Kauli kama hizi zinalipasua Taifa kuanzia kwenye chama chenyewe yaani ndani ya ccm.
Hata kama VP amewachiwa ngazi lkn haileti afya kumuita kuwa yeye ni nyoka Haya maneno yanatamkwa na kiongozi mkubwa wa chama yaani CCM.
Hii ni aibu sana kwa chama tawala kuwa na viongozi kama huyu.
Paternus Niyegira Mchambuzi wa Masuala ya Siasa na Uongozi amesema kauli za baadhi ya viongozi wa serikali zinakosa utashi na staha katika uwasilishaji wa hoja zao kwa wananchi.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na Crown Media mnamo Julai 14, 2026, Niyegira ameeleza kuwa Jambo hilo...
Nitoe mfano wangu binafsi. Mie sio mwanasiasa, na wala sijawahi kujihusisha na siasa. Lakini mtu yeyote akisoma thread zangu anaweza kuhisi mie ni mwanachama wa Chadema au chama kingine cha upinzani. Si kweli.
Nakiri walionifikisha hapa ni CCM na viongozi wa serikali. Unakuta mara nyingi...
Nchi Ina viongozi na wote wameapa kuilinda kuiheshimu katiba ya Nchi kwa hali na Mali, wameapa kuilinda amani ya Tanzania kwa hali na Mali, kwahyo nyie viongozi na wafuasi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi ya kuvuruga amani ya Tanzania hilo halipo kabisa huu ndo ukweli.
Hamna mtu mwenye uwezo...
Nyie UVCCM kauli za wapinzani zinasumu kwenu?
Vipi kauli zenu nyie CCM na kauli zenu ya kwamba ni kauli za asali sana. Embu kuwe weledi hata kidogo basi
================
Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mtwara, katika kikao chake cha kawaida kilichofanyika tarehe...
Wanabodi,
Kile kilichotokea October 29 kilichangiwa na kauli mbofu mbofu za baadhi ya viongozi wa umma ziko kinyume cha maadiili ya viongozi wa umma!, Je Media tuwaripoti viongozi hao bila uoga na Secretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, ianze utaratibu wa kuwakeme kama afanyavyo Msajili wa...
Kuna kauli za kibaguzi zinatolewa naa viongozi kutoka Zanzibar tukianza na Naibu Waziri wa vijana Zanzibar alisema wasio wazanzibar warudi makwao
Leo tena naibu makamu wa afya anasema hawawezi kutibu wasio wazanzibar, hivi serikali haioni haya yanayoendelea nchini kama tumeanza kubagua kwenye...
Naomba kusiwe na lelemama kwa mtu yyte anayetukana viongozi mitandaoni, hii tabia imeibuka baada ya chadema kuruhusiwa waanze kufanya shughuli za kisiasa. Tusicheke na hawa vibaka wa chadema wanaotukana viongozi wetu mitandaoni.
Mtoto mwenye malezi duni lazima anyooshwe na dunia
https://www.youtube.com/live/9rRDBtpMBqU?si=64FYJTRZAy4diXUs
Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kupitia kwa mtu mmoja tu aitwaye Sisty Nyahoza imeanza tena kutengeneza mwanya wa uwezekano wa kutokea kwa vurugu na mauaji mengine kwa sababu tu ya maamuzi na utendaji wao mbovu, wa kijanja janja...
Kumekuwa na kauli za Viongozi wa Kiserekali na Taasisi zake ambazo zimekuwa ni za upande moja au upendeleo Kwa minajili ya kutishia au kuzuia raia kutumia Uhuru wao wa kidemokrasia.
Mojawapo wa hizo kauli za Viongozi wa kipolisi kutishia Vyama Vya upinzani na raia, Kwa kinachoitwa uvunjifu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tume ya Uchunguzi ya masuala ya vurugu za uchaguzi haitachunguza tu matukio ya uvunjifu wa amani, bali pia kauli na matamshi yaliyotolewa na baadhi ya vyama vya upinzani kabla na wakati wa uchaguzi.
Amesema hatua hiyo...
Naomba Watanzania wenzangu, tufanye jambo muhimu. Viongozi wa CCM na wale wote wanaodhihaki vifo vya wenzetu hawapaswi kuendelea kuwa sehemu ya jamii yetu kwa namna ya kawaida. Tuwatengue kwa amani, bila chuki, lakini kwa msimamo thabiti. Tusionekane kushiriki katika shughuli zao wala kutoa...
Heshima sana wanajamvi.
Imekuwa kawaida na utaratibu kila mwanachama au kiongozi wa CHADEMA anayeondoka kupewa majina mabaya ana tamaa,mamluki,wamenunuliwa,team Mbowe na nk.
Viongozi na wanachama wa kawaida wanaondoka wengi wametoa sababu mbali mbali nyingine zina mashiko na nyingine hazina...
Kuna wakati lazima viongozi wetu wawe na uwezo wa kuona mbali kwamba wanapaswa kutokweka misimamo ambayo athari zake zitakuwa mbaya huko mbeleni.
In fact, kuwa na msimamo tofauti na matakwa ya wengi na ushauri wa watu wenye hekima ni kuwa na kiburi
Hili suala la kubadili kanuni za uchaguzi...
Mpasuko Mkubwa CHADEMA: Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi
Katika kile kinachoweza kufasiriwa kama dalili za kuporomoka kwa umoja na mshikamano ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waraka mzito wa ushauri umetolewa na wagombea wa ubunge...
1. Kuleni NYASI, ndege ya RAIS lazima inunuliwe
2. MILLION 10 NI MBOGA YA NYANYA
3. Acheni wivu wà KIKE.
4. FOLENI Dar ni ishara ya maisha bora
5. Asiyeweza kulipa NAULI APIGE MBIZI
6. KIFO NI KIFO TU
7. KATIBA NI KIJITABU TU
8. WATU WAZURI HAWAFI
9. Nilisema wakati ule na narudia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.