa Ugavi kupitia MDA & LGA's

    Habari wanajamii. Natumaini wote wazima. Hivi zile kazi za afisa ugavi 340 za mwaka jana agosti naomba kuulizia hivi nafasi zote zimeshapangiwa kwa waliofaulu??
  13. Mr Beach Boy

    Jinsi nilivyotapeliwa na maagent wa KAZI za hotelini Zanzibar

    Picha linaanza niliambiwa kutakuwa na hostel kwa ajili ya kulala ila cha ajabu kuna chumba chenye magodoro chini na idadi imekamilika kinachofuata ni kulala chini Kipindi cha training kupewq posho laki moja. Kumbe hakuna cha posho Wala Nini miezi yote mitatu hakuna posho Hakuna guarantee ya...
  14. Rangooo

    Natoa huduma za uhasibu na usimamizi wa fedha kwa njia ya freelance

    Habari wanajamii, Naitwa Adam Ramadhani Waziri, mtaalamu wa masuala ya Uhasibu na Fedha mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 4 katika sekta mbalimbali. Kwa sasa, nipo tayari kushirikiana na kampuni yoyote (ndani ya Dar es Salaam au mikoani) kama freelancer/part-time accountant, kulingana na mahitaji...
  15. K

    GE2025 Kazi za Lukuvi Jimboni zambeba Wananchi wa Ismani, wasema "Wanatiki Kwa William Lukuvi ”

    Wananchi wa Jimbo la Ismani mkoani Iringa wameonesha wazi imani yao kwa aliyekuwa mbunge wao kwa miaka kadhaa, William Vangimembe Lukuvi, wakisema kuwa licha ya kuwepo kwa wagombea wengine waliopitishwa katika mchakato wa kura za maoni, bado chaguo lao linaelekea kwa Lukuvi kutokana na kazi...
  16. L

    Job Opportunity: Full-Time Nanny Wanted

    POST AQUIRED. a person has been found for the position of the advertised jobs.
  17. D

    KAZI ZA UDEREVA

    MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA (NAFASI 2) CIWAYE TRADING COMPANY Limited ni kampuni inayouhusika na usafirishaji wa mizigo tofauti ndani ya nchi. CIWAYE TRADING COMPANY Limited inahitaji madereva wenye WELEDI, USOEFU NA UADILIFU wa hali ya juu usiotiliwa shaka na mtu au taasisi yoyote ndani na nje...
  18. N

    Kuna ukweli wowote kwamba kazi za IT / Computer serikalini wana muda mwingi sana wa kupumzika bila kazi ?

    Mfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara mzuri. Yani wakishaseti Server, Database na Network kinachobaki huwa ni kutazama kila kitu kinaenda...
  19. Carlos The Jackal

    Kumbe KIKATIBA , baadhi ya Kazi za JWTZ ni Kulinda Katiba, Kulinda Ardhi na Maliasili za Nchi yetu, Kulinda Watu wa Tanzania!!

    Hapa Nina Maswali !! Ni katika wakati gani ,JWTZ itafanya kazi yake hii ya kulinda Katiba, Ardhi, Maliasili, na Kulinda Watu?. Tafasiri ya Kulinda Watu kwao ni ipi? Ikiwa tunashuhudia watu Wanatekwa, wanauliwa .?? Kulinda Maliasili, ikiwa tunashuhudia Waarabu na Wachina wanapewa Mali zetu...
  20. Dkt. Gwajima D

    Baadhi ya watoto wa maboss huwanyanyasa kingono wasaidizi wa kazi za nyumbani

    Wasaalam wote. Huenda visa viko vingi ila, vinafichwa na kimoja kati ya hivyo ni kama hiki ambacho, kimefikishwa kwangu kwa ufupi: ...."Nimefanyiwa ukatili na mtoto wa boss kwa kupigwa sana kisa nimekataa kutoka naye kimapenzi. Alinitishia kuniua kwa sababu nimekataa kufanya naye mapenzi...
Back
Top Bottom