kawe

KAWE, virtual and VHF digital channel 9, is a Public Broadcasting Service (PBS) member television station licensed to Bemidji, Minnesota, United States. The station is owned by Northern Minnesota Public Television, Inc. KAWE's studios are located on Grant Avenue Northeast in Bemidji, and its transmitter is located southeast of Blackduck, Minnesota.
KAWB (virtual channel 22, UHF digital channel 28) in Brainerd operates as a full-time satellite of KAWE; this station's transmitter is located near East Gull Lake, Minnesota. KAWB covers areas of central Minnesota that receive a marginal to non-existent over-the-air signal from KAWE, although there is significant overlap between the two stations' contours otherwise. KAWB is a straight simulcast of KAWE; on-air references to KAWB are limited to Federal Communications Commission (FCC)-mandated hourly station identifications during programming.
The two stations are collectively branded as Lakeland PBS. The network first took to the air on June 1, 1980 and was formerly known as Lakeland Public Television; it re-branded on January 8, 2018 to better align its brand with PBS. It is the only full-power television broadcasting operation based in north central Minnesota, an area that is served mainly by translators of the Minneapolis–Saint Paul television stations.
Lakeland PBS utilizes KAWB's channel 22 position on DirecTV and Dish Network's Twin Cities local lineups to avert confusion with Fox owned-and-operated station KMSP-TV (channel 9) in Minneapolis.

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    GE2025 Mgombea Ubunge ACT Jimbo la Kawe asema "Tutahakikisha kuwa elimu bure inatekelezwa kikamilifu"

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Glory Tausi Shayo, ameahidi kufanya mabadiliko makubwa katika sekta za afya, elimu, na miundombinu ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge. Akizungumza katika kampeni zake, Tausi amesisitiza kuwa atahakikisha wananchi wengi wanapata...
  2. Mookiesbad98

    GE2025 Mbunge wetu mtarajiwa Godfrey wa kawe

    Pongezi kwako mbunge mtarajiwa tunaomba barabara ziwekwe lami ila kwa kuanzia zichongwe na greda tunakufa na barabara mbovu sana . Wenzetu wote mitaa yao imechongwa hata salasala magengeni amahoro kumechongwa. Maeneo haya ya mbezibeach B hayachongwa kabisa tunashanga tatizo ni nini. Mtafanya...
  3. W

    GE2025 Mgombea Ubunge CCM: Tutahakikisha Kawe inapiga kihatua kimaendeleo

    Ile standi ya daladala naona mmekuja kumwaga michanga miaka mitano ijayo muache kumwanga miachanga muweke stendi ya kueleweka maana mnapokea kodi za wananchi. ===================== Mgombea ubunge wa Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Geofrey Timoth, ameahidi kuimarisha maendeleo...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Serikali yatenga eneo jipya la soko kwa wafanyabiashara waathirika wa Moto Kawe

    Serikali tayari imetenga eneo jipya la ujenzi wa soko la mpito, kwa ajili ya Wafanyabiashara waathirika wa janga la moto, lililotokea usiku wa kumakia September 15 mwaka huu katika soko kuu la Kawe. Haya yameelezwa leo na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe: Suleimani Jafo, alipotembelea soko...
  5. GENTAMYCINE

    Tuliowahi kuishi Kawe na kujua Siasa za Wafanyabiashara wa Kawe kubishana na Tajiri Mmoja tulijua tu ipo Siku hilo Soko litaungua kwa Kuunguzwa

    Pigia sana mstari hiyo Sentensi yangu niliyosema kuwa tulijua tu ipo Siku hilo Soko litaungua kwa Kuunguzwa Kimkakati.
  6. Waufukweni

    RC Chalamila atoa Mil. 100 kuwasaidia Wafanyabiashara wa Kawe baada ya Moto

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amefika kwenye soko la Kawe ambalo limeteketea kwa moto jana usiku na kuahidi kuwapa wafanyabiashara Shilingi Mil. 100 kama sehemu ya kufidia sehemu ya hasara waliyoopata
  7. Cute Wife

    Soko la Kawe lateketea na moto Septemba 15, 2025

    Wakuu, Soko la Kawe linatekea kwa moto muda huu, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana ambapo moto huo ulizuka majira ya saa sita usiku. Au ndio project kama ilivyokuwa kwenye moto wa Kariakoo, ambao kama sijachanganya mafaili ripoti yakd haijawahi kutoka mpaka wa leo! Kwa hali ilivyo...
  8. A

    Mbeleko za Savana fiber Kawe area

    Oya wanangu eeeee, eeeeeee Wanangu eeeee, eeeeeee Faiba imefika, imefika imepita Kawe kwa makipa, makipa na mawinga Kampuni ya mchina, mchina wa kiha Sasa atalia, siye kwenda savanna Fiber mpya imepita kawe, ni savanna mida sio mrefu ttcl wataniomba mbaya. Wanaringa hawa viumbe utafkr dunia...
  9. Stability

    Hichi ndicho kilichonitokea jana wakati naharakisha niwahi kawe

  10. Minjingu Jingu

    Mdogo wa Rafiki yangu ameingiziwa kitu kwenye account ili aende Mkutanoni Kawe

    Kwa kweli Mama mikumi tena. Dogo anasema Weekend kesho tutamtafute yeye kuanzia Biriani mpaka wale walevi Mkojo wa Shetani. Mimi allahamdulilah sinywi vitu kharamu ila najua kaka yake mjaa laana kesho atakunywa sana. Naambiwa mapolisi walio mafunzo pia wamepewa nguo za kiraia na kuingiziwa...
  11. P

    Kawe Tayari pamepenza sana

    TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea #Tukawashangaze🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿 Leo viwanja vya kawe vimependanza kwa kijani 2.TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea #Tukawashangaze🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿 Leo viwanja vya kawe vimependanza kwa kijani 2.TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea...
  12. R

    Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo za CCM

    Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni sijui ndo mtapewa afu tatu ya maji 😂 hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
  13. R

    Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo za CCM

    Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
  14. Getrude Mollel

    Wanaocheka au kubeza CCM kubeba watu kwa magari kuwafikisha kwenye mikutano yao ujumbe wenu ni huu

    Rais Samia Suluhu amejua kuteka nyonyo za Watanzania. Eti "Watu wanasombelewa kwa costa kupelekwa Kawe"..Hili sio jambo la aibu hata kidogo ndugu zangu wa Chama cha Mapinduzi, bali kitendo hiki kinaonesha mapenzi makubwa ya CCM kwa wananchi wake.Fikiria, kuna wanachama wakereketwa haswa wako...
  15. Waufukweni

    Msigwa: Serikali kutenga Tsh. 450 Bilioni kwa ujenzi wa Arena ya Wasanii Kawe, Dar es Salaam

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa fedha za kujenga Arena ya kisasa kwa ajili ya kuwawezesha wasanii kupata maeneo rasmi na mahususi kwa ajili ya matukio yao ya kisanii tayari zimekwisha patikana. Akizungumza...
  16. kavulata

    Gwajima alishindwa Kawe wakakatwa 3 akateuliwa yeye, CCM ikapata kura

    Nimejiridhisha kuwa Gwajima hana kumbukumbu au anatumika vibaya. Siamini kama Gwajima hajui namna yeye alivyoteuliwa na vikao vya CCM kuwa mgombea ubunge wa Kawe. kama amesahau kuwa kwenye uchaguzi wa 2020 yeye alikuwa mtu wa 4 kwenye kura za wajumbe jimboni, kisha wakakatwa wagombea 3...
  17. henry_manywili

    GE2025 Ufunguzi wa kampeni za CCM 2025

    Siku ya ufunguzi wa kampeni si siku ya kukosa kwani CCM ya mama Samia mgombea urais atakiwasha
  18. KING MIDAS

    Kama Jimbo la Kawe halina maji ya Uhakika, hali ikoje huko jimboni Itilima?

    Jimbo la Kawe ndio Jimbo mama, Jimbo konki lenye vibopa kuliko Jimbo lolote la uchaguzi hapa nchini. Jimbo la Kawe ndio Lina Oyster Bay, Masaki, Msasani Peninsula, Mikocheni, Kawe Beach, Mbezi Beach, Kunduchi Beach, Bahari Beach, Ununio Beach, Boko Beach, Mbweni, nk. Huku ndio kwenye makazi ya...
  19. Pdidy

    Dada Maria nilikuonya “Kawe” haitaki tena Mwanamke. Wajumbe sio watu wanakula hela zako

    Dada yetu Kipenzi, pole sana sana Kifupi mimi ni mdogo wako fulani Ukijiandaa kugombea Kawe Ubunge nilikuonya Wajumbe usiwaamini kabisa kabisa wanakukula mpaka mifupa wakikupa moyo Haitoshi nikashauri hata hizo pesa zenu za kugawa usisambaze sana Wajumbe ni sawa na Yuda na wanapenda pesa...
  20. chiembe

    Tapeli mkuu wa kisiasa aliyeahidi kuwahamisha wakazi wote wa Kawe na kuwapeleka Birmingham

    Hivi tunakumbuka uongo huu mkubwa kuwahi kutamkwa na maana siasa? Mpaka leo hajamkatia hata passport house girl wake! Hajatubu!
Back
Top Bottom